AFYA BORA

AFYA BORA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA BORA, Medical and health, Kijichi neiluka, Mbagala.

11/06/2025

Acid reflux ni tatzo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (Gastrointestinal system) na kuathiri mifumo mingine ya mwili.

Mifumo ya mwili inayoathiriwa na acid ni k**a ifuatavyo :⤵️⤵️

1. Mfumo wa fahamu (Central nervous system)
2. Mfumo wa moyo (Cardiovascular system)
3. Mfumo wa upumuaji (Respiratory system)
4. Mfumo wa mifupa na misuli (Musculoskeletal system)
5. Mfumo wa pua,koo na masikio (ENT)

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA FAHAMU UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Kusahau mara kwa mara
2. Macho kupunguza uwezo wa kuona
3. Kupata ganzi kwenye vidole vya mikono na miguu
4. Kuhisi kuchanganyikiwa (CONFUSION)
5. Mwili kuchoma choma
6. Kuwa na wasiwasi na khofu bila sababu za msingi

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MOYO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kupaparika (Heart palpitations)
2. Presha kupanda (temporary hypertension)
3. Kupata Kizunguzungu
4. Maumivu ya kifua
5. Kupata ganzi mkono wa kushoto
6. Kuhisi Mapigo ya moyo yapo chini sana

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA UPUMUAJI UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Kupumua kwa shida
2. Mafua ya mara kwa mara
3. Kupata kwikwi za mara kwa mara
4. Mafua yasiyoisha
5. Kikohozi kisichoisha
6. Maumivu makali ya kifua

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MISULI NA MIFUPA UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Maumivu makali ya mgongo
2. Maumivu ya viungo
3. Kuchoka mara kwa mara
4. Sehemu za mwili kuchezacheza k**a vile chini ya macho nk

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA PUA,MASIKIO NA KOO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Maumivu makali ya koo
2. Kuhisi kitu kimekwama kooni
3. Kupata Tonsillitis (mafidofido)mara kwa mara
4. Kupata ugumu wa kumeza chakula
5. Kuhisi masikio mazito
6. Masikio kupiga kelele
7. Mafua yasiyoisha
8. Nk

KWANINI UNAPOKUJA KABEYA HERBAL PRODUCTS NI RAHISI KUGUNDUA KWAMBA UNA ACID REFLUX ?

Unapokuja Kabeya Herbal products ni rahisi sisi kugundua kuwa una Acid reflux kwasababu tunaangalia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula pamoja na mifumo yake yote ambayo huweza kuathiriwa na ACID REFLUX.

ACID REFLUX inapokuathiri mifumo hyo mingine ndio hapo mgonjwa hupata dalili zaidi ya 30 kuhusu Acid reflux ambapo dalili zingine ni zile zinazotokana na Kuathirika kwa mifumo mingine ya mwili k**a ambavyo tumeelezea

SULUHISHO LA ACID REFLUX

Acid reflux hupona kabisa kwa kufuata maelekezo sahihi ambayo KABEYA HERBAL PRODUCTS tumeyafanyia tafiti na kuyaelekeza kwa wagonjwa wetu lakin pia utumiaji wa dawa kwa maelekezo sahihi.

Uzinduzi makala hii imeandikwa kutoka kabeya herbal products.

0712771145 au 0713372150

11/06/2025

MAGONJWA YA MOYO, CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO.

MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUTANUKA KWA MOYO.

Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla(Structural and vessels disease).

Kukitokea shida yeyote katika moja ya vitu hivyo, mtu huanza kuhisi dalili mbaya kwenye mwili wake na atakapopima hubainika na tatizo la moyo.

Magonjwa ya moyo ni mengi sana ila naomba tuzungumzie machache ambayo naweza kukusaidia.

1.Kupanda kwa shinikizo la juu la damu(high blood pressure)

2.Moyo kutanuka(cardiomegaly)

3.Ugonjwa wa misuli ya moyo(cardiomyopathy).

4.Ugonjwa wa mishipa ipelekayo damu kwenye moyo (Coronary artery diseases)

5.Moyo kushindwa kufanya kazi yake (Heart failure).

6.Shambulio la moyo (Heart attack).

7.Kuvurugika kwa mfumo wa umeme na mapigo ya moyo mwilini.

Magonjwa ya moyo ni sababu kuu ya vifo vingi duniani kote, hii ni kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) huku sababu za magonjwa haya zikitajwa kuwa ni pamoja na;

📌Ulaji usiofaa, ulaji usiofata taratibu za kitabibu ikiwa ni pamoja na kula chakula kingi baada ya saa kumi na moja jioni au kula chakula kingi katika mlo mmoja kuliko kiwango kinachohitajika kwa siku (RDA).

📌 Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi, ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi au chumvi nyingi katika mlo wako.

📌Kutokula mboga mboga za majani pamoja na matunda ambapo kitaalamu inashauriwa nusu ya kila mlo wako iwe mboga mboga za majani pamoja na matunda.

Kuepuka utaratibu huo ndio miongoni mwa sababu za kuibuka unene, kitambi, uzito mkubwa, bawasiri, kukosa choo, kisukari, presha ya kupanda na kushuka pamoja na magonjwa ya moyo.

Magonjwa hayo yanapoibuka, kila mgonjwa hujaribu kutumia njia awezayo ili kurejesha afya yake au ya ndugu yake.Yote yanasaidika, kikubwa kupata njia sahihi ya kukabiliana na magonjwa hayo.

Wagonjwa wa moyo hujaribu kufanya jitihada mbalimbali ili kuufanya moyo wake uweze kufanya kazi ila mara zote ukweli ni kuwa magonjwa hayo huendelea kuwatesa na kuwaua wengi wao kila mwaka.

Pamoja na kuwa wagonjwa wa moyo hutumia dawa k**a Dilamend 6.25mg, Ascard tablets-75 MG, Atorvastatin tablets, Vacodil, Safetelmi na nyinginezo ambapo kwa ujumla zinatibu condition/dalili za moyo na kupunguza athari kwenye moyo, huku tatizo likiendelea kuwepo na mgonjwa atatakiwa kuendelea kutumia dawa ili kufanya moyo wake uendelee kufanya kazi kitu ambacho huongeza severity ya ugonjwa na huweza kusababisha hatari kubwa sana huko mbeleni na hii ni kwa mujibu wa Dr.Dr.Batmanghelidj.

Mbali na hayo mtaalamu huyo alibainisha kuwa, licha ya kuonekana zikitumiwa kwenye matatizo tajwa hapo juu, huweza pia kusababisha moja ya madhara yafuatayo (side effects) ⤵️;
➡️ Kuziba kwa ateri za moyo(Coronary artery) na ateri ziendazo kwenye ubongo(Corotid artery).

➡️ Shambulio la moyo (heart attack).

➡️ Mishtuko midogo midogo au mikubwa inayopelekea kuzimia.

➡️ Ugonjwa wa kibofu cha mkojo.

➡️ Kiharusi.

➡️ Kupungua kwa nguvu za kiume kwa upande wa wanaume.

➡️ Kuharibiwa kwa ubongo na matatizo ya akili k**a vile kupoteza kumbukumbu
(Alzheimer).

Kwa upande wa tiba mbadala, Iko mimea-tiba yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu na kumaliza tatizo la moyo kabisa na kurejesha afya yako au mgonjwa wako.Mimea hii huweza kumaliza tatizo na kukuacha ukiwa mwenye afya (Cure and Rehabilitation).

Dawa hii, Black powerful powder ni dawa yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu hali zote zinazopelekea moyo kutanuka (CARDIOMEGALY) ikiwa ni pamoja na⤵️;

➡️ Kuziba kwa vishipa vya damu mwilini kutokana na uwingi wa mafuta (Coronary artery disease) ambao hupelekea shambulio la moyo (Heart attack).

➡️ Ugonjwa wa misuli ya moyo(Cardiomyopathy) hasaa zaidi Hypetrophic cardiomyopathy na Dilated cardiomyopathy.

➡️ Ujaaji wa maji kwenye moyo (Pericardial effusion).

➡️ Ongezeko la presha mwilini(Hypertension).

➡️ Kuvurugika kwa mpangilio wa mapigo ya moyo mwilini(Arrhythmia), mapigo ya moyo kuwa chini sana(Bradycardia) au juu sana(Tachycardia).

➡️ Kuvurugika kwa mfumo wa umeme mwilini.

➡️ Mapigo ya moyo kupiga kwa kasi na bila mpangilio (Atrial fibrillation).

➡️ Moyo kushindwa kufanya kazi vizuri (heart failure ) or ejection fraction to be lower than 50 or greater than 75.

Magonjwa ya moyo duniani kote yanasababisha vifo takribani millioni 18 kwa mwaka, huku nchini kwetu matatizo haya yakiendelea kuwatesa watu kila kukicha.

Kwa upande wa nchi yetu Tanzania, taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete inapokea kadirio la wagonjwa 300-400 kwa siku na hii ni kwa mujibu wa ripoti za hivi karibuni kutoka taasisi hiyo.

Hii inaonyesha kiasi gani maradhi haya ni hatari sana na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa kukabiliana na magonjwa haya.

Dawa hii ya asili inayo uwezo wa ajabu kabisa kwa kutibu maradhi ya moyo kutanuka na hali tajwa hapo juu kwa ufanisi mkubwa sana na kwa muda mfupi (huchukua kadirio la siku 6 hadi 10).

Ni muda mchache sana kulinganisha na ukubwa wa maradhi ya moyo, ufanisi wake ni mkubwa mwilini na huweza kutoa matokeo ya haraka sana kuliko matarajio.It's best natural medicine ever.

Dawa hii(Black powerful powder) husaidia kuondoa kabisa dalili ziletwazo na magonjwa ya moyo ikiwa ni pamoja na;

▶️ Maumivu ya kifua mithili ya chembe ya moyo/chembe ya moyo.

▶️ Maumivu ya kifua kuzunguka hadi kwenye bega la kushoto.

▶️ Kuvimba kwa miguu na mikono.

▶️ Mapigo ya moyo kuwa ya chini sana au kasi sana.

▶️ Moyo kwenda mbio sana na kukosa pumzi hasaa zaidi unapotembea au kufanya shughuli zako ndogo ndogo/moyo kudunda k**a mtu apiga dogoro kwa chini hasaa wakati wa kulala.

▶️ Mwili kuishiwa nguvu.

▶️ Kupata kizunguzungu na kuzimia.

▶️ Kupata ganzi kwenye miguu na mikono.n.k

▶️Kutokwa na jasho jingi sana

Nikushauri tu ukiweza kunitembelea morogoro karibu tushauriane au ukipenda pia naweza kukutembelea na kumuona mgonjwa wako popote ulipo Tanzania.

Ukishindwa na hilo waweza kuagiziwa dawa, kwa pamoja tutashauriana kuhusu afya ya mgonjwa wako kupitia program yetu ya Cardiac Rehabilitation Services.

Ukiwa na moja ya maradhi hayo waweza wasiliana nami, naamini kwa pamoja tukishirikiana afya ya moyo itarejea kwa idhini ya muumba.

Kwa ushauri au msaada wa kimatibabu wasiliana nami kwa namba;

Sms/whatsaap/call: 0712771145
Kabeya bingwa

Napatikana Dar es salaam posta mpyaa.

The centre for Cure Coaching and Rehabilitation.

Sababu za moyo kutanuka, sababu za misuli ya moyo kutanuka, ugonjwa wa misuli ya moyo, presha, presha ya kupanda, presha ya kushuka/dalili za magonjwa ya moyo/dawa ya moyo/nini sababu za moyo kutanuka/chembe ya moyo/shambulio la moyo/moyo kushindwa kufanya kazi/heart failure/aina za magonjwa ya moyo, dalili za magonjwa ya moyo, tiba ya magonjwa ya moyo, chanzo cha magonjwa ya moyo, dawa ya moyo kuuma, dawa ya moyo ya asili, dawa ya mafuta kwenye moyo, dalili za moyo kufeli, dalili za shambulio la moyo, vyakula vya kutibu moyo.

TIBA NA VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME & UUME MDOGO & NGIRI FAHAMU KWANINI BAAD...
23/05/2025

TIBA NA VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME & UUME MDOGO & NGIRI
FAHAMU KWANINI BAADHI YA WANAUME WANAKUA NA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI (Kiba100)
PIA KWANINI WANAUME WENGI WANA UPUNGUFU AU UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA ZAKE KIASILI 100%
_______________________________________________________

+255712771145

CALL| TEXT| WHATSAPP
_________________________________________

WHATSAPP INBOX BOFYA⬇️

wa.me/255712771145
__________________________________________
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo
[1] Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
[2] Uume kusimama ukiwa legelege
[3] Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
[4] Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
[5] Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
[6] Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
[7] Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
[8] Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano k**a unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
[9] Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
[10] Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa
__________________________________________
NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO
___________________________________________
[1] Kupiga Punyeto kwa muda mrefu.
[2] Kuugua chango la uzazi.(NGIRI)
[3] Magonjwa ya utotoni
[4] Kutahiriwa vibaya
[5] kutoka kwa wazazi.
[6] unene na kitambi
[7] matatizo ya homoni;
[8] upasuaji wa tezi dume
[9] kuvuta sigara;
[10] Upungufu wa nguvu za kiume
[11] magonjwa mbali mbali sugu Eg KISUKARI
[12] Tatizo la saikolojia (picha la x)
___________________________________________
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA KWA WANAUME
___________________________________________
[1] Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
[2] Kupiga mingurumo tumboni.
[3] Kujaa gesi tumboni.
[4] Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
[5] Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
[6] Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
[7] Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
[8] Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
[9] Nuru ya macho hupotea taratibu.
[10] Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
[11] Kuvutwa makende au upande mmoja maumivu.
[12] Kupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
[13] Maumivu makali ya mgongo au kiuno
[14] Uume kusinyaa na kunywea k**a wa mtoto
_________________________________________
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI [HERNIA] SUGU [iliyo vimbaa]
_________________________________________
[1] kende(pumbu) moja au mbili kuvimba
[2] kuvimba Juu ya kinena kushoto au kulia
[3] kufanyiwa wa hernia
[4] Kufanyiwa UPASUAJI kisha ika rejea tena
[5] kende( pumbu) kupotea zote au moja
[6] Kende kujaa maji
[7] Kuvimba kwa kitovu au kende uvimbe wenye kujaa k**a nyama
[8] Kuwa na uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani
[9] Kuwa na uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu
[10] Maumivu/Kusikia kichefuchefu/
__________________________________________

Tiba ushauri na utafiti (dawa za asili)
__________________________________________
Tanzania Dar es salaam
__________________________________________
Dr kabeya
__________________________________________
+255712771145
__________________________________________
Call -- text&sms -- whatsap -- telegram -- imo
__________________________________________
Hassankabeya07@gmail.com
__________________________________________
Bonyeza hii linki itakuleta *INBOX* whatsap
moja kwa moja
__________________________________________
https://call.whatsapp.com/voice/mOiOozzux6BGd8NjR2CdLq
__________________________________________

ACID REFLUX ni tatzo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (Gastrointestinal system) na  kuathiri mifumo min...
19/05/2025

ACID REFLUX ni tatzo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (Gastrointestinal system) na kuathiri mifumo mingine ya mwili.

Mifumo ya mwili inayoathiriwa na acid ni k**a ifuatavyo :⤵️⤵️

1. Mfumo wa fahamu (Central nervous system)

2. Mfumo wa moyo (Cardiovascular system)

3. Mfumo wa upumuaji (Respiratory system)

4. Mfumo wa mifupa na misuli (Musculoskeletal system)

5. Mfumo wa pua,koo na masikio (ENT)

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA FAHAMU UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Kusahau mara kwa mara

2. Macho kupunguza uwezo wa kuona

3. Kupata ganzi kwenye vidole vya mikono na miguu

4. Kuhisi kuchanganyikiwa (CONFUSION)

5. Mwili kuchoma choma

6. Kuwa na wasiwasi na khofu bila sababu za msingi

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MOYO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kupaparika (Heart palpitations)

2. Presha kupanda (temporary hypertension)

3. Kupata Kizunguzungu

4. Maumivu ya kifua

5. Kupata ganzi mkono wa kushoto

6. Kuhisi Mapigo ya moyo yapo chini sana

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA UPUMUAJI UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Kupumua kwa shida

2. Mafua ya mara kwa mara

3. Kupata kwikwi za mara kwa mara

4. Mafua yasiyoisha

5. Kikohozi kisichoisha

6. Maumivu makali ya kifua

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MISULI NA MIFUPA UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Maumivu makali ya mgongo

2. Maumivu ya viungo

3. Kuchoka mara kwa mara

4. Sehemu za mwili kuchezacheza k**a vile chini ya macho nk

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA PUA,MASIKIO NA KOO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Maumivu makali ya koo

2. Kuhisi kitu kimekwama kooni

3. Kupata Tonsillitis (mafidofido)mara kwa mara

4. Kupata ugumu wa kumeza chakula

5. Kuhisi masikio mazito

6. Masikio kupiga kelele

7. Mafua yasiyoisha

8. Nk

KWANINI UNAPOKUJA KABEYA HERBAL PRODUCTS NI RAHISI KUGUNDUA KWAMBA UNA ACID REFLUX ?

Unapokuja Kabeya Herbal products ni rahisi sisi kugundua kuwa una Acid reflux kwasababu tunaangalia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula pamoja na mifumo yake yote ambayo huweza kuathiriwa na ACID REFLUX.

ACID REFLUX inapokuathiri mifumo hyo mingine ndio hapo mgonjwa hupata dalili zaidi ya 30 kuhusu Acid reflux ambapo dalili zingine ni zile zinazotokana na Kuathirika kwa mifumo mingine ya mwili k**a ambavyo tumeelezea

SULUHISHO LA ACID REFLUX

Acid reflux hupona kabisa kwa kufuata maelekezo sahihi ambayo KABEYA HERBAL PRODUCTS tumeyafanyia tafiti na kuyaelekeza kwa wagonjwa wetu lakin pia utumiaji wa dawa kwa maelekezo sahihi.

Kwa mawasiliano tupigie simu kwa namba hii

Call 0713914395

whatsapp: 0713914395

Au gusa link hapo chini itakuleta inbox whatssap

wa.me/255713914395

Medical & health

MAJIRA YA USIKU— Siri ya Vitunguu Swaumu kwa Mwanaume Anayetafuta Nguvu ya Kudumu Mchezoni.!Kabla Hujalala, Tafuna Punje...
29/04/2025

MAJIRA YA USIKU— Siri ya Vitunguu Swaumu kwa Mwanaume Anayetafuta Nguvu ya Kudumu Mchezoni.!

Kabla Hujalala, Tafuna Punje 2-3 Za Vitunguu Swaumu kwa Siku 14, Utashangaa Matokeo..! 🍆💦

Je, unataka kuwa imara kitandani bila kutegemea vidonge? Siri ipo jikoni kwako— Vitunguu swaumu!

Nammmh..!

Ni silaha ya asili isiyo na kelele lakini ina nguvu za kushangaza kwa afya ya uzazi wa mwanaume.

Hii Ndio Siri Ambayo Wengi Hawataki Uijue....

Vitunguu swaumu huongeza mzunguko wa damu, huchochea uzalishaji wa homoni ya testosterone, huboresha ubora wa shahawa, na kwa ujumla huchangamsha nguvu zako za kiume kwa njia ya asili kabisa.

Ni mbinu salama, isiyo na madhara, na yenye matokeo ya muda mrefu kwa mwanaume mwenye malengo—si wa kutafuta raha za dakika tano.

Lakini Kumbuka Hili kwa Umakini Mkubwa:....

Acha kabisa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu (booster)—hasa zile za mitandaoni!

Kwa nini...?

Hizi hapa sababu tano zinazoweza kukuokoa maisha ya afya yako...

1. Zinachosha moyo wako kimya kimya.

2. Zinapunguza uwezo wako wa asili. Baada ya muda, utakuwa tegemezi wa dawa hizo.

3. Zinasababisha utegemezi wa maisha yote.

4. Huua uwezo wa ubongo wako kuhisi raha ya kweli ya tendo la ndoa.

5. Na mbaya zaidi, zinaweza kukutuma kaburini ukiwa bado kijana.

Ujumbe wa Mwisho kwa vijana wote...

Usiwe shujaa wa dakika tano, ukajilipizia adhabu ya mateso ya maisha yote....

—Jenga mwili wako kwa msingi sahihi.

—Chagua afya badala ya muonekano wa haraka.

—Fanya mazoezi, tafuna vitunguu swaumu kila usiku, lala vya kutosha, na heshimu mwili wako.

NB: Nguvu ya kweli haipatikani kwa vidonge. Inajengwa kwa nidhamu, maarifa sahihi na maamuzi ya kila siku.

Ukweli huu hautakuambiwa mitandaoni—huko utauziwa dawa kila siku.

Lakini leo, nimekufumbua macho. Sasa ni zamu yako kufanya maamuzi sahihi....🫵

Kwa msaada na ushauri tupigie simu

Calls: 0712771145 au 0713372150

whatsapp: 0713372150 au gusa link hapo chini itakuleta inbox whatssap

https://wa.me/message/V7HCG44CIVAWO1

29/04/2025

ACID REFLUX ni tatzo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (Gastrointestinal system) na kuathiri mifumo mingine ya mwili.

Mifumo ya mwili inayoathiriwa na acid ni k**a ifuatavyo :⤵️⤵️

1. Mfumo wa fahamu (Central nervous system)

2. Mfumo wa moyo (Cardiovascular system)

3. Mfumo wa upumuaji (Respiratory system)

4. Mfumo wa mifupa na misuli (Musculoskeletal system)

5. Mfumo wa pua,koo na masikio (ENT)

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA FAHAMU UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Kusahau mara kwa mara

2. Macho kupunguza uwezo wa kuona

3. Kupata ganzi kwenye vidole vya mikono na miguu

4. Kuhisi kuchanganyikiwa (CONFUSION)

5. Mwili kuchoma choma

6. Kuwa na wasiwasi na khofu bila sababu za msingi

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MOYO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kupaparika (Heart palpitations)

2. Presha kupanda (temporary hypertension)

3. Kupata Kizunguzungu

4. Maumivu ya kifua

5. Kupata ganzi mkono wa kushoto

6. Kuhisi Mapigo ya moyo yapo chini sana

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA UPUMUAJI UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Kupumua kwa shida

2. Mafua ya mara kwa mara

3. Kupata kwikwi za mara kwa mara

4. Mafua yasiyoisha

5. Kikohozi kisichoisha

6. Maumivu makali ya kifua

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MISULI NA MIFUPA UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Maumivu makali ya mgongo

2. Maumivu ya viungo

3. Kuchoka mara kwa mara

4. Sehemu za mwili kuchezacheza k**a vile chini ya macho nk

*DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA PUA,MASIKIO NA KOO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX*

1. Maumivu makali ya koo

2. Kuhisi kitu kimekwama kooni

3. Kupata Tonsillitis (mafidofido)mara kwa mara

4. Kupata ugumu wa kumeza chakula

5. Kuhisi masikio mazito

6. Masikio kupiga kelele

7. Mafua yasiyoisha

8. Nk

KWANINI UNAPOKUJA KABEYA HERBAL PRODUCTS NI RAHISI KUGUNDUA KWAMBA UNA ACID REFLUX ?

Unapokuja Kabeya Herbal products ni rahisi sisi kugundua kuwa una Acid reflux kwasababu tunaangalia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula pamoja na mifumo yake yote ambayo huweza kuathiriwa na ACID REFLUX.

ACID REFLUX inapokuathiri mifumo hyo mingine ndio hapo mgonjwa hupata dalili zaidi ya 30 kuhusu Acid reflux ambapo dalili zingine ni zile zinazotokana na Kuathirika kwa mifumo mingine ya mwili k**a ambavyo tumeelezea

SULUHISHO LA ACID REFLUX

Acid reflux hupona kabisa kwa kufuata maelekezo sahihi ambayo KABEYA HERBAL PRODUCTS tumeyafanyia tafiti na kuyaelekeza kwa wagonjwa wetu lakin pia utumiaji wa dawa kwa maelekezo sahihi.

Kwa mawasiliano tupigie simu kwa namba hii

Call 0712771145 / 0713372150

whatsapp: 0713372150 / 0712771145

Au gusa link hapo chini itakuleta inbox whatssap

https://wa.me/message/V7HCG44CIVAWO1

BAWASIRI (HEMORRHOIDS/PILES).Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji...
26/04/2025

BAWASIRI (HEMORRHOIDS/PILES).

Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa. Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.

Ugonjwa huu umekua ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

Kuna aina kuu mbili za bawasiri :
1. Bawasiri ya nje
2.Bawasiri ya ndani.
Bawasiri hii ya ndani ndio bawasiri mbaya kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo na hii inatokana na tabia ya bawasiri yandani kutokua na maumivu wakati inaanza.

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

Ugonjwa huu wa bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo;

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.

Bawasiri iliyotokeza nje katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa

ATHARI ZA BAWASIRI
* Upungufu wa damu mwilini
* Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
* kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
* kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
* kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
* Kupata tatizo la kisaikolojia

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

* Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
* kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
* Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
* Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI

{1}BAWASIRI YA NDANI
~hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
Aina hii ya bawasiri imegawanyika katika madaraja manne

DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
DARAJA LA TATU ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
DARAJA LA NNE ~hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

[2}BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS

CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI
~Ugonjwa huu wa bawasiri mpaka sasa chanzo chake hasa hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo na hukuweka katika hatari ya kupata tatizo hili
~KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
~TATIZO SUGU LA KUHARISHA
~UJAUZITO
~UZITO MKUBWA
~MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
~KUPATA KINYESI KIGUMU KWA MUDA MREFU

DALILI ZA BAWASIRI
kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
kupata kinyesi chenye damu
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
~ matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NIbawasiri fluid na bawasiri powder hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja kwa muda wa wiki mbili tu hata k**a ulishawahi kufanyiwa upasuaji hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni
vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri

ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI

MADHARA YA BAWASIRI
~Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri

KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI
HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU
HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
KUPATA KANSA YA YTUMBO
✍ hayo ni mambo ya msingi sana kuyajua kabla ya kujua tiba

KWA MAHITAJI YA DAWA ASILI ILIYOKWISHAANDALIWA YENYE KUONDOSHA BAWASIRI MOJA KWA MOJA KWA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU WASILIANA NAMI KWA MAWASILIANO YANGU HAPO CHINI

DAWA UTATUMIWA POPOTE ULIPO PIA DAWA UTAIPATA KWA BEI NAAFUU KABISA HUNA HAJA YA KUFANYIWA OPERESHENI YA BAWASIRI KWANI MARA NYINGI BAWASIRI HURUDI TENA PINDI INAPOFANYIWA OPERESHENI..

Kwa mahitaji ya dawa wasiliana na;

Dr.kabeya kwa;

Call: 0712771145 / 0713372150

Whatsap: 0713372150

E-mail: hassankabeya@gmail.com

Instagram; Afya bora

page; Afya bora

Address

Kijichi Neiluka
Mbagala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram