
08/06/2024
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DnVlrXiswHTG0YnHFJE
*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU?*
Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi.
Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.
Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.
*VISABABISHI VYA UKE MKAVU.*
-Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)
-Magonjwa ya zinaa na fangasi
-Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke
-Upungufu wa homoni
-Uoga na wasiwasi
*DALILI ZA UKE MKAVU*
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kupungua hamu ya tendo la ndoa
-Kua na ngozi kavu
-Maumivu ya mifupa na viungo
-Msongo wa mawazo
-Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika
-Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu.
*MATIBABU YA UKE MKAVU*
Kuna lishe ambazo zimetengenezwa kwa kuzingatia tiba lishe na Ni Bora Zaidi kwa afya Dr Teddy online