Afya- ya uzazi wanawake na wanaume

Afya- ya uzazi wanawake na wanaume Mtaalamu wa afya- Kutoka bfsuma Tz

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUTUMIA FEMICARE KWA MWANAMKEJe unajua wanawake wengi wanasumbuka Sana na mgonjwa k**a fungus sugu ,ut...
04/11/2022

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUTUMIA FEMICARE KWA MWANAMKE

Je unajua wanawake wengi wanasumbuka Sana na mgonjwa k**a fungus sugu ,uti sugu ,pid sugu sababu wanakosa mlinzi madhubuti wa maeneo ya siri

Suluhisho lako hili hapa

FAIDA ZA KUTUMIA FEMICARE KWA MWANAMKE

-Huweka maeneo ya sehemu za siri Safi na salama

-Huzuia na kukinga malazi mbali mbali katika sehemu za siri

-Huondoa maji machafu na yenye harufu kali sehemu za siri

-Inatibu na kumkinga mwanamke na maradhi yanayosababishwa kwa njiaa ya mkojo UTI sugu

-Inaongeza ute ute wa asili kwa MWANAMKE

-Inakaza misuli ya uke uliolegea

-Hurudisha uke katika ujana na kumfanya mume afurahie tendo

-Inatibu PID sugu ikitumiwa na yunzh product

-Inatibu vijidudu vinavyopatikana kwenye nywele vinavyosababisha upele sehemu za siri

-Inaua bacteria wanaosababisha STDs

-Inasaidia kupunguza joto kali ukeni

Tumia ndani ya siku 5-10 kwa matokeo mazuri

K**a umetumia dawa za hospitali kwa mda mrefu lakini bado una changamoto ya kujirudia rudia kwa UTI,FUNGUS, PID, suluhisho ni Femicare tu wengi wamepona tiba ni ya uhakika

ipate kwa shilingi elfu 35000

Mawasiliano 0719458061

Bofya hapa njoo whatsup moja kwa moja
https://wa.link/10236m

Kujua chanzo cha tatizo hili na tiba au ushauri 0719458061  USHSURI BURE #
04/09/2022

Kujua chanzo cha tatizo hili na tiba au ushauri 0719458061

USHSURI BURE #

MAUMIVU WAKATI WA TENDO NA KUTOKWA DAMUHivi ushawah kuuliza kwanini tunakwambia kupata Maumivu wakati unashiriki tendo l...
04/09/2022

MAUMIVU WAKATI WA TENDO NA KUTOKWA DAMU

Hivi ushawah kuuliza kwanini tunakwambia kupata Maumivu wakati unashiriki tendo la ndoa na kuona matone ya damu baada ya tendo la ndoa ni hatari?

Angalia hapo maumbile ya mwanamke kuna uke hapo chini, cervix huo ni mlango wa kizazi hapo kwenye cervix ikishika ujauzito panafunga,au kuna uterus hilo ndio tumbo la uzazi

Cancer ya kizazi inaanzia hapo kwenye mlango wa kizazi cervix sababu nyingi zinaweza kukupelekea seli za kansa kuanza kukua kwenye mlango wa kizazi sababu kuu ni kuwa na maambukizi ya mara kwa mara sehemu za siri mfano pid ,Hali hiyo ukiwa nayo mda mrefu ndio unaanza kupata Maumivu wakati wa tendo,kuona damu baada ya tendo au katikati ya mwez kabla ya kupata period

Hiyo Hali ikiendelea zile seli zinazidi kupanda juu mpaka kwenye uterus hapo ndio kansa ya kizazi yenyewe

Sijui umenielewa na ugonjwa huu unaweza ukawa nao na wala usione viashiria au unaona viashiria mfano hizo dalili nimekutajia but ukapuuza my friend hata miaka 5 6 au mpaka kumi ukija kushuka tayari kansa ipo stage 4 na hapo hakuna cha kufanya chukua hatua huu ni ugonjwa hatari zaidi unaotumaliza wanawake na hatujui

Ushauri 0719458061

MAMBO YANAYOKUPELEKEA KILA UKITIBU PID HAUPONIMara nyingi wanawake wengi wamekuwa wahanga wa kulalamika kutibu ugonjwa h...
04/09/2022

MAMBO YANAYOKUPELEKEA KILA UKITIBU PID HAUPONI

Mara nyingi wanawake wengi wamekuwa wahanga wa kulalamika kutibu ugonjwa hatari wa PID ( pelvic inflammatory deseases) na hawapati matokeo

Kwanza inatakiwa ujue ugonjwa huu inasababishwa na nini hasa

Chanzo kikuu cha ugonjwa huu unasababishwa na magonjwa ya yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana( STDS) mfano chlamydia na gonorrhea

Hata hivyo pia kuna njia nyingine mbali na kujamiiana inaweza pia kupelekea ukapata ugonjwa huu kwa Mana hiyo unaweza ukapata kwa njia nyingine mbali na kujamiiana mfano matumiz ya njia za uzazi wa mpango , UTI sugu nk

NINI KINAPELEKEA KUTIBU PID BILA MATOKEO

- Wanawake wengi wanatibiwa ugonjwa huu peke yao wanasahu kuwa ukitibiwa wewe inatakiwa mpenz, mume wako pia na wao watibiwe usipofanya hivi bac utakuwa unatibu ugonjwa utakuwa unarudi tena na tena na tena

- Matumizi ya anti biotics yanakufanya zile dalili zote zinapotea na kukufanya uamin kuwa ugonjwa umepona kitu ambacho kinakuwa sio rahisi kutumia dawa kwa mda mfupi na ugonjwa kuisha mara moja so baada ya mda kupita tu dalili zinaanza tena na ugonjwa unajirudia tena

- Kinga za mwili kushuka kutokana na mazingira tunayoishi, vyakula tunavyokula ukizingatia vina kemikali nyingi miili yetu inashindwa kutengeneza kinga madhubu ya kupambana na magonjwa so ukitibiwa na mwili ukiwa hauna kinga imara ni rahisi kupata maambukizi ya magonjwa mbalimbali

Kwa ushauri au tiba kuhusu PID bofya hapa njoo whatsup

https://wa.link/10236m

Call / text 0719458061

FAHAMU KUHUSU PCOS (polycystic ovarian syndrome) INAVYOATHIRI WANAWAKE WENGI KUTOSHIKA UJAUZITONi ugonjwa wa afya ya uza...
04/09/2022

FAHAMU KUHUSU PCOS (polycystic ovarian syndrome) INAVYOATHIRI WANAWAKE WENGI KUTOSHIKA UJAUZITO

Ni ugonjwa wa afya ya uzazi kwa mwanamke ambao kitaalamu ukiwa na dalili mbili kati ya tatu zifuatazo unakuwa muhanga wa ugonjwa huu

DALILI
-mvurugiko wa hedhi(kupata hedhi chini ya 8 kwa mwaka) OLIGOMENORRHEA
-kuzidi kwa homoni za kiume(testosterone)kwa mwanamke.
-Mayai ya kike(ovaries)kuwa na uvimbe mdogo mdogo pande zote mbili(polycystic ovaries)

JINSI UNAWEZA KUPATA (PCOS)

PCOS unaweza ipata kwa -kurithi(genetic), -mvurugiko wa hormone,
-shida katika mfumo wa chakula(metabolism)
- shida katika mfumo wa uzazi.( Changamoto yeyote uipatayo kwenye mfumo wa uzazi inapelekea PCOS)

PCOS ni kisababishi ya ugumba kwa asilimia nyingi kwa wanawake walio wengi.

Wanawake wengi walio na PCOS wapo kwenye hatarishi ya kupatwa na
-kisukari(diabetes)
-mafuta mengi mwilini(high cholesterol
-Mawazo(depression)
-kukosa hamu ya tendo la ndoa
-kansa ya tumbo la uzazi(endometrial cancer).
PCOS inatibika,na unaweza kushika ujauzito baada ya tiba.

Ushauri/ tiba nipigie 0719458061

Au bofya hapa njoo whatsup

https://wa.link/10236m

Kwa changamoto ya uzazi nicheki tushsuriane 0719458061
04/09/2022

Kwa changamoto ya uzazi nicheki tushsuriane 0719458061

Je wewe ni mwanamke unaesumbuliwa na UTI mara kea mara? Umetibiwa mda mrefu bila matokeo usihofu 0719458061      🇹🇿
04/09/2022

Je wewe ni mwanamke unaesumbuliwa na UTI mara kea mara? Umetibiwa mda mrefu bila matokeo usihofu

0719458061

🇹🇿

VIRUTUBISHO LISHENINI MAANA YA VIRUTUBISHO Ni vitu (substance ) ambavyo hurutubisha mwili, Virutubisho hivi hupatikana k...
19/08/2022

VIRUTUBISHO LISHE
NINI MAANA YA VIRUTUBISHO

Ni vitu (substance ) ambavyo hurutubisha mwili, Virutubisho hivi hupatikana kwenye vyakula vyote,
Virutubisho vya chakula vimegawanyika katika makundi Sita,
(1) 👉 Wanga
-kazi yake kubwa ni kuleta nguvu mwilini Mfano:mahindi, viazi, ngano, mchele
(2) 👉protini
Kazi yake ni kujenga mwili Mfano :nyama, mayai, maharage, njegere, maziwa,
(3) 👉Vitamini
Kazi yake kubwa ni kulinda mwili
Mfano: maembe, machungwa, nanasi, zabibu,
(4) 👉Madini Huusika sana katika kuwezesha mifumo ya mwili
Mfano: chumvi,ubuyu, dagaa, mboga mboga za kijani, (vyanzo vya baadhi ya madini)
(5) 👉Maji huwezesha mifumo mbali mbali katika mwili,

(6) 👉 Tambua kua hizo ni baadhi ya kazi za hivyo virutubisho

Ili mwili wa binadamu ufanye kazi vizuri na uweze kujilinda na magonjwa unahitaji kupata virutubisho vyote Sita ktk uwiano au kiasi sahihi, yaani lishe bora.

"kulingana na takwimu za WHO (shirika la afya duniani) lilisema 👉ili mwili wa binadamu uweze kuwa na kinga bora ya mwili dhidi ya magonjwa mbali mbali unatakiwa kila siku uwe na uwezo wa kupata matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kila siku"

Je kulingana na takwimu hizo za WHO , upo salama ?
K**a ni hapana Je, una uwezo wa kumudu gharama za matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kwa kila siku ?

Ushauri, matumizi ya virutubisho lishe vyenye ubora wa hali ya juu ni muhimu kwa mtu ambae hana uwezo wa kupata mlo wa matunda aina saba na mboga mboga aina saba kila siku

MADHARA YATOKANAYO NA KUKOSA LISHE BORA
👉magonjwa
👉maambukizi ya wadudu
👉uchovu
👉udhaifu wa mwili

Watoto wanaokosa lishe bora hupata matatizo ya kukua vibaya na kufanya vibaya katika masomo

"kumbuka kinga ni bora kuliko tiba" Anza leo kula matunda na mboga mboga kwa mpangilio maalum au kutumia virutubisho lishe uweze kujilinda na magonjwa na kuepuka garama za matibabu ya hospitalini

Kwa mikoa ambayo bado hatuna mawakala tunatuma kwa uaminifu kabisa 0719458061
18/08/2022

Kwa mikoa ambayo bado hatuna mawakala tunatuma kwa uaminifu kabisa 0719458061

Everything is possible through the use of dietary supplement call us  0719458061
18/08/2022

Everything is possible through the use of dietary supplement call us 0719458061

Client's feedbackJe wewe ni mwanamke mwenye changamoto ya uke mkavu nicheki upate ushauri au tiba 0719458061
18/08/2022

Client's feedback

Je wewe ni mwanamke mwenye changamoto ya uke mkavu nicheki upate ushauri au tiba 0719458061

My client feedback
18/08/2022

My client feedback

Feedback👏👏
18/08/2022

Feedback👏👏

Je unaweza kunitajia dalili Kati ya hizi zipi ulizonazo na zinazokusumbua Sana-harufu ukeni-kutokwa majimaji yenye shomb...
17/08/2022

Je unaweza kunitajia dalili Kati ya hizi zipi ulizonazo na zinazokusumbua Sana
-harufu ukeni
-kutokwa majimaji yenye shombo ya samaki
-maumivu chini ya kitovu
-kuumwa kichwa
-kizungu zungu
-kichefu chefu
-kutapika
-kuumwa kiuno
-kuumwa nyonga
-kuumwa mgongo
-maumivu wakati wa tendo
-kutoa harufu wakati wa tendo
-kuchubuka ukeni
-kutokwa uchafu wa njano au wa kijani ukeni
-uke kuwaka moto
-chupi kuchagua
-kuwashwa
-kuota vinyama
-kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa

Call/ text 0719458061

Hii ndio package kibokonkwa changamoto zote za kina mama , harufu mbaya ukw I, miwasho, mvurugiko wa homon,uke mkavu,kuk...
14/08/2022

Hii ndio package kibokonkwa changamoto zote za kina mama , harufu mbaya ukw I, miwasho, mvurugiko wa homon,uke mkavu,kukosa hamu ya tendo la ndoa

KWA ushauri au tiba WASILIANA nami 0719458061

K**a ulishawah kupima na ukabiwa una pid hiyo sio ya kupuuzia kabisa njoo tukushauri 0719458061
14/08/2022

K**a ulishawah kupima na ukabiwa una pid hiyo sio ya kupuuzia kabisa njoo tukushauri 0719458061

K**a wewe ni muhanga wa changamoto hizi au mojawapo tuwasiliane kwa msaada 0719458061
14/08/2022

K**a wewe ni muhanga wa changamoto hizi au mojawapo tuwasiliane kwa msaada 0719458061

Hormonal imbalance au tunaita mvurugiko wa homoni hii ni Hali inayowapata wanawake wengi kutokana na sababu mbalimbaliLe...
14/08/2022

Hormonal imbalance au tunaita mvurugiko wa homoni hii ni Hali inayowapata wanawake wengi kutokana na sababu mbalimbali

Leo ngoja nizungumzia ukiambiwa homoni zako zimevurugika ni nini kimetokea kwenye mwili wako,mwanamke homon kuu za uzazi zipo mbili OESTROGEN NA PROGESTERONE

OESTROGEN
Homon hii inazalishwa kwenye mayai ya mwanamke na kazi yake kubwa kwenye mwili wako k**a kurutubisha mayai yako Ili kukuwezesha kutungishwa na mbegu za kiume,pili zinaratitu mpangilio wa hedhi yako,tatu kukuongezea ute ute kwenye maungio yako

PROGESTERONE
Homon hii pia Inaratibu mfumo wa uzazi wa mwanamke kazi yake ni kuuandaa mji wa mimba kupokea kiumbe kipya,pili inakusaidia kulinda kiumbe kirichorutubishwa Ili mimba isiharibike au usijifungue kabla ya muda

OESTROGEN+ PROGESTERONE

Homon hiz zinatakiwa ziwe katika uwiano sawa haitakiwi moja izidi Sana zaidi ya nyingine ikitokea hiz homon hazipo katika uwiano sawa ndio hupelekea sasa Matatizo k**a Ugumba uvimbe,cyst, mvurugiko wa hedhi,kupata hedhi katikati ya mwezi, kubleed mabonge mabonge, kubleed kwa mda mrefu, kunenepa kupita kiasi

Ukitaka kufahamu zaidi kuhusu homon hizi nicheki 0719458061

#

Address

Tabata Kinyerezi
Kinyerezi

Telephone

+255719458061

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya- ya uzazi wanawake na wanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya- ya uzazi wanawake na wanaume:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram