Dickson Health Tips

  • Home
  • Dickson Health Tips

Dickson Health Tips Utaweza kujifunza namna ya kutatua tatizo la nguvu za kiume. Madhara ya Bawasili kwa njia zote. Kuondoa madhara ya punyeto. Kuondoa changamoto ya Tezi dume.

NGUVU ZA KIUME ULIZO NAZO ZINAENDANA NA UMRI WAKO?Nguvu za kiume kwa mwanaume ambae yupo vizuri kiafya uwezo wake kadri ...
20/04/2022

NGUVU ZA KIUME ULIZO NAZO ZINAENDANA NA UMRI WAKO?

Nguvu za kiume kwa mwanaume ambae yupo vizuri kiafya uwezo wake kadri umri unavyoenda/kuongezeka nguvu zinaongezeka, mwanaume mwenye miaka 18 mpaka 29 hawezi kumfikia mwanaume mwenye miaka 30 mpaka 45, ingawa baada ya mda kuanzia miaka 45 kuendelea kuna mda ambao nguvu na ham zinashuka ndani ya miaka k**a 5 mpaka7 baada ya hapo zinaanza kupanda k**a mwanaume yupo vizuri kiafya na lishe, na kipindi hiki mwanaume anakuwa k**a kijana wa miaka 18 mpaka 29 usishangae wazee kutembea na vibinti vidogo vidogo katika umri huo kwa sababu ham na nguvu zinaongezeka baadae ndo zitaanza kushuka tena,

Asilimia kubwa ya wanaume uwezo wao kitandani hauendani na umri wao, namaanisha kuna wanaume umri wao bado mdogo lakini uwezo wao kitandani ni sawa na mzee wa miaka 65 au 70 na wengine nguvu za kiume zinapungua kadri umri unavyoenda yaani mtu anaumri wa miaka 30 au 40 lakin uwezo wake wa mwisho kabsa yaani hapo kajikamua bao 3 ujue hapo kunashida kweli kweli na inahitaji utatuzi mkubwa, miaka 30 au 45 huwezi kuzidi 3 ukifikisha miaka 60 au 70 utakuwa na nini sasa,

Wanaume wengi nguvu za kiume hupungua kadri umri unavyoongezeka kwa sababu mbali mbali k**a punyeto enzi za ujana wao huathili mishipa na hisia baadae nguvu hupungua na maumbile hunywea, mwanaume mzima anakuwa na uume ambao uko sawa na mtoto mdogo hili linawaumiza wengi sana, pili vyakula na vinywaji siku hizi vyakula vinamafuta ambavyo huganda kwenye mishipa ya damu na kudhoofisha mtililiko wa damu ambao huchangia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa nguvu za kiume, watu wanatumia vinywaji yenye vilevi na sukari ambavyo huasili hormone na mzunguko wa damu watu ham na nguvu hamna.

Kuanzia miaka 18 mpaka 29 kuwa na uwezo wa kwenda laundi 3 mpaka 5 ni hali nzuri kwako, miaka 30 mpala 45 kwenda 4 mpaka 7 ni hali nzuri miaka 45 kwenda mbelee mpaka miaka 55 ukaanza kwenda 3 mpaka 5 lakin baada ya hapo upande mpaka 4 mpaka 5 hapo upo sawa kiafya, ila k**a unaona kadri umri wako unavyoenda ndo mambo yanapungu miaka 30 au 40 kufikisha 3 ni tabu lekebisha lishe yako, fanya mazoezi na pia mwili usaidie umeelemewa kwa kuupatia virutubisho hivi siyo dawa ni tiba lishe hazina madhara zinakusaidia kulekebisha penye shida na kujazia penye mapungufu

Ukitumia argi+ na multi maca unaulisha mwili wako ambapo utaanza kuona mabadiliko makubwa uwezo utaongezeka na hapo sasa lishe uendelee kula vyakula sahihi?

Faida za argi+ na multi maca >kuboresha mzunguko wa damu na kuimalisha mishipa na misuli
> kuongeza uzalishaji wa mbegu na ubora
> kuludisha ham ya tendo landoa
> kuongeza nguvu za kiume
> kuondoa matatizo ya mfumo wa mkojo
>kulisha na kulinda tezi dume
>kuondoa madhara ya punyeto

Tuma Neno MSAADA kwenda whatsaap namba +255684708770au piga simu

NB Hakikisha una umri wa miaka 30-55 anayepiga simu anawahi kupata msaada haraka zaidi.karibu Sana

JINSI NILIVYO PATA USHAURI SAHIHI NA KUPONA CHANGAMOTO YANGU YA NGUVU ZA KIUME. Naitwa MASSAWE  ni mkazi wa MBEZI , Dar ...
19/04/2022

JINSI NILIVYO PATA USHAURI SAHIHI NA KUPONA CHANGAMOTO YANGU YA NGUVU ZA KIUME.

Naitwa MASSAWE ni mkazi wa MBEZI , Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sana nilikuwa kwenye changamoto ya tendo la ndoa na hivyo ndoa yangu iliyumba sana.

Sikujua hasa shida inaanzia wapi kwani siku za zamani nilikuwaga vizuri naenda mpaka mara nne. Lakini kidogo kidogo mambo yakaanza kuwa magumu hadi jogoo kushindwa kabisa kupanda mtumgi. Najua naeleweka.

Sasa sisi wanaume hilo ni tatizo kubwa mno hasa k**a upo kwenye ndoa. Inakupunguzia confidence kwenye mambo mengi sana.

Awali nililuwa siichukulii serious sana mpaka siku ambayo wife aliamua kuwa mkali na kudai haki yake kila siku ikabidi niwe mdogo nimwambie kuwa sijui nini shida kiukweli. Sasa unajua wanawake mkigombana kidogo tu anaingiza topic za tendo la ndoa. Nikawa nazidi kuathirika kisaikolojia.

Nikaamua kuanza kufanya vitu ambavyo nilishasikia wengi wakifanya. Nilijaribu vitu vingi mno lakini sikupata nafuu yoyote sana sana ndo tatizo lilizidi kuwa kubwa. Mwisho nikaanza kupata stress. Aisee ujue sisi wanaume ndo maana ni rahisi kufa sababu huwezi kumwambia mtu kirahisirahisi eti wewe huna nguvu za kiume. Unaanza kuwaza nisije nikawa kituko mtaani. Unaamua kuteseka kivyako. Siku zikazidi kwenda tatizo linazidi kuwa kubwa.

Miezi michache iliyopita nikiwa katika kuperuzi mitandaoni nikakutana na page moja ambayo ilikuwa imetoa elimu ndefu sana kuhusu tatizo zima la mfumo wa uzazi kwa mwanume na nini hasa hutokea mpaka uume usimame na mtu akipoteza hali hiyo afanyeje. Kwa kweli elimu ile ilikuwa ya kina sana kiasi ambacho nilipata ufahamu mzuri pa kuanzia. Kwa kuwa walitoa namba zao za WhatsApp niliamua kuwafuata WhatsApp nikiwa na shauku kubwa sana ya kufahamu zaidi. And kwa kweli ELIMU niliyoipata tena BURE aisee ilikuwa kubwa mno mno kiasi ambacho niliwaza dah ni wanaume wangapi wanaohitaji kupata elimu hii. Walinifafanulia kwa kina mno kuhusu suala zima na kunielimisha kuwa kumbe jinsi ya kutatua mambo ya nguvu za kiume kila mtu anatakiwa kupata suluhisho kutokana na

~ UMRI WAKE
~ AINA YA TATIZO LAKE
~ UKUBWA WA TATIZO LAKE
~ MAZINGIRA YALIYOSABABISHA TATIZO LAKE

Mfano k**a mtu tatizo lake limesababishwa na punyeto hawezi kupata solution sawa na mtu ambaye tatizo lake limesababishwa na kisukari au limesababishwa na ajali au limesababishwa na kukosa lishe bora kwa muda mrefu. Kila mtu anatakiwa apate suluhisho stahiki na ndo maana mwanaume anatakiwa apate elimu sahihi kwanza.

Kifupi niliweza kupata msaada na itoshe kusema tu sasa mambo ni motooo! Hadi wife ameshangaa mziki wake! Vijana wanasema ni bandika bandua!

Nimeona nitoe ushuhuda huu ili wengine wasaidike pia k**a mimi nilivyosaidika.

Piga simu namba +255684708770

19/04/2022

1. ASTHMA (PUMU)

Aloe Vera Gel
Argi +
Bee Propolis
A-BetaCarE
Absorbent C
Gingko Plus
Garlic Thyme
Lycium Plus
Heat Lotion

2. KIUNGULIA (HEART BURN)

Aloe Vera Gel
Fields of Greens
Lycium Plus

3. WENYE TATIZO LA KUKOSA USINGIZI

Aloe Vera Gel
Royal Jelly
Nature Min
Aloe Blossom Tea

4. STRESS (MSONGO WA MAWAZO/ UCHOVU WA AKILI)

Aloe Vera Gel
Aloe Blossom Tea
Bee Pollen
A-Beta CarE
Bee Propolis
Absorbent C
Royal Jelly
Gin-Chia

5. LOW BLOOD PRESSURE

Aloe Vera Gel
Arctic Sea
Royal Jelly
Garlic Thyme
Garcinia Plus

6. HIGH BLOOD PRESSURE

Argi +
Aloe Vera Gel
A-Beta CarE
Gingko Plus
Garlic Thyme
Nature Min
Royal Jelly

7. GOITRE

Aloe Vera Gel
Bee Pollen
Nature Min

8. HIV/AIDS

Aloe Vera Gel
Forever Immublend
Absorbent C
Nature Min
Bee Pollen
Bee Propolis
Forever B12
Arctic Sea
A-Beta Care
Fields of Greens

9. U.T.I

Berry Nectar
A-Beta CarE
Bee Propolis
Garlic Thyme

10. JOINTS PROBLEM PACK (PACK YA MATATIZO YA JOINTS NA MIFUPA)

Forever Freedom
Pomesteen Power
Forever Calcium
Forever B12
MSM Gel
Heat Lotion
Active HA

11. KUZUIA PROSTATE PROBLEMS

Berry Nectar
Pro 6
Nature Min
Gin-Chia
A-Beta CarE
Multimaca
Bee Pollen

12. MUMPS

Aloe Vera Gel
Bee Propolis
A-Beta CarE
Absorbent C

13. BALDNESS (UPARA)

Nature Min
Aloe Vera Gel
Jojoba Shampoo
Jojoba Conditioning Rinse
Gelly Tube (Lotion)
Aloe First Spray

14. KISUKARI

Aloe Vera Gel
Lycium Plus
Garcinia
Fields of Greens
Gin-Chia
Garlic Thyme

15. ALLERGIES

Allergy kwa jumla:

Aloe Vera Gel
Bee Pollen
Royal Jelly
Bee Propolis

Kwa Allergy ya macho (mfano macho kuwasha etc.. Red eyes. Pink eyes):

Aloe Activator (anadondoshea kwenye macho 3 drops every 4 hours)
Gelly Tube (Lotion)
Aloe Vera Gel
Forever Vision
A-Beta CarE

Kwa Allergy inayoleta hay fever ama inayoleta asthma. (Mfano sababu ya Mafua, manyoya, mazulia, vumbi, chakula, au chemicals fulani):

Aloe Vera Gel
Lycium Plus
Gingko Plus
Bee Pollen
Forever Bee Propolis
Garlic Thyme
A-Beta CarE
Nature Min
Heat Lotion/Gelly Tube. Anapaka kidogo sana
(Hakikisha unajua namna ya kutumia Heat Lotion. Huwa haitakiwi kuchua hii maana mtu ataungua. Inapakwa nyembamba tu bila kuchua hata kidogo)
Hudhuria Semina za members maana hapa hatuwezi kuelezea kila kitu. Trainings ndo zipo kwa kazi hiyo.

16. ULCERS (Gastric, Colitis, Uncer, Heartburn, Doudenum)

Aloe Vera Gel
Lycium Plus
Bee Propolis
Garlic Thyme
A-Beta CarE
Fields of Greens
Nature Min
Active Probiotic

17. CONSTIPATION (WASIOPATA CHOO)

Aloe Vera Gel
Fields of Greens
Forever Lite Shake
Ale sana mboga za majani au atumie Fields of Greens
Nature 18
Anywe pia maji mengi sana.

18. BAD BREATH (HALITOSIS)

Aloe Bright Tooth gel
Garlic Thyme
Absorbent C
Aloe Vera Gel

19. BLEEDING GUMS (FIZI KUTOA DAMU)

Forever Bright Tooth gel
Absorbent C
Nature Min

20. MUSCLE CRAMPS OR MUSCULAR PAINS

Nature Min
Arctic Sea Super Omega 3
Aloe Vera Gel
Aloe Heat Lotion
Aloe Blossom Tea

K**a ana leg cramps mpe pia:

Royal Jelly
Forever Move

Dalili zinazoonyesha Kwamba Mwanaume amepungukiwa nguvu za kiume.1️⃣Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usi...
18/04/2022

Dalili zinazoonyesha Kwamba Mwanaume amepungukiwa nguvu za kiume.

1️⃣Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi .

2️⃣Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.

3️⃣Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za Siri.

4️⃣Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.

5️⃣Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke Zinasinyaa .Hapa Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa .

6️⃣Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.

7️⃣kushindwa kurudia Mara ya Pili .unakuta ukishatoa Goli Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

8️⃣Mashine kulala Ndani ya Nyeti Za Mwanamke,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.

Tuwasiliane K**a una dalili tajwa hapo juu. Nitakusaidia Nitakupatia Matibabu Utapona Kabisa Hali Yako Itakuwa Nzuri K**a Mwanzoni.

Tuma Neno msaada kwenda whatsaap namba +255684708770 kwa msaada zaidi

K**a wewe ni mmoja Kati ya watu ambao wanasumbuliwa na changamoto zilizo tajwa hapo.  Basi usiache hii fursa ipite bure ...
18/04/2022

K**a wewe ni mmoja Kati ya watu ambao wanasumbuliwa na changamoto zilizo tajwa hapo.
Basi usiache hii fursa ipite bure njoo upate elimu na ushauri sahihi namna ya kuweza kutatua hizo changamoto zote na kuzimaliza ndani ya muda mfupi .

Kwa mawasiliano zaidi piga simu +255684708770 kupata msaada wa haraka.

Viungo  Gani  Mwilini Vinahusika Na Uwezo Wa  Nguvu  Za Kiume?Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo n...
18/04/2022

Viungo Gani Mwilini Vinahusika Na Uwezo Wa Nguvu Za Kiume?

Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu mbalimbali zaidi ya 100 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.

Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.

Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayo pubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k. Orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 100!
Je unasumbuka na changamoto za upungufu wa nguvu?

Piga +255684708770

FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME Upungufu wa nguvu za kiume :Ni ile hali ya mwanaume kuto kushiriki tendo la ndoa kwa ufasah...
18/04/2022

FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa nguvu za kiume :Ni ile hali ya mwanaume kuto kushiriki tendo la ndoa kwa ufasaha, Tatizo hili linapotokea huambatana na athari nyingine k**a matatizo ya kisaikolojia hivyo kusababisha mwanaume kushindwa kujiamini.

Kwa kawaida mwanaume ili Aweze kufanya tendo la ndoa kiufasaha unaitajika ushirikiano wa mifumo minne.

1)Mfumo wa mishipa ya damu ambayo huingiza damu katika uume.
2)Mfumo wa neva za fahamu ambao hutoa taarifa kutoka kwenye ubongo hadi kwenye uume na kurudisha taarifa kutoka kwenye uume kwenda kwenye ubongo.
3)Mfumo wa homoni na vichocheo vya mwili vinavyohitajika kuchochea mishipa ya damu kutanuka ili uume ufanye kazi na mfumo wa akili na saikolojia.
4)Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, k**a haupo vizuri apa utaanza kupata shida za choo mwisho Bawasili hatimae matatizo mengine yatakuja.

Kwa kawaida; uwezo wa ufanyaji kazi wa viungo vya uzazi vya mwanaume hupungua kadri umri, unavyokwenda.wanaume 100 wenye umri wa miaka 20 hadi 75, changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume huathiri wanaume 16, Kiwango huwa kikubwa kwa wazee , kwa wastani wa asilimia 37 ya wazee wenye miaka 70 hadi 75 wanakabiliwa na tatizo hili.

Changomoto kubwa iliyopo sasa ni kwamba baadhi ya wanaume wanapoona uwezo wao utendaji kazi wa uume umepungua huamua kujinunulia dawa k**a vi**ra au za asili bila kufahamu chanzo cha tatizo.

K**a una changamoto katika mfumo wa Uzazi piga simu namba +255684708770

MATOKEO MAZURI NI UHAKIKA.KARIBU TUZUNGUMZE KWA ELIMU, USHAURI NA SULUHISHO LA CHANGAMOTO YAKOWasiliana na Whatsapp 📞 ; ...
18/04/2022

MATOKEO MAZURI NI UHAKIKA.
KARIBU TUZUNGUMZE KWA ELIMU, USHAURI NA SULUHISHO LA CHANGAMOTO YAKO

Wasiliana na
Whatsapp 📞 ; 0684708770

Mwanaume mazoezi ni sehemu ya chakula cha kila siku lakini vijana wengi hukitumia chakula hiki bila utaratib maalum,,, n...
18/04/2022

Mwanaume mazoezi ni sehemu ya chakula cha kila siku lakini vijana wengi hukitumia chakula hiki bila utaratib maalum,,, ndio maan utakut mazoez anafany na bado anachangamot ya nguvu za kiume, hii yote ni kwa sababu anafany mazoez bila kufuat utaratib maalum,, ili ufanye mazoezi ni lazim uhaikishe mzunguko wa dam mwili mwako upo vizur damu inazunguk bila shida, chakula maalum si kila chakula ni muhimu vingin ni sumu tu na hata vinywaji,,

Je, unahitaj program za mazoez na chakula maalum kwaajili ya kurekebish tatizo la upungufu wa nguvu za kiume?.

Nitafte kwa namba +255684708770

Punyeto husababisha ukosefu wa nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :🔷.Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa ya uume...
18/04/2022

Punyeto husababisha ukosefu wa nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :

🔷.Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa ya uume, ambayo ndio hufanya uume kusimama.

🔷.Pili hudhoofisha utendaji kazi wa mishipa ya ateri, ambayo ndio hutumika k**a njia ya kusafirisha damu kupeleka kwenye misuli ya uume na ivyo kuufanya uume usimame

🔷. Tatu, punyeto hupelekea kuvuja kwa mishipa ya vena na hivyo kusababisha damu kufyonzwa kwa haraka sana kila iingiapo ndani ya misuli ya uume na matokeo yake ni uume kusimama kwa muda mfupi sana wakati wa tendo la ndoa.

🔷. Punyeto huathiri mtiririko wa damu kwenda kwenye mishipa ya uume, kwa sababu hudhoofisha misuli & mishipa ya uume pamoja na mishipa ya ateri ambayo ndio hutumika katika kusafirisha damu kwenda kwenye uume

🔷. Hujenga Ukungu Katika Kiwanda Cha Uzalishaji Manii (Mbegu za Kiume) Ambapo Hudhoofisha Manii na Kusababisha Joto la haraka pindi tu unapoaza kupata hisia za Mapenzi na ndipo utajikuta kukojoa Mapema pindi unaaza tendo pengine katika kuandaana tu.

DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA PUNYETO

Dalili kuu za mtu aliye athiriwa na punyeto ni k**a ifuatavyo:

🔶. Uume kusinyaa na kuwa k**a wa mtoto

🔶. Uume kurudi ndani

🔶. Uume kusimama ukiwa legelege

🔶. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa.

🔶Kushindwa Kurudia tendo round inayofuata Au Kuchelewa Kurudia tendo

🔶Muda Mwingine Uume Kusinyaa Ndani ya Uke wakati wa tendo la ndoa

🔶Kutoa Manii Nyepesi Zisizo na Nguvu, hata utokaji wake sio wa kuruka

TIBA YA NGUVU ZA KIUME KWA MTU ALIYE ATHIRIKA NA PUNYETO.

Virutubisho vya kutibu Tatzo Hilo na Kupona kabisa vinapatikana Kwa kumalizia tatzo lako na Kurudi kuwa Mwanaume Rijali k**a kawaida...

NB : Epuka kutumia Dawa Muda wa kwenda kukutana na mwanamke... Tibiwa Tatizo umalize Tatizo

MAWASILIANO ☎

Tuma Neno VIRUTUBISHO kwenda WhatsApp namba +255684708770.

Je Umeishatumia  Madawa  Mengi Na Kushindwa  Kurudisha Uimara  Wako Katika Tendo La Ndoa (Nguvu Za Kiume?).USIJALI.Kuna ...
18/04/2022

Je Umeishatumia Madawa Mengi Na Kushindwa Kurudisha Uimara Wako Katika Tendo La Ndoa (Nguvu Za Kiume?).

USIJALI.

Kuna tumaini jipya.

Zipo sababu nyingi zinazochangia wanaume kuwa na uume legelege/dhaifu ambazo huufanya uume kushindwa kusimama vizuri.

Hizi Sababu Kuu 4Zinazosababisha kuendelea kuwa na Hilo Tatizo hata k**a umeishatumia aina Mbalimbali ya Madawa na Mitishamba.

1. Ubongo kushindwa kutuma taarifa kwenye uume ili kuufanya usimame.

2. Damu kushindwa kuenea katika viungo vyote vya mwili ikiwemo uume.

3. Udhaifu wa misuli ya uume.

4.kushuka kwa uzalishaji wa hormones za hisia mwilini(sex hormones).

Asilimia kubwa ya dawa zinatangazwa kuwa zinatibu matatizo ya uume legelege,
huwa ni za kusisimua misuli ya uume tu (Boosting pe**le muscles) na hazitibu moja kwa moja.

Dawa inapoisha nguvu misuli hurudi katika hali ya ulegevu.
Ukihitaji kushiriki tena tendo la ndoa itakulazimu utumie tena hizo dawa ili zisisimue tena misuli ya uume ndio uweze kusimama.

Hii hufanya wanaume wengi kuwa tegemezi wa hizi dawa na hujikuta wakitumia pesa nyingi katika hizo dawa ambazo haziwasaidii.

Kwani hazitibu moja kwa moja tatizo hili.
Ili kutibu moja kwa moja changamoto hii unatakiwa kushughulika na maeneo yote manne.

Eneo la ubongo, mishipa ya damu , misuli na hormones mwilini.

Njia pekee inayoweza kukusaidia kumaliza changamoto hii moja kwa moja ni kupitia LISHE MAALUMU na MAZOEZI.

Tuna program maalumu ya Lishe na mazoezi inayosaidia kumudu vizuri tendo la ndoa.

Program hii itakusaidia kuupa afya nzuri ubongo wako na kuufanya kila wakati unapohitaji kushiriki tendo, uume usimame vizuri bila shida.

Pia itasaidia kuzibua mishipa ya damu hasa ya kwenye uume na kuufanya uume kufikiwa na damu na kuufanya usimame bila shida.

Vilevile program hii itaifanya misuli ya uume kuwa na nguvu kubwa hivyo kusaidia uume kusimama kwa urahisi pale unapohitaji kushiriki tendo la ndoa.

Sio tu uume utasimama kirahisi bali pia utakuwa katika hali ya kusimama hivyo kwa muda mrefu bila kulegea hivyo kukusaidia kushiriki tendo kwa muda mrefu.

Pia itakusaidia kuhakikisha uzalishaji mzuri wa vichocheo vya hisia mwilini ili kukusaidia kuwa na Hamu na Ashki ya kushiriki tendo la ndoa kiukamilifu .

Kupitia program yetu tumewasaidia wanaume zaidi ya asilimia 80% mpaka sasa walio kwenye ndoa ambao walitaabika sana na changamoto hii na hatimaye sasa wanafurahia ndoa zao.

Angalizo: Sisi hatuuzi dawa hivi ni virutubisho ambavyo ukitumia vinaondoa tatizo moja kwa moja.

Tuma Neno PROGRAM kwenda WhatsApp namba +255678496912 au piga simu Usaidiwe
🤝
NB Anayepiga simu ama kutumia ujumbe whatsaap anawahi kupata msaada haraka zaidi .Vigezo lazima uwe na umri wa kuanzia miaka 29-49.Sms za kawaida hazitajibiwa kwahiyo fuata utaratibu ili uwe kusaidika haraka.

AFYA NI MTAJI.Kwanini tunasema afya ni mtaji??Hili swali hujibika  kwa logic ndogo  kabisa ambayo  haihitaji kuwa na deg...
18/04/2022

AFYA NI MTAJI.
Kwanini tunasema afya ni mtaji??
Hili swali hujibika kwa logic ndogo kabisa ambayo haihitaji kuwa na degree au masters kuelewa maana hata mtu asiyejua kusoma na kuandika huweza kuelewa kirahisi kabisa.

Tujiulize maswali machache.

1. Unaweza kufanya kazi kwa ufanisi ukiwa mgonjwa?

2. Unaweza kutimiza malengo yako ya kimaisha ukiwa na changamoto ya afya?

Kwa kawaida majibu yake huja HAPANA Sasa kwanini watu wengi hupenda kujisahaulisha kwenye maswala ya kiafya hasa yale yasiyooneka wazi mbele za watu.

Mfano mzuri tatizo la nguvu za kiume ni tatizo ambalo halionekani machoni mwa watu, mtu mwenye changamoto hii hauwezi kumtambua akiwa haja kuelezea badala yake watu hufichua mengine ambayo huenda ni madogo kuliko hili.

Kwa mfano, upo na mkeo mwanzono unavyomuoa ulikuwa na uwezo wa kwenda zaidi ya bao 5 na kwa muda mrefu baada ya mwaka au miezi uwezo ukaanza kupungua tena kwa kasi mpaka ukafikia bao moja tena ndani ya sikunde kadhaa au dakik 1 na haurudii. mkeo akakuvumilia miaka kadhaa baadae akachoka akaanza kutoka nje ya ndoa kwa kificha baada ya miezi kadhaa akaamua kujiweka wazi, heshima ndani ikashuka
hakusikilizi tena, hana hisia na wewe tena

haya maumivu unaweza kuyalinganisha na kiasi ngani Cha pesa ya kitanzania kiasi gani?.

Jiulize pekee yako binafsi haya maumivu ni sawa na Tshs ngapi Na je, utaweza vipi kufanya kazi kwa ufanisi na ukafanikiwa kutimiza malengo yako huku una maumivu hayoo? Na je, utavumilia mpaka lini maumivu hayo wakati umepata njia sahihi ya kulitatua?.
Ikiwa ww unaweza kuvumilia ninakupongeza sana, lakini k**a huwezi kuvumilia basi usikubali kumaliza mwaka bila kutibiwa.

itakugharim siku moja

Iwekee kipaumbele changamoto yako uweze kuitatua haraka itakuwa na maana gani kufanya kazi ukalipwa 2millions halafu unaend kutumia na mtu anae kucheat kisa haridhikikwako.

Na k**a unahitaji kufahamu njia sahihi ya kuweza kumaliza Hilo tatizo ndani ya siku 60 mpaka 90.

Piga simu namba +255684708770 kwa msaada wa haraka

Address


Telephone

+255684708770

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dickson Health Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dickson Health Tips:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram