Msingi Wa Uzazi

Msingi Wa Uzazi NATATUA CHANGAMOTO ZA UZAZI NA KUBORESHA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME KWA KUTUMIA TIBA LISHE (DIETARY FOOD SUPPLEMENT).

Matumizi ya P2 yaliyokithiri yanaweza kuvuruga mzunguko wa hedhi πŸ’ŠβŒ. Jua hatari na chukua hatua kwa usahihi!β€β€œONYO! P2 n...
15/02/2026

Matumizi ya P2 yaliyokithiri yanaweza kuvuruga mzunguko wa hedhi πŸ’ŠβŒ. Jua hatari na chukua hatua kwa usahihi!”
β€œONYO! P2 ni ya dharura tu ⚠️ Kuipita kiasi kunaharibu mzunguko wa hedhi yako. ”
β€œP2 sio dawa ya kawaida 🌸 Tumia kwa busara na usije ukakabiliwa na matatizo ya hedhi.”

MATUMIZI YA CHIPS KUPITA KIASI SI SALAMA KWA AFYAChips ni chakula kinachopendwa na wengi, lakini matumizi ya mara kwa ma...
15/02/2026

MATUMIZI YA CHIPS KUPITA KIASI SI SALAMA KWA AFYA
Chips ni chakula kinachopendwa na wengi, lakini matumizi ya mara kwa mara yanaweza kusababisha:
β€’ Kuongezeka uzito na kitambi
β€’ Kuongezeka mafuta mwilini
β€’ Kuongeza hatari ya presha na kisukari
β€’ Kupunguza kinga ya mwili
Kumbuka: Chips si mbaya ukila mara chache β€” tatizo ni kula kila siku au mara nyingi sana.
βœ” Kula kwa kiasi
βœ” Ongeza mboga na matunda
βœ” Kunywa maji ya kutosha
Afya yako inaanza na unachokula kila siku.

Chips zina ladha nzuri… lakini matumizi ya mara kwa mara yanaweza kuathiri homoni za mwili wa mwanamke.Mafuta mengi na v...
15/02/2026

Chips zina ladha nzuri… lakini matumizi ya mara kwa mara yanaweza kuathiri homoni za mwili wa mwanamke.
Mafuta mengi na vyakula vya kukaanga vinaweza kuchangia kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi.
Afya ya uzazi inaanzia kwenye lishe unayokula kila siku.
Chagua kula kwa afya leo kwa kesho iliyo bora.


13/02/2026

Imarisha Bakteria Walinzi Ukeni ili Kujilinda Na Changamoto Ya Fangasi Ukeni, Maambukizi katika via vya Uzazi n.k

Kwa Kupata Huduma Hii Wasiliana Nasi kwa Namba 0742167265

πŸ€©πŸ€©πŸ€©πŸ€©β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Anza leo Kufanya Detoxification Huduma Hii Inapatikana Popote Pale Ulipo nchi Nzima.                    πŸ™…πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
13/02/2026

Anza leo Kufanya Detoxification
Huduma Hii Inapatikana Popote Pale Ulipo nchi Nzima.
πŸ™…πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

         πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13/02/2026

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

11/02/2026

06/02/2026

SHAHAWA SIO SAWA NS MBEGU ZA KIUME.

Shahawa (Semen) ni majimaji ambayo ndani yake kuna mbegu za kiume (sperms).
Mbegu za kiume hazionekani kwa macho ya kawaida.

04/02/2026

Mzunguko wa hedhi uwe sawa – kujua siku za hatari (ovulation).
2️⃣ Via vya uzazi viwe salama – hakuna PID, fangasi au maambukizi.
3️⃣ Homoni ziwe kwenye uwiano mzuri.
4️⃣ Ute wa mlango wa kizazi uwe mzuri – usiwe mkavu.
5️⃣ Mazingira ya kizazi yawe rafiki kwa mbegu.
6️⃣ Lishe bora na virutubisho muhimu (folic acid n.k.).
7️⃣ Epuka stress, pombe na sigara.
8️⃣ Kujamiiana siku sahihi za hatari.
9️⃣ Tumia Package ya Uzazi – kusaidia kusafisha via vya uzazi, kusawazisha homoni na kuandaa mwili kwa ujauzito. ❀️

04/02/2026

04/02/2026

03/02/2026

#0742167265

Address

Njombe
Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msingi Wa Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Msingi Wa Uzazi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram