
19/10/2024
*𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 MAGONJWA YA 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗡𝗚𝗜𝗢👇*
🌿 Kusagika kwa Pingili za Mgongo
🌿 Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo
🌿 Mifupa Kusagana
🌿 Miguu Kuwaka Moto
🌿 Kuhisi Ganzi
🌿 Maumivu ya Shingo, Kiuno
🌿 Kukosa Uteute kwenye Magoti
🌿 Kushindwa Kutembea n.k
𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗭𝗜𝗡𝗔𝗭𝗢𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔 (𝗢𝗘𝗧𝗘𝗢𝗣𝗢𝗥𝗢𝗦𝗜𝗦) 👇
✍️ Magonjwa ya figo.
✍️ Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye (Menopause) kikomo cha hedhi
✍️ Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
✍️ Anorexia uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoezi kupita kiasi.
𝗔𝗧𝗛𝗔𝗥𝗜 𝗭𝗜𝗡𝗔𝗭𝗢𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗭𝗔 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗡𝗚𝗜𝗢 👇
🍀 Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
🍀 Kupinda Mgongo wakati wa Uzeeni
🍀 Maumivu makali ya Mifupa hasa Katika uti wa mgongo, Mabegani, Kifuani na katika Nyonga.
🍀 Ulemavu wa Kudumu
🍀 Kupata Tatizo la Kiharusi (Stroke)
🍀 Kifo 😥
𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