Masty Nutrition

Masty Nutrition Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Masty Nutrition, Nutritionist, Goba, Goba.

Dondoo
15/11/2024

Dondoo

Karibuni sana
13/11/2024

Karibuni sana

Kula vyakula mchanganyiko kutoka makundi tofauti tofauti ya vyakula kila siku huku ukizingatia utofauti wa vyakula kutok...
11/11/2024

Kula vyakula mchanganyiko kutoka makundi tofauti tofauti ya vyakula kila siku huku ukizingatia utofauti wa vyakula kutoka katika kila kundi…

Kwa mfano badala ya kula wanga utokanao na mahindi kila siku jitahidi siku nyingine ule mtama, ulezi, mihogo nk

Vyakula vinaweza kuwa katika kundi moja lakini vikatofautiana baadhi ya virutubishi na pia uwingi wa virutubishi.

Lishe inalipa
09/11/2024

Lishe inalipa

Parachichi ni moja kati ya tunda zuri na limesheheni virutubishi lukuki.Ingekuwa hii t shirt inagawiwa kwa mtu ambaye ye...
09/11/2024

Parachichi ni moja kati ya tunda zuri na limesheheni virutubishi lukuki.

Ingekuwa hii t shirt inagawiwa kwa mtu ambaye yeye na parachichi humwambii kitu unadhani katika marafiki zako wa k**e nani ingemfaa?😄

It’s all about Nutrition and Wellness
09/11/2024

It’s all about Nutrition and Wellness

Dondoo za lishe
21/10/2024

Dondoo za lishe

K**a una mtoto ni chakula kipi kati ya hivi ulianza kumpatia mtoto wako?Na k**a ni mzazi mtarajiwa kipi umekipenda zaidi...
30/08/2024

K**a una mtoto ni chakula kipi kati ya hivi ulianza kumpatia mtoto wako?

Na k**a ni mzazi mtarajiwa kipi umekipenda zaidi?

Address

Goba
Goba

Telephone

+255716152387

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masty Nutrition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category