Afya ya mwanaume

Afya ya mwanaume Afya ya Mwanaume

KUWA MWANAUME WA KWELIInaweza ikawa unapitia hizi changamoto,-kuwahi kumaliza /kumwaga mapema-Kushindwa kurudia -Kukosa ...
20/02/2023

KUWA MWANAUME WA KWELI

Inaweza ikawa unapitia hizi changamoto,
-kuwahi kumaliza /kumwaga mapema
-Kushindwa kurudia
-Kukosa hamu
-kutoa mbegu chache au dhaifu
-Misuli kulegea ama ulishawahi kujichua na umekumbana na hizo changamoto

Pengine umejaribu njia mbalimbali bila mafanikio na umeshakata tamaa,sasa nasema kuwa mwanaume tena tumia Hii Package

Kwa maelezo zaidi juu ya suluhisho Juu ya Changamoto yako.
Piga/text/whatsup 0767712456

Moja Ya Matokeo Safi sana ya client wangu ambae alikuwa na Changamoto kubwa na ya Muda mrefu upande wa Afya ya tendo la ...
19/02/2023

Moja Ya Matokeo Safi sana ya client wangu ambae alikuwa na Changamoto kubwa na ya Muda mrefu upande wa Afya ya tendo la Ndoa

kwa ushauri na Elimu zaidi 0767712456

Je unafahamu ni kwanini watu wamekuwa wakiugua ugua ovyo?Mara nyingi watu wameugua na hata kupata matatizo kutokana na k...
19/02/2023

Je unafahamu ni kwanini watu wamekuwa wakiugua ugua ovyo?
Mara nyingi watu wameugua na hata kupata matatizo kutokana na kutokujua magroup yao ya damu na wanatakiwa wale nini.
Lifahamu group lako la damu na Tabia zake.
GROUP O
1.Wanapenda kazi sana
2.wanapenda kususa sana
3.Hawapendi kusimamiwa
4.Sio watu wa kubebwa bebwa.
5.wana hasira mnoo.
6.Wana msimamo,ni wasuluhishi pia.
7.wanapenda kudominate,wajeuri hata k**a hana kitu.
8.Ni watu wa watu.

VYAKULA.
1.Wana acidi nyingi kuliko magroup mengine ya damu kwahiyo hatakiwi kula vyakula vyenye acidi.
2.Hawatakiwi kula ngano.
3.wanahitaji protein kwa wingi.
4.Mahindi,Ugali pia sio vyakula vyao.
5.Maharage pia ni mazuri kwao.
6.Wanahitaji kula Nyama kwa wingi.
7.Matunda yafuatayo ni mazuri kwao Papayi,ndizi, maembe,nanasi.

MAGONJWA WANAYO YAPATA K**A WASIPOKULA VYAKULA VINAVYOENDANA NA WAO

1.Vidonda vya tumbo k**a wakila vyakula vyenye acidi
2.Magonjwa ya kuambukizwa i.e mafua.
3.kansa
4.Choo cha shida kwa sababu ya ngano.
5.Kisukari
6.Pressure
7.Mgongo na Magoti.
8.Wanaongoza kwa kupata marelia kwa sababu damu yao ni nyepesi sana.

GROUP A
1.Ni wasiri sana,wanaweka kinyongo.
2.Hawapendi kuongea,wana aibu.
3.Wanajitahidi kufuata sheria sana.
4.Ni wapole.
5.Ni wabinafsi sana.
6.Ni wavivu.
7.Wako sensitive mnoo.

VYAKULA
1.Wanahitaji mboga mboga kwa sana.
2.Wana upungufu wa acidi kwa hiyo ni vema wapate Limao, ndimu,Ukwaju.

MAGONJWA YANAYOWEZA KUWAPATA WASIPOKULA VYAKULA VINAYOENDANA NA WAO.

1.Wanapata upungufu wa acidi tumboni
2.Kansa
3.Wanapata mak**asi sana asubuhi,hawaishiwi mafua.
4.Pressure.

GROUP B
1.Ni waongeaji mnoo....Mara nyingi ukitaka kuwatambua wengi ni ma Mc,wanamuziki.
2.Wanapenda Uongozi pia.
3.Wanapenda kuonekana.
4.Ukimchokoza anakushughulikia.
5.Wako balanced, wanaelewana na groups zote za damu.

VYAKULA.
1.Karanga na korosho sio vizuri kwao.
2.Nyanya na kuku pia sio nzuri kwao pia.

GROUP AB
1.Hawaeleweki eleweki,sio rahisi kumuelewa tabia yake.
2.Wanayo Strong Immune system.
3.Ni wachache duniani.
4.Hawajali (they don't care)

VYAKULA

Group AB Mara nyingi anashauriwa kula vyakula anavyokula group A.
Na magonjwa yanayowapata muda mwingi ni yale wanayoyapata A.

Lakini tambua kuwa vyakula tunavyokula Mara nyingi vimejazwa sumu za aina mbalimbali kutokana na mbolea zinazowekwa,utayarishaji wake pamoja na uzalidhaji

Angalia upo kwenye group gani kisha uzingatie uliyoshauriwa

Je unajua namna ya kunywa maji Kulingana na Uzito wako?
19/02/2023

Je unajua namna ya kunywa maji Kulingana na Uzito wako?

Usipo Jari afya sasa badae itakuladhimu tu kulipia gharama kwaajiri ya afya yako.Hakikisha unatunza na kujari afya yako ...
19/02/2023

Usipo Jari afya sasa badae itakuladhimu tu kulipia gharama kwaajiri ya afya yako.

Hakikisha unatunza na kujari afya yako ingali bado uko na nguvu

KWA WANAUME TUWenye changamoto ya;-kuwahi kufika kileleni/kumwaga mapema-Kushindwa kurudia tendo-Kukosa hamu ya tendo-ku...
17/02/2023

KWA WANAUME TU
Wenye changamoto ya;
-kuwahi kufika kileleni/kumwaga mapema
-Kushindwa kurudia tendo
-Kukosa hamu ya tendo
-kutoa mbegu chache au dhaifu
-Misuli kulegea ama ulishawahi kujichua na umekumbana na hizo changamoto

Pengine umejaribu dawa mbalimbali bila mafanikio na umeshakata tamaa,sasa nasema kuwa mwanaume tena tumia MWANAUME PACK

Kwa maelezo zaidi juu ya bidhaa zetu..
Piga/text/whatsup +255 757 138 239

Mambo mazuri baada ya program💥💥💥💥call/whatsapp 0767712456
17/02/2023

Mambo mazuri baada ya program💥💥💥💥

call/whatsapp 0767712456

Matokeo mazuri kutokana na program yetu safi ya matumizi ya virutubisho na mpangilio sahihi wa ulaji na mazoezi mambo ya...
17/02/2023

Matokeo mazuri kutokana na program yetu safi ya matumizi ya virutubisho na mpangilio sahihi wa ulaji na mazoezi mambo yamekuwa safi

k**a una changamoto yoyote ya afya ya mfumo wa uzazi usisite kuwasiliana nami kwa namba 0767712456

Hakikisha hukai na changamoto kwa Muda mrefu tafuta shuluhisho la changamoto yako mapema
17/02/2023

Hakikisha hukai na changamoto kwa Muda mrefu tafuta shuluhisho la changamoto yako mapema

Mwanaume kuwahi kumaliza katika tendo ni fedhea kubwa sana na wanaume wengi sana sasa wanakutana na hii changamoto ya ku...
16/02/2023

Mwanaume kuwahi kumaliza katika tendo ni fedhea kubwa sana na wanaume wengi sana sasa wanakutana na hii changamoto ya kuwahi kumaliza na kushindwa kurudia tendo kwa wakati hii inaweza sababishwa na sababu nyingi tu ikiwemo-:
1.Kujichua
2.Magonjwa k**a sukari,presha,tezi dume n.k
3.Mfumo mbovu wa maisha hasa upande wa ulayi na kuto kufanya mazoezi
4.Nature ya kazi zetu za kila siku
5.Uzito ulio pitiliza/Unene
6.Msongo wa mawazo
7.Migogoro ya kimahusiano
8.Kutazama picha za ngono

Je wewe unahisi ni kipi kinaweza kuwa chanzo cha changamoto yako??

16/02/2023

Afya ni msingi wa kila kitu kwenye maisha yako

Linda na jali afya yako sasa ili badae usije kutumia nguvu kubwa kuitafuta Afya

16/02/2023

Package Bora kwa Mwanaume yoyote yule anae hitaji kuimarika zaidi

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya mwanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram