Chakula na dawa

Chakula na dawa chakula na dawa Ni page inayosaidia Wanawake Na Wanaume katika Uzazi kwa Chakula Na Ushauri Wa Dawa

13/09/2023

God Blessings

14/07/2023

Waoooh Hilo Tabasamu🤗🤗🤗
💕💕💕💕

Karibu Chakula na Dawa Nikusaidie namna Rahisi ya kubeba Ujauzito namba ni 0687147661

04/07/2023

K**a Unahangaika Na Kuteseka Na Changamoto Uzazi Kila Kona...

a). kwenye magroup ya Whatsapp upo ,

Wewe Kila group la Uzazi upo Lakini hupati Matokeo ya kupona na kuwa Mama

b).kwa Waganga wa Kienyeji umeenda Sana na umetumia Dawa za Kila Aina

Ila...

Bado hujafanikiwa

Na...

Unahisi kukata Tamaa Kabisa.

Usijali...

Idadi kubwa ya Wanawake tunaowasaidia ni wale waliokata Tamaa K**a Wewe,

Tupo nyuma yako...

Tupo upande Wako...

Tupo pamoja na Wewe...

Tutakusaidia uitwe Mama...

Una Kila Sababu ya kuitwa Mama...

Amini...

Je!
Kipi kinakunyima usingizi?

Ni haya?👇

1.Je? Unatafuta ujauzito hupati?

2. Umeshakuwa na mtoto mmoja Ila unatafuta wa pili unashindwa kumpata?

3 una matatizo kwenye kizazi
PID, hormonal imbalance, fangasi (harufu mbaya ukeni), uvimbe na mengine.

4.Umeenda hospitali na kutibu matatizo ya uzazi Ila bado hushiki ujauzito?

5.Hospitali wanakwambia hauna Tatizo lolote?

Sasa hivi kupata Uzazi Kuna Kanuni za kiafya unatakiwa kuzingatia

Kanuni hii imewasaidia mamia ya Wanawake Kutoka kwenye Ugumba na changamoto sugu za Uzazi.

Nakupa Kanuni Hii Leo

Na Kanuni ya Kwanza Kabisa Ni Kufahamu Kuhusu Mwili Wako...

Ila unatakiwa kulipia Kiasi Cha Fedha kuipata yote

Lakini naitoa Bure Kwa Watu Wachache tu (120 wa Kwanza tu wanatosha)

Na K**a ukibahatika kuipata...

Wasaidie Wengine

Bonyeza neno "learn More" au link hapo mwishoni Kuingia Darasani
Kufahamu yaliyomo
👇
https://shorturl.at/ipqMU

04/07/2023

Habari! karibu Chakula na Dawa *KANUNI ZA KUFUATA ILI UWEZE KUWA MAMA*

1. Zingatia Vyakula 11 kwa Mwanamke na Mumeo K**a mnatafuta Ujauzito

2.Soma hatua kwa hatua Jinsi ya Kubeba ujauzito

3.Soma Jinsi ya Kujua Siku Zako za Hatari Hata K**a Siku Zako Zinabadilikabadilika.

4.Soma Dalili za Magonjwa ya uzazi ninayotuma Kwenye Group ili ujue ni Ugonjwa gani wa uzazi unakusumbua Uweze kupata tiba

5. Soma Vyakula Vya kuepuka miezi Sita kabla Hujaanza Kutafuta Ujauzito

6.Soma Vinywaji Vinavyomsaidia Mwanamke Kubeba Ujauzito.

7.Anza Kumeza Folic Acid Sasa Hivi Sio Tiba ya Moja Kwa Moja lakini Unakuepusha Na Changamoto za Kuzaa mtoto mwenye Matatizo.

8 Elewa Mwili Wako Usipuuze Hali ambayo Hujazoea kuiona kwenye Mwili Wako Unaweza kupata Madhara Makubwa Ukipuuzia.

9.Hakikisha hauna magonjwa Yoyote yanayosumbua Mwili Wako yaani kuwa na Afya imara kwako na Kwa Mwenzi Wako

10.Hakikisha unafanya Mazoezi ya Kutoa Jasho Hasa kukimbia na Kutembea, K**a hauwezi kutenga Mda kwa Ajili ya Mazoezi itakuwa Ngumu Kwako kufikia Lengo

11.Kaa Mbali Na Msongo wa Mawazi kwa Gharama Yoyote

12. Shiriki Tendo La Ndoa Mara kwa Mara
Mawasiliano ni 0687147661 Dr.Funay

04/07/2023

K**a Umehangaika na Uzazi Kila Kona...
a). kwenye magroup ya Whatsapp upo ,

Wewe Kila group la Uzazi Lakini hupati Matokeo ya kupona na kuwa Mama

b).kwa Waganga wa Kienyeji umeenda Sana na umetumia Dawa za Kila Aina

Ila...

