Leva Herbal Clinic

Leva Herbal Clinic Tunatoa ushauri na matibabu ya magonjwa kwa tiba lishe na dawa za asili zisizokua na kemikali

DALILI HIZI WAZI ZINAONESHA UNA VIDONDA VYA TUMBOAsubuhi moja unaamka ukiwa na maumivu ya tumbo  unadhani ni kawaida lab...
04/04/2026

DALILI HIZI WAZI ZINAONESHA UNA VIDONDA VYA TUMBO

Asubuhi moja unaamka ukiwa na maumivu ya tumbo unadhani ni kawaida labda ulikula vibaya jana.

Unapata kiungulia cha kuchoma k**a moto,

Kila ukila kitu unaona tumbo limejaa gesi… na WAKATI mwingine harufu mbaya mdomoni

Unajaribu kula maharage au dagaa kidogo tu, tumbo liliwaka, kichefuchefu kikaongezeka, na ghafla unasikia ule uchungu mkali sehemu ya juu ya tumbo k**a mtu anapiga sindano ya moto.

Siku zinapita…

Usiku analala kwa tabu kwa sababu ya kiungulia

Unaamka na kichefuchefu

Huna hamu ya kula

Unaenda chooni na kupata kutu kuchoma au kuhara mara kwa mara au kinyesi Cha mbuzi.

Mara nyingine a
Unatetemeka kutokana na maumivu ya tumbo yasiyoelezeka

Ukiwa unapitia hiyo Hali tambua una vidonda vya tumbo.. ..

Hizi hapa dalili. Zingine za vidonda vya tumbo nimezibainisha hapa chini👇

1️⃣Maumivu makali sehemu ya juu ya tumbo (epigastric pain)

2️⃣Kiungulia na kuchoma k**a moto

3️⃣Kichefuchefu au kutapika

4️⃣Tumbo kujaa gesi, kubanwa na kupuliza

5️⃣Harufu mbaya ya mdomo

6️⃣Kukosa hamu ya kula

7️⃣Maumivu yanayokuja ukiwa njaa au baada ya kula

8️⃣Kuhara au choo kigumu mara kwa mara

9️⃣Mwili kuwa na kukosa usingizi/uchovu

Unadalili gani inakusumbua niandikie hapo chini upate mwongozo Wa kupona tatizo la vidonda VYA tumbo

Au wasiliana na sisi kupitia namba zetu za simu
0686464924

Address

Nanenane
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leva Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share