Ijue Afya ya uzazi wako

Ijue Afya ya uzazi wako �NATOA USHAURI KWA MAGONJWA YA UZAZI KAMA
�PID & FANGASI, UVIMBE, n.k
�TEZI DUME, NGUVU ZA KIUME n.k

*UNAIJUA  (AKN)**ACNE KELOIDALIS NUCHAE* Acne Keloidalis Nuchae (AKN) ni hali ya ngozi inayojitokeza kwa njia ya vipele ...
09/06/2025

*UNAIJUA (AKN)*
*ACNE KELOIDALIS NUCHAE*

Acne Keloidalis Nuchae (AKN) ni hali ya ngozi inayojitokeza kwa njia ya vipele au uvimbe nyuma ya shingo, hasa kwenye eneo la nywele (karibu na shingo ya nyuma), ambavyo huweza kugeuka kuwa makovu magumu (keloids).

Husababishwa na

1. Unyoaji wa nywele karibu sana na ngozi (especially close shaving)

2. Msuguano wa mara kwa mara (kutoka kwa mikanda ya kola, helmeti, au ndevu za shingoni)

3. Jasho kupita kiasi

4. Ngozi ya mafuta sana

5. Urithi (genetics) – inawaathiri zaidi wanaume wenye ngozi ya giza (hasa wa Afrika)

6. Maambukizi ya bakteria (wakati mwingine huambatana)

Dalili kuu:

Vipele vidogo vyenye maumivu

Uvimbe unaozidi kuwa mgumu

Makovu sugu yanayopanuka taratibu

Nywele kukua ndani ya ngozi (ingrown hairs)

Matibabu kwa ufupi:

Epuka unyoaji wa karibu sana

Tumia dawa za kupunguza uvimbe na bakteria k**a:

skin care

Retinoids (kupunguza kuziba kwa vinyweleo)

Laser hair removal – husaidia sana

Lakini ipo sabuni ambayo inaweza kutumika baada ya kunyoa ili kuepuka hizo changamoto

*SKIN CARE HERBAL ESSENCE SOAP*

Hii sabuni imetengenezwa na:

🌿Asali wa nyuki wa mwitu
🌿Mafuta ya n**i
🌿Mafuta ya mchikichi
🌿Majani ya mchaichai

*FAIDA ZA SABUNI HII*

🌼Inaondoa makovu na mabaka mwilini

🌼Inaondoa miwasho,vipele(allergies)

🌼Ni nzuri kuitumia k**a after shave kwa wanaume
(kuzuia vipele kichwani na kwenye kidevu baada ya shaving)

🌼Huua bakteria kwenye ngozi.

🌼In**ibua matundu ya vinyweleo vilivyozibwa kwa jasho /mafuta kisha kusababisha chunusi

🌼 Nzuri kwa watu wenye mapunye,mafua.

🌼Inasaidia kukuza nywele na kulinda zisikatike hovyo kwa kuoshea k**a shampoo.

🌼Inalinda ngozi yako na mionzi ya jua. Nzuri pia hata kwa wale wanaotumia cream kali.

🌼Nzuri kwa watoto wanaopata mapele kichwan na kuzuia tetekuanga nk

*Tahadhari*
Sabuni hii haipatikani pharmacy isipokuwa maduka ya VIRUTUBISHO ya bright future

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijue Afya ya uzazi wako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share