Bado hujafanikiwa

Na...

Unahisi kukata Tamaa Kabisa.

Usijali...

Idadi kubwa ya Wanawake tunaowasaidia ni wale waliokata Tamaa K**a Wewe,

Tupo nyuma yako...

Tupo upande Wako...

Tupo pamoja na Wewe...

Tutakusaidia uitwe Mama...

Una Kila Sababu ya kuitwa Mama...

Amini...

Unachotakiwa kufanya ni kunifahamisha tu kipi zaidi kinakutatiza Kuhusu Uzazi?

Je!

Ni haya?👇

1.Je? Unatafuta ujauzito hupati?

2. Umeshakuwa na mtoto mmoja Ila unatafuta wa pili unashindwa?

3 una matatizo kwenye kizazi
PID, hormonal imbalance, fangasi (harufu mbaya ukeni), uvimbe na mengine.

4.Umeenda hospitali na kutibu matatizo ya uzazi Ila bado hushiki ujauzito?

5.Hospitali wanakwambia hauna Tatizo lolote?

Karibu *CHAKULA NA DAWA* nikupe Msaada
Zungumza nami kwa namba 0687147661

Ushauri Wa Uzazi Kutoka  Kwa Mama Aliyekuwa Mgumba Kwa Zaidi ya Miaka 10."Dokta Mwanangu Yupo kidato Cha Nne Nina Zaidi ...
13/06/2023

Ushauri Wa Uzazi Kutoka Kwa Mama Aliyekuwa Mgumba Kwa Zaidi ya Miaka 10.

"Dokta Mwanangu Yupo kidato Cha Nne Nina Zaidi ya Miaka 10 kwenye Ndoa Maisha yangu ni ya Machozi, Nifanyaje?...(Akauliza Kwa Uchungu)
Ilikuwa ni Tar 24/ 02 Mwaka Huu...
Mida ya Asubuhi Saa Mbili hivi,, wakati naelekea kazini, Nilipokea Simu ya Ghafla Kutoka Kwa Mwanamke aliyejitambulisha Kwa Jina la "Amina"
Na changamoto zilizokuwa Zinamtesa ni Hizi Hapa Chini..... pamoja na Kusikia MAUMIVU Makali kwenye Nyonga na Chini ya Kitovu, Alikuwa akisumbuliwa na Fangasi na PID vya Kujirudia rudia,Uvimbe kwenye Kizazi na Mvurugiko wa Homoni
Matiti yalikuwa yanamuuma Kila Mara, Alikuwa Anatokwa na Uchafu Mweupe mzito K**a Maziwa Mgando...

Na...
Mda mwingine unatoa harufu Mbaya ya samaki Mbichi, kiasi Kwamba Ulikuwa unabakia Kwenye Uume wakati wa Tendo jambo Ambalo Lilileta Kero Sana Kwa Mume wake na Hata Kwake Pia ...

Dokta! Waganga Wa Kienyeji Nimepeleka Sana Jogoo zangu Na Mbuzi Hadi Kuna Mganga Mmoja Alitaka kulala na Mimi Eti nipone nakubeba Mimba (aliongea Amina)
LAKINI..... Pamoja na Kutumia Dawa Zote hizo, na Mateso yote hayo
Bado nimeishia Kuambulia PATUPU..yaani Sitamani Chochote na Mume wangu Ameshazaa nje Tayari "

Kusema Ukweli...Amina alishajikatia Tamaa Kabisa
"Docta Mimi kwenye Hii Ndoa Naishi tu(aliongea Kwa uchungu).

Nisikochoshe Sana...

Hivi Unajua Sasa Hivi Amina Ana Mimba Ya Miezi Miwili?.

Ndiyo...

Usishangae...


Unajua Amina Alifanyaje?

Alitumia "Fomula ya Uzazi"
Baada ya Kubeba Ujauzito, Nilimuuliza Amina Swali Hili👇

Ungewashauri Nini, Wanawake Wanaoteseka Na Uzazi na Changamoto za Uzazi?.

Dokta! Mimi Nawashauri Wanaotaka Uzazi kwa Urahisi Watumie Fomula ya Uzazi Uliyotufundisha,

Mimi Nimehangaika Sana na Changamoto za Uzazi.

Lakini...

Nimekuja kugundua Kwa Kutumia Fomula Ya Uzazi ni Rahisi Sana Kupona Na Kubeba Mimba(aliongea Amina)

Umeelewa alichokushauri Amina?.
K**a Jibu ni Ndiyo.

Mimi nitakufundisha Fomula Hii ya Uzazi aliyotumia Amina Na Mamia Ya Wanawake Waliofanikiwa kupitia Fomula Hii.

Nitafundisha Fomula Hii Kwa Wanawake 120 wa Kwanza BUREE yaani Bila Malipo Yoyote , hakikisha Wewe Unakuwa Mmoja Ya Hao 120 wataokuja

Bonyeza Neno "Learn More"
Au .
Bonyeza Link hapa Chini👇👇
https://chat.whatsapp.com/JSYgH0okhNi8doQ8TOJpi3

Kupata Mafunzo ya Fomula Ya Uzazi
Simu ;0687147661

Kabla Ya kutaka Kubeba Mimba Fahamu Hili👇Safari ya Yai la Mwanamke Kukomaa huathiriwa na Vitu Tofauti Tofauti... ...Sio ...
07/06/2023

Kabla Ya kutaka Kubeba Mimba Fahamu Hili👇

Safari ya Yai la Mwanamke Kukomaa huathiriwa na Vitu Tofauti Tofauti...

...Sio Tu Mfumo wa Homoni Bali hata Ubongo.

Yai la Mwanamke Hupevuka Siku ya 14 Baada ya Kuingia Period...

hii ni Kwa Mwenye Mzunguko wa Siku 28.

...Yai linaweza kuwahi Kupevuka au hata Kuchelewa Kupevuka ...

kwa Maana ya Kwamba K**a ulitegemea Siku Ya 14.

Basi...

Inaweza Kutokea kabla ya Siku Hiyo Au Baada ya Siku Hiyo,

Hii ni Kwa sababu ya Mabadiliko ya Mwili Kutokana na Lishe, Mfumo wa Maisha ,msongo wa mawazo pamoja Dawa Mbali Mbali ambazo unatumia ...

Msongo Wa Mawazo unasababisha Siku ya Yai kupevuka kubadilika au Hata Yai Lisipevuke kabisa...

kuumwa na kubadilisha Hali ya Hewa Husababisha Mabadiliko Ya Siku Ya Yai Kupevuka Kabisa...

Je Unashindwa Kubeba Ujauzito?

Unasumbuliwa na Tatizo la Hormonal Imbalance?

Unasumbuliwa na Maambukizi Kwenye Via Vya Uzazi yaani PID?

Una Mtoto Mmoja Umeshindwa Kumpata Mwingine?

Usijal...

Zungumza NAMI

Kwa Namba ya Simu

0687147661
0747231091
Dr.funay

Mkasa wa Dada Nuru Kutoka Zanzibar na Hofu Ugumba Kuisambaratisha Ndoa yake Hata K**a Unahisi Umekata Tamaa kupata mtoto...
12/03/2023

Mkasa wa Dada Nuru Kutoka Zanzibar na Hofu Ugumba Kuisambaratisha Ndoa yake
Hata K**a Unahisi Umekata Tamaa kupata mtoto Soma Hii Mpaka Mwisho ni namna Ya Tofauti kabisa Inayoweza Kukusaidia Kupata mtoto 👇
⏩ Nuru Alitafuta Ujauzito kwa zaidi ya Miaka Miwili
⏩ Alitumia Njia zote kutafuta Ujauzito tiba Lishe ,dawa za Asili na za Hospitali Hadi Kupitia Maumivu makali ya kuzibua Mirija ya Uzazi.
⏩Mawifi Walimsema Vibaya na Kutaka Kumtimua Kwa Kumtegea Mitego Mume wake Amuone Mbaya
⏩Hadi Alipoweza Kukutana Na Mimi Nuru alinieleza Mengi Sana yaliyomkuta kupitia Ugumba uliomsumbua.
⏩Nikamsikiliza Mpaka Nikahisi Na Mimi Naumia japo Yeye ndiyo Mwenye Tatizo
⏩Inawezekana Wewe Umehangaika K**a Dada Nuru na Bado hujafanikiwa Kwa Lolote kuhusu Kupata mtoto?.
⏩ Lakini Nataka Nikusimulie Stori Ya Dada Nuru kutoka Zanzibar Hadi Sasa Hivi tunavyoongea Nuru Amejifungua Mtoto wa Kiume. Naelewa unataka Kufahamu Nuru Alikuwa Na Tatizo Gani Ilikuwaje Mpaka Akapata Mtoto.
Usijali Bonyeza Link hapa Chini Au Bonyeza Neno Learn More kufahamu Zaidi kuhusu Nuru Na Njia Alizotumia Kutoka kwenye Changamoto yake ya Ugumba, Na Wewe njia Hizo Ziweze Kukusaidia K**a Zilivyomsaidia Nuru ,Njia Hizi Hazina Malipo Ni BUREE
K**a Upo Tayari twende Kwenye Link👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/FuIc4RAaVSr0yF9F5ei21H

Fumbo Ambalo Wengi Wameshindwa Kulifumbua Nyuma Ya Changamoto Za Uzazi Na Maambukizi Mabaya Ukeni.Jambo ambalo wanawake ...
27/01/2023

Fumbo Ambalo Wengi Wameshindwa Kulifumbua Nyuma Ya Changamoto Za Uzazi Na Maambukizi Mabaya Ukeni.

Jambo ambalo wanawake Hawaelewi kuhusu changamoto za uzazi na maambukizi ya Mara kwa Mara ukeni ni kuwa wanachanganya matibabu ya tatizo Moja kwenye Tatizo lingine. Hili kosa wanafanya watu ambao wanawahudumia bila Vipimo.
Kwa mfano.
1.unatokwa na uchafu ukeni unaenda kutumia Dawa za UTI kumbe una fangasi ya mda Mrefu.

2.Siku zako zinabadilika unatumia Dawa za kubalance homoni kumbe unatatizo lingine kabisa kwenye Mfuko wa mayai.

3.Unashindwa kubeba ujauzito unatumia Dawa ya kupevusha Mayai kumbe hata mayai hayana Ubora wa kurutubishwa au mirija imeziba.

Yapo Mengi Sana yanawasibu wanawake na yenye madhara kisaikolojia na kimwili.

🌱 Unahitaji kufahamu zaidi? Nahitaji watu 50 wa kwanza ambao nitawasaidia BURE -
Bonyeza link kuwahi Nafasi yako👇👇
https://chat.whatsapp.com/FuvSlOwgOFJHqv6AiU31mH

30/06/2022

SIRI. YA UZAZI

➡️ Upo kwenye Mitandao yote ya kijamii na magroup yote ya WhatsApp yanayohusu uzazi, unatafuta njia ya kutibu changamoto yako ya uzazi inayokukabili, lakini haijawa bahati kwako kwa kuwa bado hujafanikiwa kupata unachokitaka.

➡️🤍 Umeshanunua dawa za Aina zote , za hospitali na mitishamba Hadi tiba lishe lakini bado patupu.

➡️🤍 Kila ukienda kupima kizazi unaambiwa hakuna tatizo ila sasa 🤔 hainasii.

➡️🤍 Wewe kila ukienda kupima unaambiwa tatizo lako Ni mvurugiko wa homoni, unatumia dawa za kurekebisha homoni lakini wapi mimba bado.

➡️🤍 Umetibu UTI sugu PID hata fangasi pamoja na kupona mimba bado hainasii, mpaka unajiuliza au nimelogwa jamanii😃.

➡️🤍 Uliambiwa mirija imeziba ukaenda kuzibia pengine kwa operation yenye maumivu makali, ikaonekana upo vizuri Ila swala la kushika ujauzito kwa Badoo

➡️🤍 Na vivimbe umeshatibu Ila vinarudii na mimba ndo hata umeshasahau K**a itaingia

➡️🤍 Mda mwingine unajiuliza Hadi unakosa majibu mpaka unakata tamaa kwa kuwa huelewi tatizo lako hasa Ni lipi

➡️🤍Mbaya zaidi hujawahi kuwa na mtoto hata mmoja na umri unazidi kwenda.

➡️🤍 Najua unawaza kuwa huenda Mimi nitakusaidia ama la ,,, ndiyo Mimi naweza kukusaidia ila kwa vigezo K**a hautakidhi vigezo Basi itakuwa bahati mbaya kwako.

➡️🤍 Laki zako na milioni zako zimeshapeperuka sana kwenye swala la uzazi lakini hujafanikiwa bado.

➡️🤍 Nikutoe hofu Wewe hapo ambaye yamekusibu Mengi kuhusu uzazi.

➡️❤️Nitajibu maswali yako yote na utajua unatatizo gani linalokufanya usiweze kupata hitaji la Moyo wako na kwanini huo ugonjwa wako hauponi kila Mara umekuwa mtu wa kubadili madawa tu.

➡️❤️ Huenda unatatizo au huna tatizo kabisa lakini Cha ajabu haushiki ujauzito.

❤️🤍 Hii ndiyo huduma unayohitaji kwa mda mrefu.

➡️ Pokea huduma ya ki-VIP kutoka kwetu.
Ambapo;-
▶️ Kupata ushauri wa BURE kuhusu uzazi.

▶️ Kuongea na daktari kuhusu tatizo lako kwa njia ya WhatsApp.

▶️ Kupata tiba sahihi kuhusu uzazi na tatizo linalokusumbua
▶️Kuingia kwenye Group letu la WhatsApp na kujifunza kuhusu tatizo lako la uzazi.
▶️ Kuona shuhuda za waliokata tamaa awali na baada kupata huduma zetu kupona na kupata watoto.

❤️🤍Huduma Hii Ni maalum kwa mtu maalum na mwenye hitaji maalum (kupona kabisa na kupata mtoto)

Bonyeza link👇👇👇 kuingia kwenye group la WhatsApp kwa ajili yako kutimiza lengo lako

https://chat.whatsapp.com/B4jyCC6bfjbFK0VtkgyHiG

Mawasiliano ya WhatsApp Ni 0687147661 au unaweza kupiga kawaida

Karibu upokee hitaji lako

04/06/2022

WEWE SIO MGUMBA

Wanawake wengi wanahangaika huku na kule wakihitaji kushika ujauzito na wanaamini wakishatafuta ujauzito mda mrefu bila mafanikio na wengine wameshakata tamaa kabisa ,,ikishakuwa hivyo Basi wao huamini kuwa Ni wagumba..
❤️❤️Hutakiwi kuwa na huu mtazamo wa hivi na Wala hutakiwi kukata tamaa K**a una hitaji la mtoto
❤️❤️ Nasema hivii kwa sababu K**a umeshindwa kushika ujauzito lazima kutakuwa na chanzo inayopelekea wewe usipate ujauzito.

❤️❤️ Na chanzo inaweza kuwa wewe au mumeo/mwenzi wako.

❤️❤️Mwanamke unaposhindwa kubeba ujauzito ujue hukosi chanzo na Mara nyingi chanzo inakuwa haya maradhi nitakayoorodhesha hapa chini;
1 PID- haya Ni maambukizi kwenye via vya uzazi.
2. Mvurugiko wa homoni( hormonal imbalance)
3.UTI sugu na fangasi
4. Uvimbe kwenye kizazi na mfuko wa mayai
5.kuziba kwa mirija ya uzazi
6.Tatizo la endometriosis

❤️❤️ Acha kabisa kutafuta ujauzito kwanza njoo ujiunge na programu maalum ya wanawake ,, ndani ya Programu hii utapata
1.ushauri wa BUREE wa kushika mimba
2.ELIMU KUHUSU MATATIZO NILIYOTAJA NA UTATUZI

BONYEZA LINK HAPA👇👇chini kuingia darasani

https://bit.ly/3wZUN0I

Mawasiliano Ni 0687147661 hii Ni WhatsApp na kupiga kawaida

ANGALIZO
Usibonyeze LINK K**a wewe haupo tayari kupata Programu yetu

02/06/2022

Mbona K**a sio dawa mmmh!😂😂
K**a unachangamoto ya kutoshika ujauzito njoo WhatsApp kwa namba 0687147661

31/01/2022

WEWE SIO MGUMBA

Wanawake wengi wanahangaika huku na kule wakihitaji kushika ujauzito na wanaamini wakishatafuta ujauzito mda mrefu bila mafanikio na wengine wameshakata tamaa kabisa ,,ikishakuwa hivyo Basi wao huamini kuwa Ni wagumba..
❤️❤️Hutakiwi kuwa na huu mtazamo wa hivi na Wala hutakiwi kukata tamaa K**a una hitaji la mtoto
❤️❤️ Nasema hivii kwa sababu K**a umeshindwa kushika ujauzito lazima kutakuwa na chanzo inayopelekea wewe usipate ujauzito.

❤️❤️ Na chanzo inaweza kuwa wewe au mumeo/mwenzi wako.

❤️❤️Mwanamke unaposhindwa kubeba ujauzito ujue hukosi chanzo na Mara nyingi chanzo inakuwa haya maradhi nitakayoorodhesha hapa chini;
1 PID- haya Ni maambukizi kwenye via vya uzazi.
2. Mvurugiko wa homoni( hormonal imbalance)
3.UTI sugu na fangasi
4. Uvimbe kwenye kizazi na mfuko wa mayai
5.kuziba kwa mirija ya uzazi
6.Tatizo la endometriosis

❤️❤️ Acha kabisa kutafuta ujauzito kwanza njoo ujiunge na programu maalum ya wanawake ,, ndani ya Programu hii utapata
1.ushauri wa BUREE wa kushika mimba
2.ELIMU KUHUSU MATATIZO NILIYOTAJA NA UTATUZI

BONYEZA LINK HAPA👇👇chini kuingia darasani

https://chat.whatsapp.com/LSsAVzjnd9VC0iUvvoAPdz

Mawasiliano Ni 0687147661 hii Ni WhatsApp na kupiga kawaida

ANGALIZO
Usibonyeze LINK K**a wewe haupo tayari kupata Programu yetu

13/12/2021

WEWE SIO MGUMBA

Wanawake wengi wanahangaika huku na kule wakihitaji kushika ujauzito na wanaamini wakishatafuta ujauzito mda mrefu bila mafanikio na wengine wameshakata tamaa kabisa ,,ikishakuwa hivyo Basi wao huamini kuwa Ni wagumba..
❤️❤️Hutakiwi kuwa na huu mtazamo wa hivi na Wala hutakiwi kukata tamaa K**a una hitaji la mtoto
❤️❤️ Nasema hivii kwa sababu K**a umeshindwa kushika ujauzito lazima kutakuwa na chanzo inayopelekea wewe usipate ujauzito.

❤️❤️ Na chanzo inaweza kuwa wewe au mumeo/mwenzi wako.

❤️❤️Mwanamke unaposhindwa kubeba ujauzito ujue hukosi chanzo na Mara nyingi chanzo inakuwa haya maradhi nitakayoorodhesha hapa chini;
1 PID- haya Ni maambukizi kwenye via vya uzazi.
2. Mvurugiko wa homoni( hormonal imbalance)
3.UTI sugu na fangasi
4. Uvimbe kwenye kizazi na mfuko wa mayai
5.kuziba kwa mirija ya uzazi
6.Tatizo la endometriosis

❤️❤️ Acha kabisa kutafuta ujauzito kwanza njoo ujiunge na programu maalum ya wanawake ,, ndani ya Programu hii utapata
1.ushauri wa BUREE wa kushika mimba
2.ELIMU KUHUSU MATATIZO NILIYOTAJA NA UTATUZI

BONYEZA LINK HAPA👇👇chini kuingia darasani

https://chat.whatsapp.com/KhNKZxW43uz2snDMI42sj9

Mawasiliano Ni 0687147661 hii Ni WhatsApp na kupiga kawaida

ANGALIZO
Usibonyeze LINK K**a wewe haupo tayari kupata Programu yetu

Mlonge Ni dawa nzuri sana
16/11/2021

Mlonge Ni dawa nzuri sana

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:30
Tuesday 08:00 - 21:30
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 21:30
Friday 08:00 - 21:30
Saturday 08:00 - 21:30
Sunday 10:30 - 22:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chakula na dawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Chakula na dawa:

Share