31/10/2024
KWANINI TUNAPATWA NA UVIMBE?
UVIMBE KWENYE KIZAZI Unategemeana na homoni. Tissue ya Fibroid inakuwa na kiasi kikubwa cha estrojeni na vipokezi vya progesterone.
Tissue ya Fibroid ni hypersensitive(kucharukwa) kwa estrojeni, lakini haina
uwezo wa kudhibiti ujio wa estrojeni, hii ndiyo sababu uvimbe unaweza kukua na kuwa mkubwa kabisa.
Hata hivyo ni muhimu kutambua kwamba progesterone (ambayo hufanya kazi ya kusawazisha homoni ya estrojeni) viwango vyake huanza kushuka katika umri wa kati hadi mwishoni mwa miaka ya 30 na pia huchukua jukumu katika mlingano na kuweka sawa hormone hizo 2.
UVIMBE kwenye kizazi kuna uwezekano kwa 20% hadi 30% zaidi kukua kwa wanawake wenye asili ya Kiafrika na wa Amerika ikilinganishwa kwa jamii nyengine yoyote.
Pia ni muhimu kutambua kwamba Uvimbe inaweza kukua tena baada ya hysterectomy. (Operation)
Njoo WhatsApp +255656039310 nikupe Uvimbe Solution hii hii leo