AfyaYako

AfyaYako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AfyaYako, Ilemera.

Kwa wote wenye matatizo ya afya ya uzazi, Magonjwa kama vile Fangasi, UTI, STIs, PID, Kushindwa kushika mimba nk, Jiunge nasi pengine kuna kitu unaweza kujifunza kikakusaidia.

Jifunze hapa
08/09/2025

Jifunze hapa

Je, unasumbuliwa na maumivu ya jino? 🤕Hapa nakuletea tiba ya kienyeji yenye kutumia Ndulele (S***m Apple) na mti wa muembe kutuliza na kuponya maumivu ya me...

Mwanaumke usiseme haukuambiwa
05/09/2025

Mwanaumke usiseme haukuambiwa

Mwanamke, tambua aina hizi 5 za wanaume mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa.Wapo wanaume ambao maisha yao ni mzigo, hawana heshima, hupenda ugomvi, huishi kw...

Kwako kijana, Jifunze kitu hapa!
04/09/2025

Kwako kijana, Jifunze kitu hapa!

Kwa nini vijana wengi wanapata kisukari siku hizi? 🤔Ni makosa gani tunayofanya kila siku bila kujua ambayo yanachangia ugonjwa huu?Katika video hii ya Afya ...

Wanawake wenye vitambi hebu pitieni hapa
02/09/2025

Wanawake wenye vitambi hebu pitieni hapa

Wanawake, Je unahangaika na kitambi kisichotaka kuondoka?Kwenye video hii, nakuletea vyakula vitatu ambavyo vinakufanya uendelee kuwa na kitambi bila kujua. ...

KWA WANAWAKE TUKaribu kwenye group la AFYA TIPS, Hapa utajifunza mambo mbalimbali ya kiafya yanayohusu wanawake. Karibu ...
06/04/2025

KWA WANAWAKE TU
Karibu kwenye group la AFYA TIPS, Hapa utajifunza mambo mbalimbali ya kiafya yanayohusu wanawake. Karibu na Mungu akubariki.

WhatsApp Group Invite

K**A UNASUMBULIWA NA HARUFU MBAYA UKENI, FANYA HIVI ITAKUSAIDIA.1. Tafuta Karafuu, chukua kiasi kidogo wastani wa punje ...
29/03/2025

K**A UNASUMBULIWA NA HARUFU MBAYA UKENI, FANYA HIVI ITAKUSAIDIA.

1. Tafuta Karafuu, chukua kiasi kidogo wastani wa punje 30 hadi 50

2. Loweka karafuu zako kwenye maji kiasi cha lita 2, ziache kwa muda wa siku 2.

3. Chuja kuondoa zile karafuu, yabaki yale maji.

4. Tumia maji kiasi kidogo sana kuosha ukeni unapomaliza kuoga jioni. Hakikisha unananiwia jioni tu kabla ya kwenda kulala, kwa muda wa siku 7, Zikifika siku 7 ukawa bado unahisi harufu ipo unaweza kuendelea hadi siku 14 na ninakuhakikishia hautakuwa na hiyo shida tena.

Hii ndio njia ambayo bibi zetu walitumia zamani, imeelezewa kwenye vitabu vya kale na ni njia salama isiyo na madhara yoyote. Ni muhimu ndugu zangu kuamini na kujua kwamba kulikuwa na maisha kabla ya vidonge, na watu walijitibia matatizo haya kwa njia za asili na zikawasaidia.

Iwapo unahitaji msaada wa ushauri kwa tatizo lolote ulilonalo kwanza jiunge na hii page yetu lakini pili tuwasiliane kwa watsapp kwa hii namba 0686 527 039

VYAKULA VITANO VINAVYOWEZA KUMSAIDIA MTU MWENYE PRESHA YA KUPANDA.1. Ndizi Mbivu Kua mama alitoa ushuhuda mwaka juzi, al...
28/03/2025

VYAKULA VITANO VINAVYOWEZA KUMSAIDIA MTU MWENYE PRESHA YA KUPANDA.

1. Ndizi Mbivu
Kua mama alitoa ushuhuda mwaka juzi, alikuwa na shida hii ya presha ya kupanda, akawa anatumia kila siku ndizi mbivu 2, baada ya muda mama yule alipona kabisa shida ile. Unaweza kujaribu inaweza kuwa msaada kwako.

2. Vitunguu Swaumu
Hii pia ni njia nzuri sana ya kutibu shida hii, unaweza kutumia kwenye vyakula au ukatumia kwenye vinywaji, Inaaminika ni njia nzuri sana ya kuondoa shida hiyo.

3. Chocolate Nyeusi
Utumiaji wa chocolate nyeusi unasemekana kuwa miongoni mwa vitu ambavyo husaidia sana kushusha presa kwa wale wenye presha ya kupanda.

4. Tikitimaji
Ulaji wa tikitimaji la asili husaidia sana kushusha presha kwa watu wenye shida hii. Tikitimaji lina kemikali ya asili ambayo ni nzuri sana na husaidia kwa watu wenye tatizo hili.

5. Viazi vya puple
Sijaweza kupata jina halisi la viazi hivi lakini utengenezaji wa juice ya viazi hivi inaaminika kuwa msaada mkubwa sana kwa watu wenye shida ya shinikizo la juu la damu, pia viazi hivi viko kwenye picha hapo juu husaidia sana kutibu changamoto ya saratani na magonjwa mengine.

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi 0686 527 039

YAJUE MADHARA YA KUNYONYA UKE WA MWANAMKE
25/03/2025

YAJUE MADHARA YA KUNYONYA UKE WA MWANAMKE

Kazi yangu ni moja tu, kukuelimisha, kwako kijana wa kiume hebu chukua hii elimu kuhusu kunyonya uke wa mwanamke na ujue hatari zake. Kwa mawasiliano: 068652...

ACHENI KUTUMIA MATE, K**A NI MKAVU BASI TUMIENI NJIA HIZI
27/07/2023

ACHENI KUTUMIA MATE, K**A NI MKAVU BASI TUMIENI NJIA HIZI

Narudia tena kusema usitumie mate, iwapo wewe ni mkavu au iwapo mwenzi wako ni mkavu basi tumieni njia ambazo nimezielezea kwenye video hii na mtakuwa na mah...

YAJUE MAAJABU MATATU YA DAGAA MWILINI
26/07/2023

YAJUE MAAJABU MATATU YA DAGAA MWILINI

Inawezekana unajiona wa kisasa, unaona kula dagaa ni habari za zamani. Ninachokwambia angalia video hii na utanishukuru. Kwa mawasiliano: 0686527039 WatsappJ...

Wanaamka saa 9 usiku wanaanza kuhangaika kupambania familia zao na watoto wao. Ni wapambanaji kwelikweli.
26/04/2023

Wanaamka saa 9 usiku wanaanza kuhangaika kupambania familia zao na watoto wao. Ni wapambanaji kwelikweli.

Address

Ilemera
330000

Telephone

+255686527039

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaYako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram