NAMNA YA KUWEKA AFYA YAKO VIZURI NA KUJIONDOA KWENYE HATARI YA KUPATA CONSTIPATION, PIA KUSAIDIA KUFANYA KINYESI KUA LAINI.
Kuna njia nyingi sana za kuondoa hili tatizo, Mimi nitakuonesha niliyoitumia na niliyoqashauri wengi na ikawasaidia hata changamoto zingine nyingi.
Nimewasaidia wengi sana kwa kutumia virutubusho hivi viwili. Aloe vera Gel (juice) na Fields of green (vidonge).
Hivi ni virutubisho (sio dawa), zinatumika sana kuhakikisha afya yako ya mmeng'enyo wa chakula unakua vizuri na kukuondolea matatizo ya constipation.
Ni virutubusho asilia havijaongezwa radha, wala visindika vyenye kemikali.
1. ALOE VERA GEL.
Ina uwezo mkubwa wa kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Imetengenezwa kwa aloe vera 99%. Na 1% ikiwa imeongezwa citric acid ya machungwa n.k kwa ajili ya kusindika.
Ina vitamin zaidi ya 12, madini 20 na amino acid 18. Mbali na kuboresha mmeng'enyo wa chakula pia husaidia ufanisi wa mifumo ya mwili, afya ya Ngozi, kuondoa sumu mwilini, kubalance sukari, n.k
*garama yake 68000/=*
2. FIELDS OF GREEN.
Hii ipo kwenye mfumo wa vidonge ili kurahisisha utumiaji. Imetokana na mboga za majani tofauti zenye mchanganyiko mzuri wa virutubisho.
Imetengenezwa kwa mboga mboga k**a ifuatavyo.
# Barley Grass: Hii inakiasi cha kutosha cha alkaline ambayo husaidia kuneutralize acidi tunayopata kutoka kwenye vyakula k**a mayai, nyama na sukari. Pia ina protease enzyme ambayo ni muhimu kwa ufyonzwaji wa vyakula vyenye protein.
# Alfalfa Grass: Hii ina amino acid 8, madini ya calcium, magnesium pia beta carotene. Pia ina Chlorophyll ambayo husaidia kuondoa simu mwilini. Calcium na magnesium ni muhimu kwa afya ya mifupa.
# Wheat grass: Hii ina madini ya calcium pia na magnesium. Wheat grass husaidia sana kubalance PH, kusaidia mmeng'enyo wa chakula na kuimarisha kinga ya mwili.
# Cayenne Pepper: Hii ina vitamin E kwa wingi, ina madini ya B complex. Husaidia sana kusafisha mmeng'enyo na kulainisha kinyesi.
# Selenium : hii husaidia kuondoa sumu mwilini, huzalisha insulin na pia huongeza ufanisi wa vitanini E.
*Garama yake ni 35000/=*
ALOE LIP
Hii n bidhaa nzuri sana ambayo n ya kupaka kwa ambae tayari kinyama cha bawasiri kimeshaota katika njia yake ya haja kubwa. Ni very strong antibiotic hivyo itasaidia kuua bacteria katika eneo husika na kuondoa kabisa uvimbe huo katika njia hiyo ya haja kubwa..
Hizi zitakusaidia kupuka gharama nyingi sana ambazo unaweza kutana nazo, kukupa nguvu, na kukufanya upate choo kwa wakati.
*garama yake ni10000/=*
KWA KUTUMIA ALOE VERA GEL, ALOE LIP NA FIELDS OF GREEN unapata faida nyingi mno sio tu kwa mmeng'enyo wa chakula na constipation.
Hiki ni chakula kizuri kwa uimara wa afya yako.
Kwa maelezo zaidi Na Jinsi yakuipata
Tupigie au acha Namba upigiwe
📱📲📞 0755273087
Au WhatsApp
📲📨
https://wa.me/255755273087