Faida za miti Shamba na tiba Asili

Faida za miti Shamba na tiba Asili Afya yako ndio mtaji wako.

13/12/2025

Acid reflux na vidonda vya tumbo

*UNA DALILI ZIPI KATIKA DALILI HIZI:⤵️⤵️**DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZIDI KWA ACID TUMBONI (GERD-Ac...
10/12/2025

*UNA DALILI ZIPI KATIKA DALILI HIZI:⤵️⤵️*

*DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZIDI KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)*

⚫Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🔗 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🔗 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🔗 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🔗 Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🔗 Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🔗 Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🔗 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🔗 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🔗 Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🔗 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🔗 Kuvimba Tonsils/mafidofido mara kwa mara.
12.🔗 Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🔗 Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🔗 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🔗Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🔗 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🔗 Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🔗 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🔗 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🔗 Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🔗 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🔗Kichefuchefu na kutapika.
23.🔗 Sehemu za mwili kuchezacheza mfano chini ya macho
24.🔗 Masikio kuunguruma/kupiga kelele/kuwa mazito
25.🔗 Mwili kuwasha na ngozi kufifia rangi yake.
26.🔗 Kuhisi ganzi hasa kwenye vidole vya miguu na mikono.
27.🔗 Kupata kwikwi mara kwa mara.
28.🔗 Presha kupanda (temporary hypertension)
29.🔗 Kucheua majimJi machachu yenye rangi ya n

30/11/2025
*MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO (Heart palpitations)*🔗Miongoni mwa dalili kubwa ya Acid reflux na vidonda vya tumbo ni mapig...
09/09/2025

*MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO (Heart palpitations)*

🔗Miongoni mwa dalili kubwa ya Acid reflux na vidonda vya tumbo ni mapigo ya moyo kwenda mbio hali inayowafanya wagonjwa wengi wenye changamoto hizo kuhisi wana magonjwa ya moyo na Presha.

🔗Wengine huamua kufanya vipimo vya magonjwa ya moyo k**a ECG & ECO na kuonekana hawana magonjwa hayo.

🔗Acid reflux husababisha Mapigo ya moyo kwenda mbio kwasababu husababisha irritation/stimulation ya Vagus nerve ambayo ni pair namba 10 katika neva za fahamu katika ubongo, neva hii husambaa kutoka kwenye ubongo hupita kwenye koo,kisha huenda kwenye moyo,tumbo na mfumo wa upumuaji.

Neva hyo inapokuwa irritated/stimulated husababisha moyo kwenda mbio kwani vagus nerve husababisha mapigo ya moyo pia (pulse rate).

*MASHARTI**VYAKULA AMBAVYO SI RAFIKI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO NA ACID REFLUX*⚫Pombe⚫Kahawa⚫Maziwa/Cream⚫ Nyama i...
12/08/2025

*MASHARTI*

*VYAKULA AMBAVYO SI RAFIKI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO NA ACID REFLUX*

⚫Pombe
⚫Kahawa
⚫Maziwa/Cream
⚫ Nyama iliyokaangwa kwenye mafuta mengi
⚫ Vyakula vilivyokaangwa(kwa mafuta mengi)
⚫ Vyakula vyenye viungo vingi
⚫ Vyakula vyenye chumvi nyingi
⚫ Vyakula vyenye acid k**a vile Malimao,ndimu nk
⚫ Nyanya pamoja na bidhaa zake.
⚫ Chocolate
⚫ Vyakula vikavu
⚫ Vyakula vyenye gesi nyingi k**a maharage,maziwa nk

*VYAKULA UNAVYOWEZA KUTUMIA*

Penda kula matunda kwa kiasi kikubwa Sana kila unapo pata Chakula akikisha Kuna matunda pembeni yako,Penda kula:⤵️
1.🖇️ Ndizi za kupika au zilizo iva au unga wa ndizi pia itakusaidia,
2.🖇️ Parachichi
3.🖇️ Tikiti maji
4.🖇️Tango
5.🖇️Karoti

*MBOGA ZA MAJANI*
penda kula mboga za majani k**a
1.🖇️Mlenda
2.🖇️Matembele
3.🖇️Mchicha
4.🖇️Kabeji
5.🖇️Nyanya chungu
6.🖇️ Bamia
Lakini unaweza kutumia samaki wabichi wa kuchemsha

*CHAI YA ASUBUHI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBUMBO NA ACID REFLUX(GERD)*

Chai yako iwe na viungo Mbalimbali K**a vile
1.🖇️Mdalasini,
2.🖇️ Hiliki
3.🖇️Mchaichai,
4.🖇️Karafuu, Kumbuka viungo hivi vinaweza Kuwa vya unga au majani na unaweza kutumia vyote au ata kimoja K**a mazingiza hayaruhusu,

*ANGALIZO*
Kumbuka hutakiwi kutumia vitu vyenye caffeine nyingi Usitumie majani ya dukani mfano *CHAI BORA*

Wasiliana na Dr
12/02/2025

Wasiliana na Dr

31/07/2024
31/07/2024

Kwa muhtasati kidonda cha tumbo au duodenal ni jeraha la kina au kidonda ambacho hutokea kwenye utando wa ndani wa tumbo au sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo inayoitwa duodenum. Hutokea kutokana na kuvimba kwa muda mrefu kwa ukuta huu unaopendelewa na bakteria wanaofahamika k**a helicopter pillory wa...

Address

Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Faida za miti Shamba na tiba Asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram