HNL Wellness Centre

HNL Wellness Centre WELCOME TO HNL WELLNESS CENTRE. HNL WELLNESS CENTRE is Dedicated to empowering you with natural solutions for a healthier, balanced life.

We focus on holistic wellness, natural nutrition, and lifestyle adjustments to help you thrive naturally.

Usipange Kukosa gusa link kwenye Bio kwa maelezo zaidi na namna ya kupata Link
19/11/2025

Usipange Kukosa gusa link kwenye Bio kwa maelezo zaidi na namna ya kupata Link

Swipe left kuona waliofaniwa na program hiiSio uzito bali hata shida presha ta kupanda itakwisha Mwenyezi arakuponya kup...
24/10/2025

Swipe left kuona waliofaniwa na program hii
Sio uzito bali hata shida presha ta kupanda itakwisha Mwenyezi arakuponya kupitia sisi ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰

Usipopungua uzito kuanzia kg 5 ndani ya Miezi miwili Utarudishiwa Pesa yako bila Kuhojiwa* swali lolote ( Guaranteed )

Mafunzo yanaanza rasmi tarehe 05 November
Mwisho wa usajili ni tarehe 03 November hakikisha hii nakupiti

kulipia Kidogo Kidogo Inbox us kabla ya mwisho wa Usajili Kufika.

Whatsapp Only 0629904831
Normal call 0761801001

Graphix by

We wish you a Happy Nyerere Day...๐Ÿ˜Š๐Ÿ€๐ŸŒดGrphics by
14/10/2025

We wish you a Happy Nyerere Day...๐Ÿ˜Š๐Ÿ€๐ŸŒด

Grphics by

StayFit ๐Ÿ€๐ŸŒพ๐ŸŒด
11/09/2025

StayFit ๐Ÿ€๐ŸŒพ๐ŸŒด

Bado nafasi 5 kati ya 15 Lengo ni kila mtu Apungue na awe na mwili wa kiafya hata yule wa kipato cha chini kabisa nitumi...
10/09/2025

Bado nafasi 5 kati ya 15 Lengo ni kila mtu Apungue na awe na mwili wa kiafya hata yule wa kipato cha chini kabisa nitumie neno Uzito09 kwenda WhatsApp 0629904831

ya miezi mitatu pesa yako inarudishwa ( Guaranteed )

Baada ya kusoma kitabu hiki ambacho ni Ebook unasoma kwenye simu au laptopUtafahamu Jinsi ya Kupunguza uzitoHadi 10kg nd...
14/08/2025

Baada ya kusoma kitabu hiki ambacho ni Ebook unasoma kwenye simu au laptop
Utafahamu Jinsi ya Kupunguza uzito
Hadi 10kg ndani ya mwezi mmoja tu
Hautatakiwa kuacha kula wanga...pia

โ˜žUtajifunza Makosa 10 ambayo wengi yamewa kwamisha wasipungue uzito. Na utafahamu namna ya kuyaepuka.

โ˜žUtajifunza pia Njia tano za uhakika za kuchoma mafuta na kupungzua kitambi na uzito

โ˜žUtapata ratiba ya chakula tuba ya siku 21 ambayo itakusaidia kupunguza uzito na

โ˜žkitambi na nzuri sana kwa wenye kisukari.
Utapata usimamizi wa miezi 3 pale unatumua mbinu zilizo katika kitabu hiki kutoka kwa Dr Simkonda wa HNL WELLNESS CENTRE

Bei ni Tsh 10,000/= tu badala ya โŒTsh 20,000/=
WhatsApp 0629904831 | Dr Simkonda.

Swipe left โ˜žโ˜žโ˜žShare kwa rafiki yako unayehisi ana dalili hizi
28/07/2025

Swipe left โ˜žโ˜žโ˜ž

Share kwa rafiki yako unayehisi ana dalili hizi

 Stayfit
04/06/2025

Stayfit

"KUPITIA UTAFITI WA MWAKA 2016, ULIOFANYIKA NA CHUO CHA CAMBRIDGE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA OXFORD:Ambapo wahusika za...
08/04/2025

"KUPITIA UTAFITI WA MWAKA 2016, ULIOFANYIKA NA CHUO CHA CAMBRIDGE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA OXFORD:

Ambapo wahusika zaidi ya 500 wenye uzito tofauti tofauti walichukuliwa na kufanyiwa vipimo k**a MRI, na waligundulika kuwa wengi wao waliokuwa na unene uliokithiri, grey matter ilikuwa ndogo (imesinyaa na kupungua ujazo wake).
Grey matter ni sehemu ya ubongo yenye seli nyingi za neva (neurons) โ€” ndiyo inahusika na kufikiri, kumbukumbu, hisia, kufanya maamuzi, nk.

Moja ya sehemu muhimu sana ya grey matter ni Hippocampus ambayo hutengeneza na kuhifadhi kumbukumbu mpya.
Hippocampus ili ifanye kazi yake vizuri, moja ya vitu inayohitaji ni homoni ya insulin na seli mpya kuzalishwa kwa utaratibu mzuri.

Watu wanene na wenye mafuta mengi, huwa na kemikali za chochezi zinazolishwa, ambazo moja kwa moja huenda kuharibu uzalishwaji wa seli mpya kwenye hippocampus na hivyo kudhoofisha utunzwaji wa kumbukumbu.

Pili, unene kupita kiasi husababisha uzuizi wa insulin kutumiwa na seli, hivyo hata hippocampus inakosa homoni hii ya insulin kwa sababu ya uzuizi huu โ€” yaani insulin resistance, hivyo kuharibu uhifadhi wa kumbukumbu.
Inawezekana kabisa ukapunguza uzito na ukaondokana na adha hii ya kukosa kumbukumbu
K**a unahitaji kusimamiwa na kupewa virutubisho vya kupunguza uzito, wasiliana nasi: HNL WELLNESS CENTRE 0629904831.

Tutakusaidia kupunguza 2kg hadi 10kg kwa siku zisizozidi 30 kwa njia za kiafya na salama zenye matokeo ya kudumu.

StayFit ๐Ÿ€๐ŸŒด

09/03/2025

Rangi nyekundu ya nyanya unayoiona ni matokeo ya kuwepo kwa antoxidant aina ya lycopene hii unaweza ipata pia kwenye mat...
25/02/2025

Rangi nyekundu ya nyanya unayoiona ni matokeo ya kuwepo kwa antoxidant aina ya lycopene hii unaweza ipata pia kwenye matunda mengine k**a tikiti maji na papai
Japo tafiti zinaonyesha kuwa nyanya ndiyo inaongoza zaidi kwa wingi wa antioxidant hii ya LYCOPENE.

Lycopene itakusaidia kuondoa sumu ikijumuisha gesi chafu tumboni ( free radicals ) lakini pia itakusaida kukukinga dhidi ya saratani ya tezi dume na pia hata kuharakisha uponyaji wa tezi dume iliyo vimba ( BPH ) Namna ya kuandaa ni rahisi soma maelezo ya kwenye picha hii hapa chini

Ulikuwa unaifahamu hii kabla ๐Ÿ˜?? Wengi tuliaminishwa hivyo lakini sayansi na baadhi ya tafiti hazisadiki  hili k**a ni m...
25/02/2025

Ulikuwa unaifahamu hii kabla ๐Ÿ˜?? Wengi tuliaminishwa hivyo lakini sayansi na baadhi ya tafiti hazisadiki hili k**a ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo na kisukari basi bamia ndiyo isikosekane kwenye mlo wako

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HNL Wellness Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram