Mboga Chap Chap

Mboga Chap Chap Tunarahisisha mahitaji yako ya jikoni. Kwa kukuandalia viungo, mboga na vyakula mbalimbali. KARIBUNI

Karibu tukuhudumie. Maandazi ya n**i matamu kuliko maelezo.WhatsApp 0713235637
04/06/2019

Karibu tukuhudumie. Maandazi ya n**i matamu kuliko maelezo.

WhatsApp 0713235637

Njegere ziko tayari kwa mapishi mbalimbali.  Unaweza kutumia kwenye wali, pilau, mchuzi au k**a zilivyo.Tembelea ukurasa...
22/05/2019

Njegere ziko tayari kwa mapishi mbalimbali. Unaweza kutumia kwenye wali, pilau, mchuzi au k**a zilivyo.

Tembelea ukurasa wetu . Tuokoe muda wako .

"Uchungu wa figiri na mnafu ndio utamu wake".Mboga za majani ikiwemo figiri, mnafu na msusa. Zimeandaliwa vizuri ili  ku...
20/05/2019

"Uchungu wa figiri na mnafu ndio utamu wake".
Mboga za majani ikiwemo figiri, mnafu na msusa. Zimeandaliwa vizuri ili kurahisisha mapishi yako. Zimechambuliwa, zimeoshwa na kukatwakatwa.

Mfuko 2000/=
WhatsApp 0713235637 tukuhudumie.

Watafiti kutoka St. Joseph Family Medicine Residency, nchini Marekani. Katika ripoti yao ya utafiti, wameeleza kuwa matu...
18/05/2019

Watafiti kutoka St. Joseph Family Medicine Residency, nchini Marekani. Katika ripoti yao ya utafiti, wameeleza kuwa matumizi ya mara kwa mara ya vitunguu saum yanasaidia kupunguza uwezekano wa kuugua mafua kwa watu wazima.
Aidha matumizi hayo yanahusisha vitunguu vibichi au vilivyopikwa kwenye mapishi mbalimbali.

Karibu tukuandalie vya kwako kwa afya na kurahisisha mapishi yako pia.
WhatsApp 0713235637

Vitamini B3 ipatikanayo kwenye karanga, inayosaidia kuongeza uwezo wa binadamu kuhifadhi kumbukumbu, ni miongoni mwa fai...
16/05/2019

Vitamini B3 ipatikanayo kwenye karanga, inayosaidia kuongeza uwezo wa binadamu kuhifadhi kumbukumbu, ni miongoni mwa faida nyingine nyingi za karanga mwilini.
Kwa mahitaji ya karanga safi na zilizoandaliwa vizuri, karibu tukuhudumie.

Karanga 3000.

Address

Changanyikeni Shuleni. DSM
Dsm

Telephone

+255713235637

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mboga Chap Chap posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share