Tabibu Marimo Herb's

Tabibu Marimo Herb's Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tabibu Marimo Herb's, Lugoba.

Jiunge na Channel yetu .. https://whatsapp.com/channel/0029Vb6dpGL8V0txCgvIxG1Z
22/05/2026

Jiunge na Channel yetu .. https://whatsapp.com/channel/0029Vb6dpGL8V0txCgvIxG1Z

Follow Meta Herbal AI🔮's WhatsApp Channel. Bidhaa-Lishe zimekuwa chapa kubwa zinatambulika na kutegemewa kwa afya kwa kutumia vyakula asilia tangu 2010, ambapo huduma zangu zilizaliwa.

Tungependa kusikia kutoka kwako, kwa kuwa shabiki na utoe maoni leo!. Join 1.6K followers for the latest updates.

Channel yetu .. https://whatsapp.com/channel/0029Vb6dpGL8V0txCgvIxG1Z
22/05/2026

Channel yetu .. https://whatsapp.com/channel/0029Vb6dpGL8V0txCgvIxG1Z

Follow Meta Herbal AI🔮's WhatsApp Channel. Bidhaa-Lishe zimekuwa chapa kubwa zinatambulika na kutegemewa kwa afya kwa kutumia vyakula asilia tangu 2010, ambapo huduma zangu zilizaliwa.

Tungependa kusikia kutoka kwako, kwa kuwa shabiki na utoe maoni leo!. Join 1.6K followers for the latest updates.

 : KUANGALIA MWILI WAKO SUALA LA NYOTA, NDOTO TAFSIRI ZAKE, BAHATI, MARADHI YANAKUSIBU, VIFUNGO, RIZKI KUKWAMA KWENYE BI...
22/05/2026

: KUANGALIA MWILI WAKO SUALA LA NYOTA, NDOTO TAFSIRI ZAKE, BAHATI, MARADHI YANAKUSIBU, VIFUNGO, RIZKI KUKWAMA KWENYE BIASHARA NA NDOA KUPITIA JINA LAKO.

Jiunge whatsapp channel https://whatsapp.com/channel/0029Vb6dpGL8V0txCgvIxG1Z

Natoa punguzo la kuangalia chanzo cha tatizo kwa wenye shida zao! Wanaotaka kuangalia majambo yako kwenye suala la nyota zao k**a zimefungwa, chafu au zimeibiwa. Kuhusu Bahati yako na namna ya kufanya kufikia hatma ya malengo yako.

Na wenye biashara ambazo haziendelei zinakwama au kuangaka mara kwa mara. Pia kuhusu maradhi una maradhi ambayo yameshindikana hospital hupati Hauweni. Pia wenye ndoa kila mara malumbano kuangali tatizo nini.

: UTATUMA JINA LAKO NA MALIPO YA SADAQA YA HUDUMA HII 3500Tsh KUPITIA NO: 0684765575.

NITAWAANGALIA WALE WENYE SHIDA HIZO NA KWELI WANAHITAJI KUANGALIWA BASI LEO WATASAIDIKA

OFA ILIYOTOLEWA NI WEEK HII MPAKA JUMAPILI YA TAREHE 24.

nawasikiliza wenye shida za maradhi, nyota, ndoa, kazi wanaohitaji kujua chanzo cha tatizo

WHATSAPP:+255 684 765575
kwa mnaotuma ujumbe weka maelezo unaitwa jina lako pahala ulpo na shida uliyonayo

 : k**a umelala Amka usicheze na chapisho hili.. Usiku huu kabla hujalala fanya hivi..    Chukua jivu la jikoni kidogo c...
22/05/2026

: k**a umelala Amka usicheze na chapisho hili.. Usiku huu kabla hujalala fanya hivi..
Chukua jivu la jikoni kidogo chukua ndimu kamulia hilo jivu na ujipake katika viganja vya mkono, paji la uso na kwenye unyayo.
Kisha lala
Tukutane asabuhi utupe ushuhuda

Usiogope hii ni nzuri kwani ni kinga katika usingizi wako dhidi ya maadui pia inakuonesha usiyoyajua kupitia ndoto na utakachoota ujue ni kweli Usipuuze.

Ambaye amewahi kujaribu naomba atoe ushuhuda hapo chini kwenye comment....
Usisahau kufollow page ya Tabibu Marimo Herb's kwa elimu zaidi 0758 673897

ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

 : HUU MSHARIFU NI UFUNGUO WA SIRI:Huu ni miongoni mwa miti katika uwanda wa tiba asili na ulimwengu wa Tiba Asilia kwa ...
22/05/2026

: HUU MSHARIFU NI UFUNGUO WA SIRI:

Huu ni miongoni mwa miti katika uwanda wa tiba asili na ulimwengu wa Tiba Asilia kwa ujumla. Kutokana na kuwa na kazi nyingi, mti huu umepewa majina mengi k**a vile Ufunguo wa siri, Mfichua siri, Kimbizo la shetani, Angusho la wachawi n.k, yote hayo ni majina yake kutokana tu na sehemu unapotokea.

Ikiwa ni miongoni mwa miti ya tiba yenye kazi zaidi ya 150, mti huu hauna namna maalum ya kuutumia bali matumizi yale hutokana na uwezo wa mtaalam mwenyewe, kwani unaweza kuutumia utakavyo na kukutatulia tatizo ulilonalo.

👉Baadhi ya kazi sharifu la wachawi.
Kutibu ukichaa, Kutibu/kusafisha figo, Kuangusha ndege za wachawi usiku, Kumrudisha mwenza aliekukimbia, Kuzuia radi za kichawi, Kuondosha nuksi na mikosi katika mwili.

Kumtibu kichaa✔️
Chukua majani 7 ya msharifu , Majani 7 ya Msoniti, Majani 7 ya kisamvu, Majani 7 ya mkunazi.

👉Matayarisho na matumizi yake
Ponda ponda dawa zote hizo kisha kamua upate juisi yake. Dondoshea matone matatu ya mafuta ya mkunazi (mafuta yasiwe na kemikali). Mpatie juisi hiyo mgonjwa wa ukichaa kila siku glasi moja kila siku kwa muda wa siku 17

Kumtibu kIfafa✔️
👉Chukua majani 7 ya msharifu unguze upate usila wake

Tumia matone 7 ya mafuta ya msonoti weka kwenye usila huo kumpatia mgonjwa kila mara akianguka kifafa kinapopanda zaidi hakika atatulia Tumia kijiko kidogo cha usila kuweka kwenye uji au chai. Fanya hivyo kwa muda wa siku 7 hadi 14.

Kutibu/kusafisha figo✔️
👉Chuma majani ya msharifu chemsha tumia kwa kunywa robo kikombe kwa muda wa siku 7-11.

Kukufungulia ndoto✔️
👉Ikiwa unahitaji kujua mambo kupitia ndoto, au hata kwa wenye matatizo ya kutokupata ndoto mara kwa mara pamoja na kusahau kile ulichokiota usiku basi tumia majani haya kukufungulia matatizo yako ya ndoto.

Namna ya kufungua ndoto✔️
👉Chuma majani yake pamoja na majani ya miwa (Mchawi hana akili), Udongo wa kichuguu kikubwa, Mchanga wa njia panda 7 Changanya vyote hapo uchome na ujifukize k**a nyungu kwa manuizi ya kile unachokihitaji ukiwa umelala.

Kumuona mchawi unamuona live:✔️
Chukua majani matatu ya msharifu.
Yapake vizuri mafuta ya mzeituni, Yaweke pamoja na mchanga wa njia 7, Funga vyote pamoja katika kitambaa cheupe, Weka katika mto kwa manuizi kisha lalia usiku.

Kumrudisha mwenza aliekutoroka✔️
👉Chuma majani 7 msharifu,. kila jani andika jina la unaemuhitaji X7, Yapake majani hayo mafuta ya msonoti, Chukua chumvi ya mawe punje tatu tatu na ufunge kwa kila jani

Washa moto wa kuni kisha choma jani moja moja huku unanuia kunrudisha mwenza wako.

: Kazi ya kumrudisha mwenza wako kwa njia hii unatakiwa uwe uchi wakati unaifanya, muda ni kuanzia saa 6 usiku hadi saa 10 alfajir.

: Ndani ya siku 3-5 atakua amerudi ikiwa yupo katibu au kukutafuta kwa nia ya kurudi ikiwa yuko mbali.

Kuangusha ndege ya kichawi✔️
👉Hii ni kwa wale wanaohitaji kuwaangusha wachawi wanaowanga nyakati za usiku. (Usijaribu hii k**a huna roho ngumu)


Majani ya msharifu, Mbegu za ulezi,Ufuta na tunguja


Changanya majani yote katika chungu na uzikaange hadi upate usila wake (Unga mweusi).

Funga katika kitambaa cheusi kisha fukia katikati ya uwanja wako kwa manuizi.

: Mchawi hatokaa afanikiwe kukatiza katika eneo hilo ni lazima ashuke.

Husaidia Kudhibiti Kisukari✔️
Majani ya msharifu husaidia kupunguza na kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu. Hutumika kwa kuchemsha majani machache kwenye maji na kunywa chai yake kwa kiasi kinachofaa.

Huimarisha Kinga ya Mwili✔️
Msharifu una virutubisho na antioxidants zinazosaidia mwili kujilinda dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara na maambukizi.

Hutibu Vidonda na Majeraha✔️
Majani yake yakisagwa hutoa maji yenye uwezo wa kusimamisha damu na kuharakisha kupona kwa vidonda na michubuko.

Hupunguza Maumivu ya Tumbo na Vidonda vya Tumbo✔️
Hutuliza asidi tumboni, kusaidia mmeng’enyo wa chakula na kupunguza maumivu ya tumbo.

Husaidia Matatizo ya Kupumua✔️
Msharifu hutumika kwa kikohozi, pumu na matatizo ya kifua kwa kusaidia kufungua njia za hewa na kupunguza mak**asi.

Hupunguza Maumivu ya Miguu Kuwaka Moto na Viungo✔️
Majani yake yakichanganywa na mafuta ya asili husaidia kutuliza mishipa ya fahamu na kuboresha mzunguko wa damu.

Husaidia Afya ya Figo na Njia ya Mkojo✔️
Msharifu husaidia kusafisha mwili na kuimarisha utoaji wa sumu kupitia mkojo.

Hupunguza Uvimbe na Maambukizi✔️
Una uwezo wa kupambana na bakteria na uvimbe mwilini kutokana na viambata vyake vya asili.

Husaidia Afya ya Ngozi
Hutibu vipele, majipu, chunusi na matatizo mengine ya ngozi kwa matumizi ya nje.

✔️Husaidia Kupambana na Saratani
Antioxidants zilizomo kwenye msharifu husaidia mwili kupambana na seli hatarishi zinazopelekea saratani.

Msharifu ni jani la thamani kubwa katika tiba za asili. Kutunza mmea huu nyumbani ni hatua muhimu ya kujijengea kinga ya afya kwa njia ya asili. Hata hivyo, matumizi yazingatie kiasi na busara, hasa kwa wagonjwa wenye magonjwa sugu au wanaotumia dawa za hospitali.

Pia kwakuwa hapa tunasaidiana ili afya zetu ziwe nzuri na tuishi vizuri kwa pamoja, naomba utoe maoni au ushuhuda wako kuhusu mmea huu, tuambie uliutumiaje na unajua nini kuhusu mmea huu ili na wengine wajifunze.

Faida zingne tutaziongelea katika madarasa yajayo

Usisahau kufollow page yetu ya Tabibu Marimo Herb's
0684 765 575
ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

 🙏: IJUMAA USIKU LEO...Usipuuze zoezi hili ni mbinu kubwa mno ya mafanikio yako Asilia hii sio ndagu za majimi..Chukua n...
22/05/2026

🙏: IJUMAA USIKU LEO...

Usipuuze zoezi hili ni mbinu kubwa mno ya mafanikio yako Asilia hii sio ndagu za majimi..

Chukua ndoo yenye maji toka nayo njee. Kaa chini ukitandaza miguu kuelekea mashariki..! weka katika ya miguu yako kwa mikono yako miwili iweke karibu na kinywa chako na useme.. Ukiwa unadondoshea chumvi ya mawe na karafuu.. Kidogo kwenye ndoo maji huku unatia nia..

"Mikosi iliyo ndani yangu, Mabalaa yalifungwa kwangu yawe yameumbwa kwa ajiri yangu au hayakuumbwa kwa kusudio langu ila likawa katika mwili wangu kutokana na hila na Fitina za wengine juu yangu nakusudia kulitoa na kuachana na nguvu hasi"

mwaga maji kidogo chini arafu jimwagie maji yote mwilini..

K**a uchawi mabalaa yatoke na kuondoka k**a yanavyoondoka maji haya na kujitwaarisha.

Ulimwengu utakubadilishia rangi mbaya ya maisha yako na itakuangazia rangi nzuri ya mfano wako utafanikiwa kila hitaji lako..

Ukishamaliza kujimwagia rejea ndani. Weka maji yako tena katika kikombe weka karafuu na punje 2 za chumvi ya mawe na kaa la moto ishike k**a ulivyoishika ile ya mwanzo na useme

"Ambalo limeumbwa ili linitumikie mimi na likawa si sehemu ya maisha yangu mimi nalirejesha kwangu k**a nnavyokunywa maji haya ndivyo nnavyopokea kile ninachostahili kile nilichoumbiwa ili kufanikisha mission yangu iliyonileta apa Ukinywa"

Kunywa maji hayo huku umeshikilia kikombe kwa mikono miwili maliza maji yote kisha kalale utakachoota ni uhalisia wa kile ulichofanya Usipuuze.

Follow Tabibu Marimo Herb's Call :0758673897
MARIMO HERB'S OFFICIAL

SIRI KUBWA JANI LA MPATAKUVAUsisahau folliw page yangu Tabibu Marimo Herb's  kwa kuona bidhaa zetu follow chap! chap!Mpa...
22/05/2026

SIRI KUBWA JANI LA MPATAKUVA
Usisahau folliw page yangu Tabibu Marimo Herb's kwa kuona bidhaa zetu follow chap! chap!

Mpatakuva ni mmea unaolea bahati kubwa ni muhimu katika jamii za kiafrika lakini pia usilolijua ni kwamba zao muhimu katika sehemu ya Tiba Asili inayoweza kuondoa changamoto zinazokukabili na kukusumbua kwa mda mrefu.
Leo nitawapa baadhi ya faida za majani ya mpatakuva katika tiba mbadala

✔️Kuondoa Mihuli na Alama za kichawi mwili na mikosi
Wachawi huwa hubadilisha maiti iliyo uliwa kichawi na kuweka mgomba watu wakazike ndio Opoo la kuondoa mhuli wa kichawi, Chukua jani lake nawe ufute alama na mihuli yake, uponde upate ubichi wake uwe unatumia katika kuoga kwa kuchanganya na chumvi ya mawe na majivu.

Au chemsha majani ya mpatakuva jipanguse arafu nenda kazike hayo majani.wachawi utaona kiini macho kwenye rada zao.

👉Kuondoa mijusi ndani
Tumia majani ya mpatakuva kuweka ndani kwako na ikikauka weka mengine mabichi. Mijusi itaondoka ndani kwako..

👉Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Tumia majani ya mpatakuva mabichi kuchemsha kuoga uwe unaogea kila siku

👉Kung'arisha ngozi
kuchua majani ya mpatakuva yaponde ponde na ufanyie scrub usoni kwa nusu saa kisha jisafishe kwa maji safi. Fanya kila siku kwa sku 5 mpaka 7 chukua yale machanga laini.

👉Kinga dhidi ya uchawi
Unapotembea katika mazingira yenye uchawi jitahidi uwe umeshika kipande cha jani la mpatakuva wachawi hawatokusogelea watakuona kiini macho.Harufu yake inafukuza wachawi...

Pia kipande cha jani la mpata kuva na mzizi wa ndulele na majani ya mbaazi vikiwekwa kwa pamoja ni kinga katika eneo ulilopo.

👉Kubatilisha uchawi mwilini
Tumia majani ya mpatakuva kwa kuyaponda upate yale malaini na majani ya mbaazi yaponde pia weka chumvi ya mawe
Tumia kwa kuogea kutwa mara 2

Au kaa katika kizingiti cha mlango kwa kuangalia njee na umiminiwe maji hayo kupitia katika mchi yaan anaekumwagia anakuwekea mchi kichwani na anamwaga maji hayo juu ya mchi yatiririke kupitia katika mchi hadi kichwani na kusambaa mwilini mwako huku akinena maneno ya kukufungua

👉Ukiota unalishwa vitu
Asubuhi kabla ya kula chochote tafuta majani ya mpatakuva moja na majani ya msoniti tafuna kipande maji maji yake umeze. Utaua uchawi uliolishwa uliopo tumboni


Majani ya mpatakuva yanaweza kuwa dawa kuu ukichanganya na nyungu ya kivumbasi, mtulala, mbaazi, karafuu maiti, mvunje, mint majani, mpera na chumvi mawe .

WASILIANA TUPIGIE +255758 973 897
WHATSAPP 0684 765 575
ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

 : SIRI KUBWA NI MAAJABU JANI LA KISAMVU SIO MBOGA TU.Katika Asili Kila kinachokuzunguka kinaweza kua na faida kwako kut...
22/05/2026

: SIRI KUBWA NI MAAJABU JANI LA KISAMVU SIO MBOGA TU.
Katika Asili Kila kinachokuzunguka kinaweza kua na faida kwako kutegemea na jinsi unavyokipokea na kukitumia kitu hicho..💥 Uleta mvuto, kuona wachawi nk

Naamini mti wa muogo wengi tunafahamu majani yake tunatumia k**a mboga na muogo wengine wanatumia kuchemsha na kukaanga ili kujipatia chakula/ kiwe kisamvu cha mpira au kisamvu cha muogo vyote tiba

👉Maelekezo
√Kumfungua mke au mumeo
Chukua kipande mti wa muhugo/kisamvu kifunge chini ya chaga kiambatanishe na mbao chaga kwa kunuia akichepuka k**a mume hasimaami k**a mke hawala wake hawezi simamisha💥💥💥

√ ukichukua majani ya kisamvu ukaponda ponda kikirainika chuja upate maji yake ukanywa usaidia sana wale wasio ziona siku zao {hedhi) kwa mda mrefu basi iyo usaidia sana

√ maji ya kisamvu na mfunguo ukipaka usoni basi wachawi unawaona live k**a wamekuja kwako isifanye ivyo k**a una kinga ya mwili

√ Na ukaponda ponda majani ya kisamvu na majani mgomba mpaka yalainike ukapakaa maji yake mwili mzima basi wachawi watokuona kabisa

√ Miti wa muogo ukauvunja kwa mkono wa kushoto ukashika kipande kidogo mkono wa kushoto basi utokutana na vitisho vya wabaya njiani hii kwa wale wanaozulula usiku itakusaidia au kuendesha magari makubwa.

√ Ukachukua majani ya kisamvu ukaponda ponda kwenye kinu ukimaliza chuja upate Maji yake ujazo wa k**a Lita moja kisha weka chumvi mawe ukayaifadhi ndani sehemu nzuri siku tatu ya NNE ukayatumia kwenye maji ya kuongea ukaweka kiasi ukaenda kuoga tumia ndani ya siku tatu basi utaleta mvuto wa ajabu utapendwa na kila lika

Faida zingne tutaziongelea katika madarasa yajayo

Usisahau kufollow page yetu ya Tabibu Marimo Herb's
0684 765 575
ASILI NI Mtabibu Asilia Tz

Address

Lugoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabibu Marimo Herb's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share