02/05/2022
STROKE (KIHARUSI)
Ni Tatizo Linalotokea Ghafla Kwenye Ubongo Ambapo Mtiririko Wa Damu Kwenye Eneo Fulani La Ubongo Husitishwa Ghafla Au Kupungua Sana Hivyo Kusababisha Eneo Hilo La Ubongo Kukosa Damu Na Virutubishi Muhimu Na Seli Za Eneo Hilo Kuanza Kufa.
Hili Linaweza Kutokea Pale Mishipa Ya Damu Ya Kuelekea Kwenye Eneo Hilo Ikiiziba Au Mishipa Ndani Ya Ubongo Katika Eneo Hilo Kupasuka. Seli Za Ubongo Za Eneo Hilo Zikianza Kufa Kwa kukosa Damu, Shughuli Zote Zinazoendeshwa Na Eneo Hilo La Ubongo Husimama Kwa Mfano Kumbukumbu Na Utashi.
Kupooza
Hii Ni Ile Hali Ya Kiungo Kupoteza Utendaji Kazi Wake Kwa Sababu Ya Neva Za Fahamu Kuathiriwa.
Dalili Za Kiharusi (Stroke)
Ugonjwa Wa Stroke Humpata Mtu Ghafla Na Dalili Hutokea Kwa Muda Mfupi Sana;
✓Kuchanganyikiwa
Mtu Kupata Shida Ya Kuongea Na Kuelewa Anachoambiwa
✓Maumivu Ya Kichwa Na Kupoteza Fahamu.
✓Ganzi Katika Viungo Vya Uso, Mkono Na Mguu Na Hasa Vikiwa Vya Upande Mmoja Wa Mwili
✓Kupata Shida Ya Kuona Kwa Jicho Moja Au Yote
✓Kupata Shida Ya Kutembea, Kizunguzungu, Kupepesuka Mwili.
VIKO VICHOCHEZI/SABABU ZA HATARI ZINAZOWEZA KUPELEKEA KIHARUSI KUTOKEA
Zipo Sababu Za Asilia Na Zipo Sababu Cha Kiuchochezi
Sababu Za Asilia Ni Pamoja Na
✓Umri
Mtu Anapozeeka Hatari Ya Kupata Kiharusi Huongezeka Zaidi.
✓Jinsia
Wanawake Wako Katika Hatari Kubwa Ya Kuwa Na Kiharusi Tofauti Na Wanaume.
✓Kiharusi Kilichopita Ikiwa Tayari Mtu Amepata Kiharusi, Hatari Ya Kupata Tena Kiharusi Kingine Ni Kubwa.
✓Historia Ya Familia
Ikiwa Mtu Katika Familia Kuna Historia Ya Watu Kupata Stroke, Basi Hatari Ya Kupata Kiharusi Ni Kubwa.
Sababu Za Kiuchochezi
✓Uvutaji Sigara, Madawa Ya Kulevya Na Vilevi
✓Shinikizo La Damu
✓Cholesterol Nyingi
✓Ugonjwa Wa Moyo
✓Unene Kupita Kiasi
✓Kisukari
✓Kuganda Kwa Damu
MADHARA YA STROKE
Stroke Inapokua Sugu Dalili Zake Hugeuka Kuwa Maradhi, Mfano Kupata Ulemavu, Kupooza Kabisa, Kupoteza Kumbukumbu Na Utashi.
TIBA YA STROKE NI STEMCELLS
Hii Ndo Tiba Pekee, Kwani Ndio Inauwezo Wa Kuzalisha Seli Mpya Na Kuondoa Seli Mfu. Hivyo Kurekebisha Mfumo Wa Ubongo, Nerves Na Mifupa Iliyoathiriwa Na Kiharusi.
Kupona Ni Miezi Mitatu kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa namba +255717043120/ 0763216073