20/01/2024
🔻MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO🔻
Leo nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya mwanamke kua mgumba au anaelekea kwenye ugumba(kukosa kupata mtoto).
1️⃣.KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA
usione ni kawaida kwa siku zako kutokua na mzunguko wa kawaida ambao mara nyingi ni siku 21 mpaka 35.
Kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kuwa hupevushi mayai kila mwezi. Hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi na sio ili mradi yai bali yai bora linaloweza kurutubishwa.
2️⃣.KUACHA KUONA SKU ZAKO GHAFLA.
K**a hujafikia menopause(kipindi mwanamke anastop kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio Mjamzito na hutumiii njia ya uzazi wa mpango zinazosababisha kubadilika kwa hedhi
Ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo huwezi kubabe ujauzito bila kupevusha yai.
3️⃣.KUTOKWA DAMU NYINGI, NZITO NA YENYE MABONGE K**A VIPANDE VYA MAINI (VINYAMA NYAMA)WAKATI WA HEDHI HUASHIRIA KUWA HORMONE HAZIJABALANCE kutobalance kwa hormone huvuruga uzalishaji wa mayai bora.
4️⃣.MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA YANAYOAMBATA NA UCHAFU MWEUPE MZITO K**A MAZIWA YA MGANDO AMBAYO HUASHIRIA KUNA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE
5️⃣.KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MAUMIVU CHINI YA KITOVU
6️⃣.KUKOSA KABISA HAMU YA TENDO LA NDOA PIA KUSIKIA DALILI ZOTE ZA UJAUZITO IKIWA SIO MJAMZITO HUONYESHA KUNA INFECTIONS KATIKA KIZAZI
Hizo ni baadhi ya dalili Mbaya kwa mwanamke ambaye bado hajawahi Kubeba ujauzito, Ni Dalili Mbaya Pia Kwa Mwanamke Ambaye Tayari ana Mtoto/Watoto, ni muhimu sana kupata suluhisho la Changamoto hizo maana zinatibika kabisa na UNAPATA SULUHISHO LA KUDUMU KABISA NA KURUDISHA TABASAMU KATIKA FAMILIA YAKO🤝