Jukwaa La AFYA

Jukwaa La AFYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jukwaa La AFYA, Medical and health, Dodoma.

UTAJUAJE K**A UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME..1️⃣.Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi .2️⃣Uume una...
13/04/2025

UTAJUAJE K**A UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME..

1️⃣.Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi .

2️⃣Uume unasinyaa taratibu baada ya goli moja na kuendelea inakua ni ngumu.

3️⃣.Mwili unahisi ganzi pamoja na uume kusinyaa ukiwa kwenye tendo

5️⃣Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.

5️⃣Uume unasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke unasinyaa

Hii hitokanaa na kurogwa au na shida ua jinni aka kuharibia nguvu za kiume

6️⃣.Kupoteza hamu ya tendo la ndoa baada au kabla ya tendo la ndoa

7️⃣kushindwa kurudia Mara ya Pili
unakuta ukishatoa Goli Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

8️⃣.Mashine kulala Ndani ya tunda la Mwanamke,unakuta upo katika ya kazi ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.❕❕

Katika utatuzi wa tatizo hili usitumie Dawa za spital tumia virutubisho kutatua tatizo hili kabsaa bi idhnillah

njoo tukuhudumie...
🔵 Pata Ushauri Zaidi.
📞+255655881996 / +255621704504

Bawasiri.-----------------------------------------------------------👉 Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya da...
11/04/2025

Bawasiri.
-----------------------------------------------------------
👉 Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

⚫DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.🔗kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.🔗kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.🔗kupata kinyesi chenye damu
4.🔗kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
5.🔗 Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

⚫MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.🔗 Uzito kupita kiasi(Overweight)
2.🔗 Ujauzito
3.🔗Unywaji pombe
4.🔗 Kukaa sana sehemu ngumu
5.🔗 Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.🔗Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
-Kuzid kwa Acid tumbon(Acid reflux)
7.🔗 Kula sana nyama nyekundu
8.🔗 Presha ya kupanda
9.🔗 Kula sana pilipili
10.🔗 Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
11.🔗 Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
12.🔗 Kuharisha kupita kiasi.
13.🔗 Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

⚫ ATHARI ZA BAWASIRI

1.🔗Upungufu wa damu mwilini
2.🔗Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3.🔗kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.🔗kupungukiwa nguvu za kiume
5.🔗kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6.🔗Kupata tatizo la kisaikolojia
7.🔗Kutopata ujauzito
8.🔗 Mimba kuharibika
10.🔗 Kupata kansa ya utumbo (Colorectal cancer)
11.🔗 Mwili kudhoofika
13.🔗 Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

DOCTOR HUSSEIN KIDESO

TUPIGIE☎📩 +255621704504
Chat.whatsapp +255655881996

⛔ *BAADHI YA DALILI ZA UTI** 🔵Kujisikia kukojoa muda wote🔵kuchoka sanaa🔵Mkojo kutoa harufu🔵Mkojo wa rangi🔵Homa Kali🔵kich...
10/04/2025

⛔ *BAADHI YA DALILI ZA UTI**

🔵Kujisikia kukojoa muda wote
🔵kuchoka sanaa
🔵Mkojo kutoa harufu
🔵Mkojo wa rangi
🔵Homa Kali
🔵kichefuchefu
🔵kutapika

*⛔BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI*

▶️kuwashwa sehemu za siri
▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
▶️Kupata vidonda
▶️Kupata michubuko ukeni
▶️Maumivu wakati wa kukojoa
▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida
▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu

*⛔BAADHI YA DALILI ZA P.I.D*

⏩Kutokwa na uchafu mzito ukeni
⏩Uchafu ukeni wa rangi nyeupe au njano
⏩Uke kutoa harufu mbaya
⏩Kuwashwa sehemu za siri
⏩maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
⏩Uke kuwa mlaini sana
⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa
⏩Kuvurugikwa kwa hedhi
⏩Kutokwa na majimaji ukeni kupita kiasi
⏩Maumivu wakati wa kukojoa
⏩Homa/uchovu na kuchoka
⏩kizungu zungu nk

K**a una hizo dalili tuwasiliane,
☎ 0655881996
📞 0621704504
Upate suluhisho bi idhnillah

➡️Je, unakumbana na changamoto hizi kwenye mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula?*- Maumivu ya tumbo ya mara kwa maraKiung...
26/12/2024

➡️Je, unakumbana na changamoto hizi kwenye mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula?*

- Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara
Kiungulia (maumivu makali ya moto kifuani)
- ♦️Tumbo kujaa gesi kupita kiasi (Bloating)
- ♦️Kujamba mara kwa mara
- ♦️Kupata choo kigumu (kukosa choo)
- ♦️Kuharisha mara kwa mara
- ♦️Harufu mbaya mdomoni (halitosis)
- ♦️Kuvimbiwa mara kwa mara
- ♦️Kukosa hamu ya kula, au kushiba haraka unapokula
- ♦️Kuzidi kwa Asidi tumboni

➡️Usiteseke tena! Suluhisho lipo. Wasiliana nami leo kwa maelezo zaidi, ushauri wa bure, na matibabu sahihi.*

DOCTOR HUSSEIN KIDESO
TUPIGIE +255621704504
+255738411398

Chat.whatsapp +255655881996

**FAHAMU KAZI 9 ZA TEZI DUME*Tezi dume ni kitu ambacho kila mwanamume anakujua, lakini ni wachache wanaotambua  kazi mba...
20/12/2024

**FAHAMU KAZI 9 ZA TEZI DUME*

Tezi dume ni kitu ambacho kila mwanamume anakujua, lakini ni wachache wanaotambua kazi mbalimbali za tezi dume yenye ukubwa wa karanga jinsi inavyowajibika kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamume.

*Nitapenda kuelezea angalau baadhi ya kazi za tezi dume kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume*👇🏻

1. Husaidia Kutengeneza mbegu(maniy)*

Kazi kuu ya tezi dume ni kusaidia kutengeneza manii. Hutengeneza majimaji ya alkali ambayo huchanganyikana na manii wakati wa kumwaga ili kuunda shahawa. Majimaji ya alkali husaidia kulinda mbegu za mwanaume mara tu zinapofika kwenye uke wa mwanamke kwani haya ni mazingira yenye tindikali.

*2. Hutengeneza Kemikali Maalum*

Tezi dume hutengeneza umajimaji unaoitwa antigen (kemikali) maalumu ambayo pia husaidia mbegu za mwanaume kufanya kazi k**a gundi ambayo hujibandika kwenye shingo ya kizazi ya mwanamke. Kisha " *gundi* " huyeyuka na shahawa inakuwa na uhuru wa kuogelea hadi kwenye tumbo la uzazi ili kulitafuta yai.

Viwango vya juu vya kemikali hii kwa mwanaume pia vinaweza kuwa dalili ya saratani ya kibofu cha mkojo. Wanaume zaidi ya umri fulani wanapaswa kupimwa viwango vyao vya antigen kila mwaka. Hii inafanywa kupitia vipimo rahisi vya damu.

*3. Huzisukuma Mbegu*

Pamoja na kusaidia kutengeneza manii, lakini bado tezi dume husaidia kusukuma mbegu za mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kitendo cha kusukuma majimaji hayo huhakikisha kwamba mbegu zinaweza kusafiri vya kutosha hadi kwenye tumbo la uzazi ili zikutane na yai. Kitendo hiki husaidia kulifanya tendo la ndoa kuwa lenye kupendeza kwa waume.

*DOCTOR HUSSEIN KIDESO
TUPIGIE +255621704504
+255738411398

Chat.whatsapp +255655881996

*MENORRHEA*➡️Ni hali ya kukosa hedhi — kukosa mzunguko wa hedhi kwa kipindi kirefu. Wanawake ambao wamekosa hedhi kwa an...
15/12/2024

*MENORRHEA*
➡️Ni hali ya kukosa hedhi — kukosa mzunguko wa hedhi kwa kipindi kirefu. Wanawake ambao wamekosa hedhi kwa angalau miezi mitatu mfululizo wanaweza kuwa na amenorrhea, na pia wasichana ambao hawajaanza kupata hedhi kufikia umri wa miaka 15.

