24/11/2025
•Umekuwa ukitokwa na uchafu wenye harufu kali sehemu za siri, unakosa amani,furaha na kujiamini mbele za watu?
•Tatizo hili limekuwa likishamiri kwa wanawake wengi siku hadi siku, Napenda nikufahamishe tu kuwa "huwenda ukawa na maambukizi yanayopanda juu kutoka kwenye uke, shingo ya kizazi, mfuko wa uzazi, mirija ya uzazi na hata kwenye ovari" Hiyo ndiyo sababu kubwa ya kuonekana kwa dalili hiyo.
•Kuendelea kupuuzia hiyo hali na kutochukua hatua mapena unaweza kupelekea "maumivu sugu ya tumbo la chini, kuziba kwa mirija ya uzazi, mimba kutunga nje ya kizazi na hata kuwa mgumba kabisa.
•"Napenda nikushauri kuchukua hatua sasa ya kwenda hospitali na kufanya vipimo ili kupata tiba mapena" Unaweza kuwasiliana nami GlowAfya kwa ushauri wa kimatibabu na hatua za kuzifuata.