19/02/2026
☪️ Ramadan Kareem!
🟣 Unapolisha roho yako, kumbuka pia kulinda afya yako. Ikiwa unafunga, na unatumia dawa, tafadhali wasiliana na Mfamasia wako kuhakikisha mpango wako wa matibabu unabaki salama.
Karibuni sana Horizon Pharmacy LTD!
Team yetu ya wataalamu ipo tayari kuwahudumia!
Dar es Salaam HQ: 0715-268781
Dodoma Branch: 0745-738048
Morogoro Branch: 0784-268781
Tunawatakia msimu wenye baraka tele!✨
🌙 ा_सहायते 🌃