AFYA Modern Dispensary

AFYA Modern Dispensary Tunatoa huduma za Kitabibu; Kumuona daktari,Vipimo ainazote, Ultrasound,Matibabu na Ushauri wa kiafya

Habari Wana kaliua na majirani zangu wanaurambo na wanauvinza Je , mwajua chanzo kikubwa Cha mimba kutunga nje ya tumbo ...
12/09/2024

Habari Wana kaliua na majirani zangu wanaurambo na wanauvinza Je , mwajua chanzo kikubwa Cha mimba kutunga nje ya tumbo la uzazi (ectopic pregnancy) sambamba na madhara yake ya kiafya ?
Karibuni kwa elimu ; maswali na ufafanuzi piga simu au weka kwenye comment

Je, Wajua Ugonjwa wa Kisukari waweza kuathiri viungo mbali mbali vya mwili wako? Karibu AFYA Modern Dispensary  Tuzungum...
12/09/2024

Je, Wajua Ugonjwa wa Kisukari waweza kuathiri viungo mbali mbali vya mwili wako?
Karibu AFYA Modern Dispensary Tuzungumze

TUPO KALIUA MJINI KARIBU TUKUHUDUMIE
10/09/2024

TUPO KALIUA MJINI KARIBU TUKUHUDUMIE

HABARI NJEMA KWA WANAKALIUAJe, unasumbuliwa na magonjwa sugu k**a vile;1.U.T.I sugu2.Matatizo ya mfumo wa uzazi 3.Matati...
10/09/2024

HABARI NJEMA KWA WANAKALIUA
Je, unasumbuliwa na magonjwa sugu k**a vile;
1.U.T.I sugu
2.Matatizo ya mfumo wa uzazi
3.Matatizo ya mfumo wa upumuaji
4.Magonjwa ya ngozi aina zote pamoja na matatizo ya chunusi
5.Maumivu wakati wa hedhi
6.Kuingia hedhi zaidi ya maramoja ndani ya mwezi ama hedhi isiyokoma
7.Mangonjwa ya zinaa
8.Mimba kutishia kutoka
9.Ugonjwa wa presha
10.Ugonjwa wa kisukari
11.Bawasili (Hemorrhoids)
12.Miguu kuwaka Moto /Kufa ganzi
Na matatizo Mengine ya kiafya,
Fika Sasa kituo Cha kutolea huduma za AFYA Modern Dispensary kilichopo Kaliua Mjini Karibu na Uwanja wa Kolimba barabara ya kuelekea ukumbi wa Frangenge .
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU ;
0765524800/0782265228

Address

P. O. Box 66 Kaliua
Kaliua

Telephone

+255765524800

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA Modern Dispensary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share