Afya yako

Afya yako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya yako, Medical and health, Tanzania, Geita.

04/04/2026
AFYA BORA HUANZA NA MWILI ULIO SAWA 💚Je, unasumbuliwa na mojawapo ya hali hizi? ❓ Mwili mzito au uchovu wa kudumu❓ Kuvim...
04/04/2026

AFYA BORA HUANZA NA MWILI ULIO SAWA 💚
Je, unasumbuliwa na mojawapo ya hali hizi? ❓ Mwili mzito au uchovu wa kudumu
❓ Kuvimba uso au sehemu za mwili
❓ Harufu mbaya ya mdomo au mwili
❓ Ngozi kuwasha, vipele au chunusi zisizoisha
❓ Kichwa kizito, gesi tumboni au choo kisicho kawaida
🔎 Dalili hizi mara nyingi husababishwa na kujaa kwa taka zisizohitajika mwilini (sumu mwilini).
⚠️ Nini husababisha mwili kujaa taka mbaya? ▪️ Kunywa maji kidogo
▪️ Lishe ya mafuta mengi & sukari
▪️ Matumizi ya dawa bila mpangilio
▪️ Pombe, sigara & uchovu wa muda mrefu
▪️ Maambukizi au aleji zisizotibiwa vizuri
▪️ Kukosa usingizi & msongo wa mawazo
⚠️ Madhara ya taka mwilini kuzidi ❌ Dawa kushindwa kufanya kazi vizuri
❌ Kinga ya mwili kushuka
❌ Ngozi kuharibika
❌ Mwili kuchoka haraka
❌ Maumivu yasiyoeleweka mara kwa mara
✅ SULUHISHO LIPO HAPA – ETENAL International
🔹 Tunatumia mashine maalumu ya kisasa kusaidia mwili kupunguza taka zisizohitajika
🔹 Huduma hufanyika kwa muda mfupi
🔹 Husaidia mwili kurudi kwenye mzunguko wake wa kawaida wa afya
🌟 FAIDA ZA HUDUMA HII ✔️ Kuongeza ufanisi wa dawa
✔️ Kuboresha afya ya ngozi
✔️ Kupunguza uvimbe & uchovu
✔️ Kujisikia mwepesi na mwenye nguvu
✔️ Kuboresha utendaji wa mifumo ya mwili
🎉 OFa MAALUM YA MWANZO WA MWAKA 🎉
💰 Gharama nafuu sana – kwa muda maalumu
📞 Wasiliana nasi sasa:
📱 0768416785
👉 K**a umepima ukaambiwa una tatizo hilo au unahisi mwili wako hauko sawa, usisubiri hali izidi.
💚 ETENAL International – Afya Kwanza, Maisha Bora 💚

02/04/2026

GCAT INTERNATIONAL HEALTH CARE
TUNA VIFAA MAALUMU
PAMOJA NA WATAALAMU WA UPIMAJI WA MAGONJWA YOTE SUGU YASIYOAMBUKIZA K**A VILE
🍇 𝗞𝗜𝗦𝗨𝗞𝗔𝗥𝗜
🍇 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘
🍇 𝗣𝗨𝗠𝗨
🍇 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔
🍇 𝗠𝗜𝗦𝗨𝗟𝗜
🍇 𝗠𝗜𝗦𝗛𝗜𝗣𝗔
🍇 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗢
🍇 𝗞𝗔𝗡𝗦𝗔
🍇 𝗜𝗡𝗜
🍇 𝗣.𝗜.𝗗
🍇𝗧𝗘𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗠𝗘
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗢𝗬𝗢
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗙𝗜𝗚𝗢
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗭𝗜
(wanaume, wanawake)
🍇𝗨.𝗧.𝗜 𝗦𝗨𝗚𝗨
🍇𝗙𝗔𝗡𝗚𝗔𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗭𝗢𝗧𝗘
🍇𝗩𝗜𝗗𝗢𝗡𝗗𝗔 𝗩𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗢
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜
KIPIMO HIKI KITA SCAN MWILI WAKO WOTE KWANZIA KICHWANI HADI MIGUUNI,, HIVYO BASI HAKUNA UGONJWA WOWOTE UTAKAOJIFICHA
𝗨𝗦𝗜𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗜𝗞𝗘 TENA
NJOO UPATE SULUHISHO LA AFYA YAKO,
KIPIMO HIKI SI CHA WAGONJWA TU BALI NI MTU YEYOTE ANAYEHITAJI KUJUA UNDANI WA AFYA YAKE
Dawa zetu ni Saplimental yaani hazina kemikali

Mawasiliano
0768416785

Address

Tanzania
Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share