AFYA POINT

AFYA POINT *Afya Point �*
Vipimo vya mwili mzima kwa 30,000 tu — popote ulipo!

Tunatatua changamoto za wanawake kwa virutubisho salama.
� 0793 686 006 | 0693 139 602 | 0628 393 692

ETERNAL Soya and Fresh Fruits & Vegetables Solid Beverage, unapata mchanganyiko halisi wa virutubisho vya asili vinavyos...
12/10/2025

ETERNAL Soya and Fresh Fruits & Vegetables Solid Beverage, unapata mchanganyiko halisi wa virutubisho vya asili vinavyosaidia mwili wako kupata nguvu, uhai na kinga bora dhidi ya magonjwa. 💪🥦🍎 Kila mfuko mdogo umejaa nguvu za mimea, matunda na mboga asilia zinazokupa mlo kamili unaochangamsha akili na mwili. 💧💚
✅ Huongeza Nguvu ya Asili
✅ Huimarisha Kinga ya mwili dhidi ya uchovu na magonjwa
✅ Afya bora ya muda mrefu bila kemikali
✅ 100% Natural
✅ Rahisi kutumia – changanya na maji ya uvuguvugu
✅ Ina harufu nzuri ya kuvutia 🌱 Anza leo safari ya afya bora na ETERNAL kwa sababu mwili wako unastahili Afya bora zaidi.

🦷✨ *Eternal Toothpaste* ni suluhisho sahihi kwa wenye maumivu ya meno, fizi zinazovuja damu, na harufu mbaya ya mdomo! 🌿...
21/09/2025

🦷✨ *Eternal Toothpaste* ni suluhisho sahihi kwa wenye maumivu ya meno, fizi zinazovuja damu, na harufu mbaya ya mdomo! 🌿 Hujenga meno upya na kuondoa maumivu bila kemikali kali. Jaribu leo — meno yako yatakushukuru! 😁📞 0793686006

UNASUMBULIWA NA UTI SUGU, FANGASI, PID? Kampuni ya afya, ya kimataifa kutoka China (Eternal International Company Limite...
02/09/2025

UNASUMBULIWA NA UTI SUGU, FANGASI, PID? Kampuni ya afya, ya kimataifa kutoka China (Eternal International Company Limited) inayoaminika na kufanya kazi nzuri nchi nyingi barani Afrika na nje ya Afrika, sasa ipo nchini Tanzania kwa ajili yako.

Njoo upate huduma na suluhisho la tatizo lako katika vituo vyetu vilivyoenea kila mkoa nchini, Unguja na Pemba pia.

Kwa kutumia vipimo vya teknolojia ya kisasa, tutaskani mfumo mzima wa mwili wako na kubaini sababu inayopelekea tatizo lako, kisha kukupatia tiba mnasaba kabisa kwa kutumia TIBALISHE / VIRUTUBISHO (Food Supplements).

Njoo ufaidike na vipimo vya mwili mzima kwa bei ya punguzo ya Sh. 30000/= tu.

Kwa msaada wa haraka piga 0789 920 594
Au
*bonyeza hapa moja kwa moja kuwasiliana nasi WhatsApp:*
https://wa.link/qiq2wc

*Afya ni utajiri – usisubiri kuumwa!*
Karibu *ETERNAL INTERNATIONAL HEALTH CARE* – *Afya yako, furaha yetu!*

*🩺 OFA KABAMBE YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA!*  *ETERNAL INTERNATIONAL COMPANY LIMITED* – Kampuni ya afya kutoka China, sasa...
02/09/2025

*🩺 OFA KABAMBE YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA!*
*ETERNAL INTERNATIONAL COMPANY LIMITED* – Kampuni ya afya kutoka China, sasa ipo hapa *Tanzania* kwa ajili ya kurejesha afya yako kwa njia salama na ya asili!

*Tunatoa huduma za:*
✅ *Vipimo vya mwili mzima* kwa Tsh *30,000/= tu* kipimo kitaonesha tatizo lililopo, sababu na athari zake.
✅ *Tiba ya magonjwa sugu* yasiyoambukiza kwa kutumia *Tibalishe/Virutubisho vya asili*
✅ Huduma zetu zinapatikana *nchi nzima*, ikiwemo *Unguja na Pemba*

*Magonjwa tunayopima na kutibu ni pamoja na:*
🌿 Kisukari na Presha
🌿 Vidonda vya tumbo na typhoid
🌿 Magonjwa ya moyo, figo, na ini
🌿 Mifupa, ganzi, meno na viungo
🌿 Tezidume, bawasiri, nguvu za kiume
🌿 Matatizo ya uzazi kwa wanaume & wanawake
🌿 Ngiri, uvimbe na magonjwa ya ngozi
🌿 Stroke na matatizo ya neva
🌿 PID na matatizo ya macho
na mengine mengi…

*Faida za Tibalishe zetu:*
🌱 Hutibu kwa asili bila kemikali
🌱 Hutoa sumu mwilini
🌱 Hulinda mwili na kujenga kinga
🌱 Hujenga afya ya kudumu na kuponya

*Bado hujachelewa!* K**a umehangaika sana bila kupata uponyaji, *ETERNAL* ndio suluhisho lako.
*Tupigie sasa:*
📞 0789 920 594

Au *bonyeza hapa moja kwa moja kuwasiliana nasi WhatsApp:*
https://wa.link/qiq2wc

*Afya ni utajiri – usisubiri kuumwa!*
Karibu *ETERNAL INTERNATIONAL HEALTH CARE* – *Afya yako, furaha yetu!*

KITUO CHA AFYA - Gcat health care internationalNi taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vif...
23/08/2025

KITUO CHA AFYA - Gcat health care international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana ipo kwenye OFA OFA OFA YA TSH.30,000. tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo Dar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba za simu: 0793686006

AINA ZA UCHAFU UNAOTOKA UKENI,RANGI NA DALILI ZAKE NA TIBA YAKE.Kutokwa na uchafu ukeni unaoambatana na kuwashwa au kuto...
20/08/2025

AINA ZA UCHAFU UNAOTOKA UKENI,RANGI NA DALILI ZAKE NA TIBA YAKE.

Kutokwa na uchafu ukeni unaoambatana na kuwashwa au kutokewa na vipele, hii huashiria kwamba kuna tatizo ukeni, na katika makala hii tumechambua aina mbali mbali za uchafu ukeni kwa kuangalia rangi zake na dalili za magonjwa.

1. UCHAFU WENYE RANGI YA KAHAWIA AU DAMU

Huu uchafu huonyesha dalili ya kuwa mzunguko wako wa hedhi umevurugika na wakati mwingine ni dalili ya magonjwa k**a kansa ya kizazi,
mwanamke anayepata tatizo hili hutoa damu nyingi pamoja na kuumwa sana nyonga, hivo ukiona dalili k**a hizi nenda kafanye vipimo hospital na kuanza tiba mapema

2. UCHAFU WENYE RANGI YA NJANO /KIJANI WENYE HARUFU MBAYA

Endapo uchafu huo utatoka k**a povu na wenye rangi ya kijani au njano na ukiambatana na harufu mbaya huwa ni dalili ya ugonjwa wa trichomonas,PID(pelvic inflammatory disease), maambukizi ya parasite yanatokana na ngono zembe,
dalili Yake nyingine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo,maumivu wakati wa tendo la ndoa,kutokwa na damu ukeni wakati wa tendo la ndoa n.k.

3. UCHAFU MWEUPE MZITO K**A JIBINI

Mara nyingi hii huwa ni dalili ya maambukizi ya fangasi(YEAST INFECTION) na dalili nyingine huwa ni kuvimba sehemu ya nje ya siri, kuwashwa na kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
Ngozi ya eneo la nje kubadilika rangi na kuwa nyekundu,kuhisi hali ya kuungua wakati wa kutembea,
uchafu mzito kutoka ukeni na wa rangi mithili ya maziwa mgando,uchafu huu huweza kuambatana na harufu mbaya kutoka ukeni

4. UCHAFU MWEUPE/KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI

Uchafu wa Aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria vaginosis, mara nyingi mwenye tatizo hili husikia muwasho na maumivu sehem ya nje ya uke.
KUMBUKA: Jua kutofautisha kati ya ute ute ambao ni kawaida kumtoka mwanamke akiwa kwenye siku za hatari na aina za uchafu unaotoka ukeni ambao nimetoa maelezo yake.
Ute ute wa siku za hatari unakuwa wa kuvutika k**a vile ule wa kwenye yai la kuku,na hauna harufu yoyote mbaya.
Wahi huduma
NAMBA ZETU NI 0793 686 006 Dr Surianor

PROPOLIS Hili ni moja wapo ya zao la nyuki k**a ilivyo kwa Asali ambapo limekuwa na faidia kubwa kiafya.Propolis inatoka...
20/08/2025

PROPOLIS
Hili ni moja wapo ya zao la nyuki k**a ilivyo kwa Asali ambapo limekuwa na faidia kubwa kiafya.
Propolis inatokana na mchanganyiko wa mate ya nyuki, ute ute wa mimea na ntaa ( beewax) ambayo utengeneza mchanganyiko wenye rangi ya kahawia ( brown) 🤎.

Historia inaonesha imekuwa ikitumika kwa zaidi ya miaka elfu 4 iliyo pita k**a tiba.
🌟Wagiriki waliotumia katika kutibu majipu.
🌟Wasiria waliotumia katika kutibu Vidonda na mivimbe ya njee na ndani ya mwili, pia katika kupambana na mqambukizi sugu mbalimbali.
🌟Wa Misri ( Ancient Egypt) walitumia katika kutunza maiti za wafalme wao mafalao zisioze na Hadi Leo miili ipo vizuri k**a kumbukumbu.

KIFUPI 🔎
✏️Inasaidia kutibu maambukizi sugu, UTI, PID , GONO
✏️Kutibu Vidonda visivyo pona kwa haraka, Vidonda vya Tumbo, Vidonda visivyo tokana na sukari.
✏️Kutibu na kupunguza makali Saratani zote.
✏️ Kuimarisha afya ya moyo.
✏️Magonjwa ya mishipa ya gahamu k**a:
💜Kupoteza kumbukumbu ( Dementia).
💜Kutetemeka (Parkinson's disease)

💚Kuimarisha Kinga kwa magonjwa ya autoimmune ( Kinga ya mwili ndio askari wa mwili).
💚Inazuia maambukizi ya bacteria 🦠. Mara kumi ( x 10). Kuliko antibiotics za kawaida.

💚Inazuia maambukizi na kutibu maambuki ya VIRUSES.

💚Inazuia na kutibu FANGASI.

💚Inazuia mivimbe na kutibu Vidonda pamoja na saratani.

💚Inatibu magonjwa ya zinaa vizuri sana ( Ge***al herpes, Ge***al warts).

💚Inatibu mafua na Vidonda vya koo.

💚Inasaidia matatizo ya kutoshika ujauzi kwa mwanamke pamoja na Chango ( endometriosis).

WASILINA NAMI KWA NAMBA NIPIGIE:
🛑0793 686 006 Dr Surianor

OFA YA VIPIMO MWILI MZIMA... OFA YA TIBA YA MARADHI YOTE YASIYOAMBUKIZA. UNA UGONJWA SUGU? UMEKATA TAMAAA KUPONA? BADO U...
16/08/2025

OFA YA VIPIMO MWILI MZIMA... OFA YA TIBA YA MARADHI YOTE YASIYOAMBUKIZA. UNA UGONJWA SUGU? UMEKATA TAMAAA KUPONA? BADO UNA NAFASI YA KURUDISHA AFYA YAKO MAHALI PAKE.

ETERNAL INTERNATIONAL COMPANY LIMITED ni kampuni ya maswala ya afya kutoka China, na sasa ipo nchini Tanzania kurejesha faraja yako.

Vituo vyetu vya afya (ETERNAL INTERNATIONAL HEALTH CARE) vinapatikana maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam na mikoa yote nchini, pia vituo vinapatikana Unguja na Pemba.

VIPIMO
Njoo ufanye KIPIMO cha MWILI MZIMA kwa Tsh. 30,000/= tu, kinachoonyesha tatizo lililopo, sababu na athari zake, lakini pia kinaonyesha dalili za tatizo linalokunyemelea.

ETERNAL INTERNATIONAL COMPANY imebobea Katika TAFITI NA KUTIBU magonjwa YASIYOAMBUKIZA kwa kutumia TIBALISHE/VIRUTUBISHO MAALUMU vinavyotokana na mimea asili.

Magonjwa yasiyoambukiza ni k**a:

✓ Matatizo ya Uzazi Kwa wanaume na Wanawake
√ Vidonda vya Tumbo na Typhoid sugu.
√ Mifupa, Ganzi, Meno
√ Stroke au kuparalaizi.
√ Magonjwa ya Moyo na Figo
√ Bawasiri na Tezidume, nguvu za kiume
√ Ngiri na Uvimbe aina zote.
√ Matatizo ya Ngozi
√ KISUKARI, Presha ( BP), P I D, matatizo ya Macho N.K.

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO ambavyo hufanya kazi kuu nne mwilini:
👉 Kuosha/ kutoa sumu mbaya zote mwilini
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Kwa msaada wa haraka, wasiliana nasi kwa namba 0793 686 006, au bofya kitufe cha WhatsApp hapo chini

16/08/2025

NGUVU ZA KIUME Kwa msaada wa haraka tembelea vituo vyetu vilivyoenea kila mkoa, nchi nzima, Unguja na Pemba pia..
TUPIGIE ILI UPATE HUDUMA HARAKA
0793 686 006
0693 139 602
0628 393 692

Address

Geita
Geita

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA POINT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram