Msalilwa Afya care

  • Home
  • Msalilwa Afya care

Msalilwa Afya care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msalilwa Afya care, Medical and health, MASASI TOWN COUNCIL (MTC), .

Karibu kwenye jukwaa letu, tunasaidia watu kutatua changamoto zao za kiafya kama vile uzazi,,vidonda vya tumbo,,mfumo wa mifupa,,kinga za mwili,,magonjwa ya ngozi n.k

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU?? 👇👇Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuata...
06/12/2022

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU?? 👇👇
Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi? Nina fomula Maalum kwa ajili yako ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu na kuzuia tatizo lisijitokeze baadae

Wasiliana Kwa 0769940419 whatsap&calls&sms

Yeyote mwenye shida ya uzazi hormones hazijakaa sawa anasumbuliwa na fangasi sugu,,u.t.i,,p.i.d,,miwasho ukeni,, uchafu ...
19/11/2022

Yeyote mwenye shida ya uzazi hormones hazijakaa sawa anasumbuliwa na fangasi sugu,,u.t.i,,p.i.d,,miwasho ukeni,, uchafu ukeni n.k Njoo usaidiwe kutatua changamoto yako!

Address

MASASI TOWN COUNCIL (MTC)

MIGONGO

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msalilwa Afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Msalilwa Afya care:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram