Afya Ya Mwanamke

Afya Ya Mwanamke Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Ya Mwanamke, Makulu.

Kwa wakazi wadodoma na nje ya dodoma handbag nzuri k**a hizi unazipata kwa bei poa ya sh 40000. ukihitaji tupigie simu 0...
13/05/2019

Kwa wakazi wadodoma na nje ya dodoma handbag nzuri k**a hizi unazipata kwa bei poa ya sh 40000. ukihitaji tupigie simu 0652986927 @ Makulu, Dodoma, Tanzania

Kichuna wangu unapendwa na mimi❤💕😍 jpili tukasali wapi 😂😂😂😂
07/05/2019

Kichuna wangu unapendwa na mimi❤💕😍 jpili tukasali wapi 😂😂😂😂

My god protect you son😍😘❤💕
05/05/2019

My god protect you son😍😘❤💕

03/05/2019

L.O.V.E 😍😘

03/05/2019
Happy new age kaka ake na mimi mtu swafi mwenye roho swafi mungu akupe hitaji la moyo wako zaidi akupe umri mrefu ili ki...
03/05/2019

Happy new age kaka ake na mimi mtu swafi mwenye roho swafi mungu akupe hitaji la moyo wako zaidi akupe umri mrefu ili kina sisi tuzidi kufurahia uwepo wako happy reborn date🎂🍼💕💕

My god my redeemer i will worship you forever 😇😇
02/05/2019

My god my redeemer i will worship you forever 😇😇

*U.T.I UGONJWA HABARI UNAOWEZA KUSABABISHA KUKOSA UZAZI AU KUWA MTU MWENYE HUZUNI MAISHA YOTE**_DALILI ZA UTI  SUGU & FU...
09/08/2018

*U.T.I UGONJWA HABARI UNAOWEZA KUSABABISHA KUKOSA UZAZI AU KUWA MTU MWENYE HUZUNI MAISHA YOTE*

*_DALILI ZA UTI SUGU & FUNGUS_:-*
🎈Kukojoa Mara kwa Mara na kupata maumivu makali wakati wa kukojoa
🎈Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mirija ya mkojo
🎈Maumivu ya misuli na tumbo 🎈Mkojo kuwa na harufu mbaya na unabadilika rangi
🎈Kwa mtu ambaye ameathirika kwenye figo anaweza kuwa na maumivu ya mgongo, mbavu, kupata kichefuchefu na kutapika
🎈Kushikwa na hamu ya kukojoa lakini mkojo hutoka kidogo kidogo huku maumivu makali unayapata kwenye kibofu na njia ya mkojo!

Kwa yeyote mwenye *DALILI* hizi hakikisha unapata kinga/tiba haraka kwa kutumia bidhaa zetu za FOREVER kwan zimewasaidia wengi na sasa wanafurahia maisha vyema.

BIDHAA hizo ni;-
1. Aloevera gel Juice
2. Aloevera gelly (tube)
3. Garlic Thyme
4. Women Vitolize

Ni virutubiaho lishe na siyo kemikali!! Zitakukinga na kukutibu mambo mengi k**a:-
✔UTI sugu .
✔Hutibu miwasho sehemu za siri
✔Huimalisha ulinzi dhidi ya Bacteria wabaya
✔Huzibua mirija ya uzazi iliyoziba ,
✔Huondoa harufu mbaya ukeni
✔Hutibu Fangasi ukeni na vipele sehemu za siri
✔Hurekebisha mzunguko wa hedhi ✔Huondoa maumivu makali wakati wa Hedhi
✔Huondoa tatizo la kutokwa na uchafu unatoa harufu mbaya na kufanya kuwa mkavu na safi ukeni!
✔Ni rahisi kutumia hata kwa matumizi tu ya kujisafisha sehemu za siri!!

MUHIMU:- Kwa wanawake Epuka kuvaa ngua zinazobana kwa muda mrefu, kuvaa nguo za ndani kwa muda mrefu! Kutokunywa maji ya kutosha ! Pia epuka mazingira ya vyoo vya jumuiya ili kujikinga na kuzingatia usafi binafsi.

Utaratibu wa kupata bidhaa hizo tupigie/tuma text whatsup kwa no zifuatazo:
0652986927
0742497993

*Kwa waliopo nje ya Dodoma na Dsm tutakupatia ushauri na kukutumia kwa Bus* KARIBU SANA

*SHARE KWA UWAPENDAO*

*Vital 5 pack* ina bidhaa tano ndani  yake navyo ni;*1.GEL/FREEDOM :*Inasambaza virutubisho ambavyo  mwili unahitaji.Hus...
09/08/2018

*Vital 5 pack* ina bidhaa tano ndani yake navyo ni;
*1.GEL/FREEDOM :*
Inasambaza virutubisho ambavyo mwili unahitaji.Husaidia ngozi kung’aa.Husaidia tatizo la choo.Huondoa uvimbe wowote ndani ya mwili. *2.PROBIOTIC:*
Huzuia tumbo kunguruma. Pia Husaidia kuondoa tatizo la UTI. Inazuia uvimbe wa cancer.

3. *ARGI plus L ARGININE:*
- Husaidia kwenye hormonal imbalance.Inakupa nguvu ya kutosha.
- Husaidia insulin kuwa sawa.
- Hupunguza kasi ya kuzeeka.
- Ni chakula ya moyo.
- Husaidia kwenye tatizo la uzazi na kujenga misuli.

4. *DAILY:*
Ni mchanganyiko wa mbogamboga na matunda.
- Husaidia kutupatia mbogamboga na vyakula tunavyokosa kila siku.
- Husaidia kwenye tatizo ya macho,ngozi. *5.OMEGA 3&9:*
- Inabalance presha.
- Husaidia macho,ngozi na ubongo.
- Husaidia matatizo ya viungo.
- Pia husaidia matatizo ya nguvu ya kiume. *VITAL 5 PACK* program zimemwekwa kwenye mfumo wa unga,kinywaji na vidonge na hutumika k**a lishe.Hizi bidhaa zinafanya kazi na kuondoa tatizo la sumu mwilini na kuongeza virutubisho na vitamins ili kurecover sumu zilizotolewa mwilini.

NB:Hizi sio dawa bali ni virutubisho asilia. *Unaweza kuzipata zote Kwa Pack au mojamoja*

Wasiliaana *0652986927
+255742497993

ladies are we together    if you dont know how to build your own empire ask me and i will show you the way
25/07/2018

ladies are we together



if you dont know how to build your own empire ask me and i will show you the way

OKOA MOYO(SAVE THE HEART)Uchunguzi uliofanywa unaonyesha wajapani hawaugui magonjwa ya KANSA, KISUKARI na MAGONJWA YA MO...
16/07/2018

OKOA MOYO(SAVE THE HEART)

Uchunguzi uliofanywa unaonyesha wajapani hawaugui magonjwa ya KANSA, KISUKARI na MAGONJWA YA MOYO, ikaonekana kwamba wajapani wanatumia saana vyakula vya baharini ukilinganisha na watu wa magharibi wanaotumia mafuta ya wanyama.

Leo tunakutuletea bidhaa bora ambayo imeandaliwa kwa matumizi ya watu wa rika zote, watoto - wazee.

Bidhaa imetokana na mafuta ya samaki aina ya Salmon anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega 3 na mafuta ya mizaituni inayotoa omega 9. Kila kidonge kimoja kina vijiko 30 vya mafuta ya samaki.

FAIDA YA KUTUMIA BIDHAA HII
- Husaidia kuondoa cholestol (Mafuta mabaya yanaganda mwili) hivyo huzibua vimirija vidogo kabisa (blood capillaries) na kufanya damu (oxygenated blood) kutembea vizuri mwilini.

- Hupunguza hatari ya kupata MAGONJWA YA MOYO.

- Husaidia kwa wenye matatizo ya STROKE (KUPOOZA).

- Husaidia sana wenye matatizo ya PRESSURE (PRESHA YA KUPANDA NA KUSHUKA).

-Husaidia watu wenye matatizo ya sukari

- Husaidia ukuaji wa ubungo pamoja na mfumo wa fahamu hasa kwa watoto wadogo

- Huongeza kumbukumbu hasa kwa watoto walioko shuleni hivyo kupunguza gharama za tuition.

- Husaidia kwa wenye tatizo la hormone imbalance.

- Huzuia Arthritis. (Matatizo ya joints)

- Huimarisha kinga ya mwili.

- Huzuia kukua kwa vimbe ndani na nje ya mwili.

- Husaidia kupambana na KANSA YA MATITI.

- Kinga dhidi ya prostate cancer (tezi dume).

- Huondoa tatizo la misuri kukosa nguvu.

- Husaidia macho kuumbika vizuri.

- Huondoa tatizo la kutekenyeka kwa viganja vya miguu.

- Husaidia mama mjamzito kujifungua mtoto mwenye afya nzuri.

Kopo moja la lina vidonge 120 ndani ambavyo vinatumika kwa mwezi mzima.

Kinga ni bora kuliko tiba.
Jinsi ya kupata bidhaa hii comment namba nasi tutakupigia au

Wasiliana wasi kwa namba

texts/calls:0652986927

Watsapp:0652986927

Kwa Dododma,Tanga na Dar es salaam tutakuletea mpaka ulipo...
mikoani tunatuma pia

09/07/2018

UFAHAMU JUU YA FIBROIDS ( UVIMBE KATIKA KIZAZI)
Habari, Je unafahamu nini??, soma Elimu hii itakusaidia na itawasaidia wanaokuzungula

FIBROIDS NI NINI??
~Ni Aina ya vivimbe vinavyoota kwenye misuli Laini ya mfuko wa uzazi
~tatizo hili huwakumba wanawake wengi ambapo huwapata kwa 5% wanawake wenye umri wa miaka 20_30 na 20% kwa wanawake wenye umri wa miaka 30_40 na zaidi ya 40% ni kwa wale wenye umri zaidi ya 40 hivyo kwa ujumla tatizo la fibroids huwapata wanawake wengi hasa katika umri wa kuzaa (reproductive age) hii inamaana kuwa kadri umri unavyokuwa mkubwa mwanamke ana nafasi kubwa ya kupata uvimbe.
~tafiti zinaonyesha kuwa tatizo hili huwapata zaidi wanawake wa kiafrika kuliko wazungu pia huwapata zaidi wanawake ambao hawajazaa kabisa au wale ambao wamekaa Muda mrefu Bila kuzaa, pia wanawake wanene, na wale waliopata hedhi mapema wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu

AINA KUU ZA FIBROIDS
~(1)SUBMUSOCAL FIBROIDS ~hii hutokea ndani ya kizazi
~(2)INTRAMURAL FIBROIDS ~hii hutokea ndani ya nyama ya kizazi
~(3)SUBSEROL FIBROIDS ~hii hutokea nnje kwenye ukuta wa kizazi
~uvimbe huwa na ukubwa tofauti kwani huanza mdogo na baadae kuwa mkubwa sana na hata wakati mwingine mwanamke huweza kuonekana mjamzito, kwani uvimbe huu huweza kuwa mmoja mkubwa na wakati mwingine huwa zaidi ya mmoja na kutanda katika mfuko wa kizazi
~watu wengi wamekuwa wakihisi fibroids kitu ambacho sio kweli kwasababu fibroids sio kansa Bali ni uvimbe wa kawaida ambao hukua kwa kutegemea kichocheo au hormone ya OESTROGEN na ndio maana wakati wa kupata tatizo hili huwa ni kipindi cha kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi

CHANZO CHA TATIZO
~Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi ila Kuna sababu ambazo huweza kusababisha mwanamke kupata fibroids, sababu ambayo ni common kusababisha tatizo hili ni WINGI WA HOMONI YA OESTROGEN ambayo ipo katika mwili wa mwanamke na ndiyo hufanya Kazi ya kusababisha mwanamke kupata hedhi pia mara nyingi uvimbe huu hukua mkubwa sana kipindi cha UJAUZITO kwasababu vichocheo vya OESTROGEN huongezeka na kuwa vingi ili kulinda makuzi ya mtoto pia ni mara chache watu walio kikomo cha hedhi kupata fibroids na wakipata Kuna hatari ya kuwa kansa
DALILI ZA FIBROIDS
~dalili za uvimbe katika kizazi cha mwanamke hushindwa kuonekana iwapo uvimbe ni mdogo na pia dalili hutegemea sehemu ilipo kwenye mfuko wa kizazi pia na ukubwa wake, pamoja na hayo dalili zake mara nyingi ni zifuatazo ÷
👉KUTOKWA NA DAMU YENYE MABONGE MABONGE KWA MUDA MREFU
👉KUTOKWA DAMU KATIKATI YA MWEZI NA HEDHI KUTOKUWA NA MPANGILIO
👉KUPATA MAUMIVU YA KIUNO HASA WAKATI WA HEDHI
👉KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA
👉KUPATA MAUMIVU MAKALI YA MGONGO
👉KUKOJOA MARA KWA MARA
👉MIMBA KUHARIBIKA MARA KWA MARA
👉KUPUNGUKIWA NA DAMU MARA NYINGI
👉MIGUU KUVIMBA
👉MKOJO KUBAKI KWENYE KIBOFU
👉HAJA KUBWA KUWA NGUMU
👉UGUMBA

MATIBABU & VIPIMO
~matibabu ya fibroids hufanyika kwa daktari kumkagua mgonjwa kwa kutumia mikono miwili au kupima (Bimanual examination) pia anaweza kutumia kipimo cha ULTRA SOUND ya nyonga kwani ni rahis kugundua uvimbe au kipimo cha MRI,
~matibabu huweza kulenga ya kutibu dalili au kupunguza uvimbe na pia iwapo mwanamke ana tatizo hili na hamna dalili zozote basi anaweza kufuatilia tu uvimbe Bila kutumia dawa kwasababu mwanamke anapofikia menopause (kukoma hedhi) tatizo hili hutokewa
~wanawake wengi wana fibroids ndogo ndogo ambazo hazina dalili hivyo hushindwa kutambua mpaka pale wanapobeba ujauzito au kupima ndio hugundulika
~NJIA ZA KUTIBU UVIMBE MKUBWA
~(1)DAWA
~hapa mgonjwa hupewa matibabu ya dawa ambazo hurekebisha kiwango cha homoni ya OESTROGEN mfano wa dawa hizo ni DANAZOL,na Aina ya pili ni vidonge vya kutuliza maumivu ya fibroids
~(2)UPASUAJI
Upasuaji hufanyika kwa kutegemea na ukubwa wa uvimbe na wingi wa fibroids ambapo upasuaj huo ni wa Aina mbili
(A) MYCOMECTOMY ~hii ni njia ya Upasuaji hutumika kwa mgonjwa mwenye uvimbe mmoja mkubwa ulio katika sehem nzuri na Upasuaji huu ni kutoa uvimbe tu na kuacha kizazi hata hvyo Upasuaji wa njia hii uvimbe una nafasi kubwa ya kurudi
(B) TOTAL ABDOMINAL HYSTERECTOMY ~hii ni njia ya Upasuaji ambapo kizazi hutolewa na hufanyika ikiwa kizazi kina uvimbe mmoja mkubwa sana au vivimbe vikiwa vingi vingi

MADHARA MAKUBWA YA FIBROIDS
~Husababisha mimba kutoka mara kwa mara na hatimaye mtu kuwa mgumba, pia huweza kusababisha saratani ya shingo ya kizazi
NOTED :ndugu rafiki hakikisha unaenda kupima Afya yako kila mwezi ili kujua maendeleo ya Afya yako kwani wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili la fibroid.
KWA TATIZO LA FIBROID wasiliana nasi kwa namba zifuatazo;
WhatsApp, +255652986927
Call/ Text +255687131273
PLZ USISAHAU KUSHARE, KUKOMENTI, KULIKE NA WATAG RAFIKI ZAKO

Address

Makulu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Mwanamke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram