Mwalimu Adili Magayuka

Mwalimu Adili Magayuka Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwalimu Adili Magayuka, Astrologist & Psychic, Dodoma.

...BADO WIKI MOJA TU KITOKE...🌿✨ Je, unataka kupata utulivu wa ndani, kuondoa msongo wa mawazo, kuishi maisha yenye fura...
18/09/2025

...BADO WIKI MOJA TU KITOKE...
🌿✨
Je, unataka kupata utulivu wa ndani, kuondoa msongo wa mawazo, kuishi maisha yenye furaha zaidi na pengine kukua kiroho?
Kitabu hiki cha TAHAJUDI kinakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kufanya tahajudi kwa urahisi na kufaidika na nguvu zake.

📖 Ukikisoma utapata:
✅ Maarifa ya kuongeza umakini na amani ya akili
✅ Njia rahisi za kuanza bila ugumu
✅ Mbinu za kujenga maisha yenye afya ya mwili akili na roho

👉 Usikose nafasi hii ya kubadilisha maisha yako.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu Adili Magayuka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share