➡️Sababu kuu ya amenorrhea ni ujauzito. Sababu nyingine ni matatizo katika viungo vya uzazi au matatizo ya tezi zinazosaidia kudhibiti viwango vya homoni. Matibabu ya tatizo msingi mara nyingi husaidia kutatua amenorrhea.

*DALILI ZA AMENORRHEA*
➡️Dalili kuu ya amenorrhea ni kukosa hedhi. Kulingana na chanzo cha amenorrhea, unaweza pia kukumbana na dalili nyingine pamoja na kukosa hedhi, k**a vile:-

- Utoaji wa maziwa kwenye chuchu bila kunyonyesha
- Kuanguka kwa nywele
- Maumivu ya kichwa
- Mabadiliko ya uwezo wa kuona
- Kuwa na nywele nyingi usoni
- Maumivu ya nyonga
- Chunusi
Kwa Msaada wa Tiba na Ushauri kuhusu Changamoto za Afya ya uzazi....

*DOCTOR HUSSEIN KIDESO
TUPIGIE +255621704504
+255738411398

Chat.whatsapp +255655881996

DALILI ZA MWANAMKE ASIYETOA MAYAI;✍️Katika hali ya kawaida yai hutolewa kati ya siku ya 10 hadi 16 kuanzia siku unapoanz...
03/12/2024

DALILI ZA MWANAMKE ASIYETOA MAYAI;

✍️Katika hali ya kawaida yai hutolewa kati ya siku ya 10 hadi 16 kuanzia siku unapoanza kuona hedhi.

Dalili kuwa hutoi yai ni k**a hizi hapa👇

🟢Kuanza na mzunguko wa hedhi mfupi wa siku21.

➖Unapokuwa na mzunguko wa hedhi wenye siku chache maana yake unakuwa una muda mfupi wa yai kukomaa.

Yai lisipopata muda wa kutosha wa kukomaa huwa linashindwa kutolewa

🟢Kutoona mabadiliko yoyote katika uke mfano kutokwa na uteute mwepesi k**a wa yai,joto kushuka na kupanda n.k

➖Unapokaribia kutoa yai joto huwa linashuka kidogo na unapo ovulate joto huwa linapanda then linashuka baada ya muda mfupi.

➖Usipoona mabadiliko hayo kuna uwezekano mkubwa kuwa hautoi yai.

👉Unashauriwa k**a una dalili hizi kufanya vipimo na uchunguzi

📌K**a unapata hedhi vizuri na unashiriki tendo la ndoa vizuri katika zile siku za hatari na hushiki mimba ni dhahiri kwamba hutoi yai.. Nina tiba yako ya kupevusha mayai

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE

*DOCTOR HUSSEIN KIDESO
TUPIGIE +255621704504
+255738411398

Chat.whatsapp +255655881996

Bawasiri _____________________⚫DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI1.🔗kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa2.🔗k...
27/11/2024

Bawasiri
_____________________

⚫DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.🔗kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.🔗kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.🔗kupata kinyesi chenye damu
4.🔗kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
5.🔗 Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

⚫MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.🔗 Uzito kupita kiasi(Overweight)
2.🔗 Ujauzito
3.🔗Unywaji pombe
4.🔗 Kukaa sana sehemu ngumu
5.🔗 Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.🔗Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
-Kuzid kwa Acid tumbon(Acid reflux)
7.🔗 Kula sana nyama nyekundu
8.🔗 Presha ya kupanda
9.🔗 Kula sana pilipili
10.🔗 Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
11.🔗 Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
12.🔗 Kuharisha kupita kiasi.
13.🔗 Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

⚫ ATHARI ZA BAWASIRI

1.🔗Upungufu wa damu mwilini
2.🔗Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3.🔗kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.🔗kupungukiwa nguvu za kiume
5.🔗kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6.🔗Kupata tatizo la kisaikolojia
7.🔗Kutopata ujauzito
8.🔗 Mimba kuharibika
10.🔗 Kupata kansa ya utumbo (Colorectal cancer)
11.🔗 Mwili kudhoofika
13.🔗 Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

*DOCTOR HUSSEIN KIDESO
TUPIGIE +255621704504
+255738411398

Chat.whatsapp +255655881996

*PID YENYE KUJIRUDIA NI HATARI KWA AFYA YA MWANAMKE YAWEZA MFANYA TASA*📌Antibiotics zatibu PID lakin sio ya muda mrefu❌❌...
24/11/2024

*PID YENYE KUJIRUDIA NI HATARI KWA AFYA YA MWANAMKE YAWEZA MFANYA TASA*📌

Antibiotics zatibu PID lakin sio ya muda mrefu❌❌.
PELVIC INFLAMMATORY DISEASE
(P.I.D) Unayo Ya Kujirudia Mara Kwa Mara*❓ majibu ni ndio...

Wakati mwingine unaweza kupata matukio ya mara kwa mara ya PID. Hii inajulikana k**a ugonjwa wa PID unaojirudia mara kwa mara.

Hali hii inaweza kurudi ikiwa maambukizi ya awali hayajaondolewa kabisa.

Hii mara nyingi ni kwa sababu kipindi cha kutumia dozi ya tiba za asili hakijakamilika au kwa sababu mwenzi wako hakupimwa na kutibiwa ili kuondoa maambukizi.📌

Unayotumia dawa hakikisha wakamirisha dose hata k**a waona ushapona📌

Kwani Endapo kipindi cha PID kitaharibu tumbo la uzazi au mirija ya uzazi, inaweza kuwa rahisi kwa bakteria kuambukiza maeneo haya katika siku zijazo, na kukufanya uweze kupata ugonjwa tena.

Ugonjwa wa PID unapojirudia mara kwa mara huongeza hatari ya ongezeko la utasa na kukufanya ukose kuzaa kabisa

*1. Vivimbe Maji*

PID wakati mwingine inaweza kusababisha mkusanyiko wa majimaji yenye maambukizi yanayoitwa vivimbe maji, ambavyo mara nyingi hutokea kwenye mirija ya uzazi na vifuko vya mayai.

Majimaji haya pia wakati mwingine yanaweza kutolewa kwa kutumia sindano inayoelekezwa mahali kwa kutumia kifaa cha ultrasound scan.

*2. Maumivu Makali Ya Nyonga Ya Muda Mrefu*

Wakati mwingine PID inaweza kusababisha maumivu ya muda mrefu (sugu) kwenye fupanyonga na sehemu ya chini ya tumbo, ambayo inaweza kuwa vigumu kuishi nayo na kusababisha matatizo zaidi, k**a vile msongo wa mawazo, na kukosa usingizi.

Ukipatwa na maumivu ya muda mrefu ya nyonga, unaweza kupewa dawa za vidonge za kutuliza maumivu ili kusaidia kudhibiti dalili zako, lakini tatizo litazidi kuwa palepale.

*Vipimo vya kuchunguza visababishi vinaweza kufanywa.*

Ikiwa dawa za kutuliza maumivu hazidhibiti maumivu yako, basi fika James Herbal Clinic tutakusaidia.

*3. Mimba Kutunga Nje Ya Kizazi*

Mimba iliyotunga nje ya tumbo la uzazi ni wakati y

*TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)* 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali...
23/11/2024

*TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)*

𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔

Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

*DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI* (GERD-Acid Reflux

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota

*Tatizo la MIGUU/MIKONO KUFA GANZI na KUWAKA MOTO*↔️linahusisha hali ambapo miguu inakosa hisia za kawaida, k**a vile ku...
21/11/2024

*Tatizo la MIGUU/MIKONO KUFA GANZI na KUWAKA MOTO*
↔️linahusisha hali ambapo miguu inakosa hisia za kawaida, k**a vile kuganda au kutojisikia vizuri (ganzi), au kuhisi joto kali, maumivu au kuwaka moto. Hii hutokea kutokana na hitilafu kwenye mishipa ya fahamu, ambayo inashindwa kupitisha ujumbe wa hisia kwa usahihi.

*Tatizo la miguu/kufa ganzi na kuwaka moto linaweza kusababishwa na mambo haya:-*

1. *Shida za Mishipa ya Fahamu (Neuropathy)*: Mara nyingi huwapata wagonjwa wa kisukari, ambapo mishipa ya fahamu inapoharibika husababisha hisia za ganzi au moto.
2. *Mzunguko Mbaya wa Damu (Peripheral Artery Disease)*: Kuziba kwa mishipa ya damu kwenye miguu kunasababisha ganzi na maumivu.
3. *Upungufu wa Vitamini*: Ukosefu wa vitamini B12 unaweza kuharibu mishipa ya fahamu, na kusababisha ganzi.
4. *Shinikizo la Mishipa (Nerve Compression)*: Mishipa ya miguu ikikandamizwa, labda kutokana na tatizo la mgongo, inaweza kusababisha ganzi na kuwaka moto.

CHANGAMOTO ZA MIFUPA NA VIUNGO...⭕ Inawezekana Haufahamu  Kua Maumivu Ya Muda Mrefu Ya Mifupa Na Viungo Yanawezakupeleke...
20/11/2024

CHANGAMOTO ZA MIFUPA NA VIUNGO...

⭕ Inawezekana Haufahamu Kua Maumivu Ya Muda Mrefu Ya Mifupa Na Viungo Yanawezakupelekea Madhara Makubwa Ya Kiafya Yanayoweza Kupelekea Hata Ulemavu. ?

Inawezekana Umekua Ukipata Dalili Zifuatazo Lakini Umekua Ukizipuuzia....

🎯 Milio Kwenye Maungio [ Joints ] Hasa Ukiwa Unakaa Au Kunyanyuka ....

🎯 Maumivu Makali Kwenye Joints, Uti Wa Mgongo Au Nyonga Ikiambatana Na Ganzi ....

🎯 Miguu Kuwaka Moto Au Miguu Kuchoma Choma Chini Ya Unyao.....

Lakini Pia Inawezekana Umekua Ukipata Ganzi Kali Kwenye Viungo Pamoja Viuvimbe Uvimbe Kwenye Vidole ......

Pamoja Na Ku K**aa Kwa Vidole.....

🎯 Inawezekana Kabisa Umekua Ukitumia Madawa Ya Kutuliza Maumivu Kwa Muda Mrefu......

Na Unatamani Sana Kupata Suluhisho La Kudumu .....

🎯 Litakalo Kusaidia Kukosesha Maumivu Makali Ya Viungo na Mifupa ......

K**a Jibu Ni Ndio Basi Usijali.....

Kwani Kwa Zaidi Ya Miaka Mitano Tumekua Tukiwasaidia Watu Mbalimbali ......

Kukabiliana Na Changamoto Za Mifupa Kupitia Program Yetu ......

Ambapo Program Hii Itakusaidia Kukuongezea Ute Ute Kwenye Maungio ......

Kuondoa Maumivu Ya Viungo Hasa Kiuno Na Mifupa .....

Tiba Hii Itakusaidia Kukuongezea Madini Ya Muhimu Yatakayo Kusaidia Kusimamia Mifupa Yako .....

Tiba Hii Pamoja na USHAURI Bure Kabisa Basi .........

Tutumie Ujumbe Kwa Njia Ya WhatsApp Kwa +255655881,,996
Au
Tupigie Moja Kwa Moja Kwa Namba 📞📞 +255621704507

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jukwaa La AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share