Jifunze AFYA ya uzazi

  • Home
  • Jifunze AFYA ya uzazi

Jifunze AFYA ya uzazi Nasaidia kutatua changamoto za huduma ya ndoa, Tezi dume, changamoto za kina mama zikiwa pamoja na za maamukizi pamoja na mfumo wa uzazi

Ujumbe Muhimu kwa anaetaka kutibu changamoto ya tezi dume bila upasuajihttps://chat.whatsapp.com/HuIyhzYyG6CGYat8lYoaIWW...
30/09/2024

Ujumbe Muhimu kwa anaetaka kutibu changamoto ya tezi dume bila upasuaji
https://chat.whatsapp.com/HuIyhzYyG6CGYat8lYoaIW
Watu wengi wamekuwa wakihangaika na Changamoto ya Tezi dume
https://chat.whatsapp.com/HuIyhzYyG6CGYat8lYoaIW
Wamejatibu Kutumia Njia Mbali mbali k**a kumeza Madawa bila Mafanikio.
https://chat.whatsapp.com/HuIyhzYyG6CGYat8lYoaIW
Bila Kujua Siri ipo kwenye Lishe watakayotumia ndo Tiba ya Kudumu kwenye Changamoto Yao.

Kwa jina naitwa MASHENENE UPENDO SHIJA

Ninawasaidia wenye changamoto ya tezi dume kutatua changamoto hiyo bila upasuaji kupitia virutupisho lishe

Nataka kuandaa darasa la bure kwa ajili yako la namna ya kuepukana na changamoto ya tezi dume

K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo naomba Bonyeza maandishi ya bluu hapo chini 👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/HuIyhzYyG6CGYat8lYoaIW
Ikisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia (wewe pamoja na wenzako) darasa bure kabisa kupitia group la WhatsApp

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

MASHENENE UPENDO SHIJA

Mkurugenzi, AFYA BORA

USIKAE NA CHANGAMOTO YAKO NITAFUTE NIKUSHAURI USAIDIKE & CHECK UP PIA UTAPATA UKIHITAJI KUJUA MFUMO WAKO MZIMA NA MAENDE...
17/09/2024

USIKAE NA CHANGAMOTO YAKO NITAFUTE NIKUSHAURI USAIDIKE & CHECK UP PIA UTAPATA UKIHITAJI KUJUA MFUMO WAKO MZIMA NA MAENDELEO YAKO NDANI YA MWILI

UTI ni ufupisho wa maneno Urinary Tract Infection, au kwa kiswahili ikiwa ni maambukizi ya mfumo wa mkojo ambao huhusish...
17/09/2024

UTI ni ufupisho wa maneno Urinary Tract Infection, au kwa kiswahili ikiwa ni maambukizi ya mfumo wa mkojo ambao huhusisha figo, kibofu cha mkojo, mrija wa mkojo pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo.

Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na Bakteria jamii ya E.coli , lakini katika mazingira machache fangasi na virusi wanaweza kuwa chanzo cha maambukizi haya.

Dalili zake

1.Kupatwa na maumivu yanayochoma wakati wa haja ndogo

2.Kujisaidia haja ndogo mara kwa mara isiyotoa mkojo mwingi

3.Kujisaidia mkojo mweusi au ulio na chembechembe za damu na harufu kali

4.Maumivu ya nyonga

5.Uchovu, Homa na kutapika

6.Maumivu ya sehemu ya chini ya tumbo

Kwanini UTI hujirudia sana kwa wanawake kuliko wanaume?

Wanawake huwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kuugua ugonjwa huu pamoja na kujirudia mara kwa mara kwa kuwa mrija wa mkojo huwa ni mfupi sana tofauti na wanaume,

Pia tundu la uke huwa karibu na sehemu ya haja kubwa hivyo ni rahisi kwa bakteria kutoka kwenye choo kuingia ukeni.

Matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango, kemikali kali kusafishia via vya uzazi, kufikia umri wa ukomo wa hedhi pamoja na ujauzito ambao hubana kibofu cha mkojo na kupunguza ufanisi wake kwenye kutoa mkojo wote huwa ni baadhi ya sababu zinazoongeza uwezekano wa wanawake kuugua ugonjwa huu kuliko wanaume.

Kinga
Kuna baadhi ya njia zinazoweza kutumika kujikinga na tatizo la UTI ya kujirudia. Mfano wa njia hizo ni-

Kunywa walau lita 2 za maji kila siku

Kutokuvaa nguo za ndani zinazobana sana

Kuvaa nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba asilimia 100

Kutumia juisi za matunda mara kwa mara

Kuacha mazoea ya kuvaa nguo za ndani mbichi

Kusafisha via vya uzazi kutoka mbele kwenda nyuma (frontal to back wiping) baada ya haja kubwa na wakati wa kuoga ili kuzuia bakteria wasiingie kwenye uke kutoka sehemu ya haja kubwa

Kwenda haja ndogo kila baada ya kushiriki tendo la ndoa

Kuacha tabia ya kutunza mkojo kwa mda mrefu baada ya kuhisi haja ndogo.

Address

Moshi Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze AFYA ya uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jifunze AFYA ya uzazi:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram