Afya Kwanza

Afya Kwanza We promote and sell healthy and beauty products

Waleeee robo fainali....
20/01/2025

Waleeee robo fainali....

*Kalsiamu: Madini Muhimu kwa Mwili Wako 🦴💪*•⁠  ⁠*Kwa nini kalsiamu ni muhimu?*        Kalsiamu ni muhimu kwa mifupa na m...
16/01/2025

*Kalsiamu: Madini Muhimu kwa Mwili Wako 🦴💪*

•⁠ ⁠*Kwa nini kalsiamu ni muhimu?*

Kalsiamu ni muhimu kwa mifupa na meno imara, misuli kufanya kazi, kuganda kwa damu, na kuweka moyo na mishipa ya fahamu katika hali nzuri.

•⁠ ⁠*Unahitaji kiasi gani?*

Watu wazima wanahitaji *1,000 mg kwa siku*, lakini wanawake wajawazito, wanaonyonyesha, na watu wenye umri wa zaidi ya miaka 50 wanahitaji zaidi.

•⁠ ⁠*Chanzo cha kalsiamu ni kipi?*

✅ Bidhaa za maziwa 🥛

✅ Mboga za majani 🥬 (kale, spinachi)

✅ Mlozi 🌰

✅ Vyakula vilivyoongezwa kalsiamu (k**a juisi ya machungwa na maziwa ya mimea) 🧃

•⁠ ⁠*Vidokezo vya kupata kalsiamu ya kutosha:*

🌟 Kula vyakula vyenye kalsiamu kila siku.

🌟 Changanya kalsiamu na Vitamini D ili mwili upate kufyonza vizuri.


*Suluhisho*

💊 Virutubisho vya nyongeza

🤙 Tumia Cal-Mag

💡 Daima zungumza na daktari wako kabla ya kutumia virutubisho vya kalsiamu.

*Kaa Imara, Kaa na Afya! 💪🦴*

Kwa ushauri na bidhaa bora za afya ....
05/01/2025

Kwa ushauri na bidhaa bora za afya ....

Jipatie Super Gro kwa bei nafuu
17/12/2024

Jipatie Super Gro kwa bei nafuu

Care ni bidhaa bora kwa afya yako....
30/11/2024

Care ni bidhaa bora kwa afya yako....

Kuza mazao yako kwa kutumia Super Gro
21/09/2024

Kuza mazao yako kwa kutumia Super Gro

Je, unasumbuliwa na maumivu ya mifupa, mgongo na miguu?🤯🤯🤯👌Cal Mag ndio suluhisho la tatizo lako 👍inapatikana Afya Kwanz...
21/09/2024

Je, unasumbuliwa na maumivu ya mifupa, mgongo na miguu?🤯🤯🤯
👌Cal Mag ndio suluhisho la tatizo lako
👍inapatikana Afya Kwanza kwa bei nafuu kabisa

21/09/2024
Linda afya ya moyo kwa kutumia Garlic Allium.
07/08/2024

Linda afya ya moyo kwa kutumia Garlic Allium.

Super Gro ni zaidi ya mbolea kwenye mazao yako!Sasa inapatikana katika muonekano mpyaaa!  Wahi ofa ya Nanenane🍎
23/07/2024

Super Gro ni zaidi ya mbolea kwenye mazao yako!
Sasa inapatikana katika muonekano mpyaaa!


Wahi ofa ya Nanenane🍎

Address

Kunduchi

Telephone

+255692499934

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share