Nkasafari Shio

Nkasafari Shio Spiritual Education and African Enlightenment

09/01/2026
08/01/2026
07/01/2026
05/01/2026

☀️ Mlango Wa 8 Wizara Ya Vizazi Na Vifo

05/01/2026
☀️God's Vessel☀️   Kitabu Cha Codes:    ☀️"Nae Elisha Akapaa  Mawinguni Kwa Upepo Wa Kisukisuli (yaani  )  Kwa Kigari ch...
05/01/2026

☀️God's Vessel☀️

Kitabu Cha Codes:

☀️"Nae Elisha Akapaa Mawinguni Kwa Upepo Wa Kisukisuli (yaani ) Kwa Kigari cha
Pigia mstari Maneno hayo hapo Juu👆

☀️Upepo Ni Network 🛜 Au Mungu Wa Mawasiliano Ambapo ni Nyota ya
Ktk Kitabu Cha ni Malaika Gabriel alimpasha Habari Maria kwamba Atapata Mimba.
☀️ Kigari Cha Dhahabu Ni
Kwamba Unapopata Maono Maarifa Ktk Roho Kwa 🥅 Network, Malaika Mpasha Habari Mercury Kutoka Kwa Mungu baada ya Kuvaa Dhahabu au madini Yoyote. Yanayohusiana na Nyota Yako basi Utapaa Mawinguni Yaani Kwenda Kwenye Ya Juu Kuwasiliana na Mungu wako.
☀️ Kwamba Unapata Access ya Kupata Taarifa na Kujawa na Maarifa/Maono au Tafsiri Ya Ndoto zako. Ndio maana Wakuu wenu Wanawapa Unabii Kwasbb wamevaa Madini ambapo. I Kibebeo Cha Nguvu Kuu Tukufu Takatifu, Kigari Cha Dhahabu.

☀️Jifunze Kufungua Codes ewe Mtumwa mwaminifu. Tumekalia madini Kisha unayaogooa eti Yana Majini, umedanganywa na Wajanja.

☀️Kwa Kifupi Kabisa, Madini ni kifaa Cha Kubeba Nguvu Kuu Tukufu Takatifu
☀️ Wakoloni na Mawakala wao Waliwadanganya Waafrika Kwamba Madini Yana Majini... Je mbona wao Wanavaa? Kwann WANAUA Waafrika kwasbb ya Kuiba Madini? Kwanini Yanaitwa Km yamebeba Majini na mashetwani?
☀️Kitabu chako Cha Codes Chiiite Kinaongekea Sifa za Madini!😜

☀️Darasa la Bure Linaendelea Ili Kukutoa Ktk Utumwa Wa Fikra


Nahitimisja Kwa Kusema, Madini Ni Kigari Cha MUNGU. Kifaa Cha Kubeba Nguvu Kuu Tukufu Takatifu


Ultimate shopping website for jewelry and flowers for all astrology enthusiasts in Tanzania.

10/12/2025
09/12/2025
09/12/2025

Address

Mapinga
61323

Telephone

+255737907790

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nkasafari Shio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Nkasafari Shio:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram