Maisha Na Afya 23

  • Home
  • Maisha Na Afya 23

Maisha Na Afya 23 Maisha na Afya is designed to reach and influence people who are at risk to be infected with HIV. Yenye Makao yake Makuu Mjini Mbeya

Maisha na Afya 23 ni Mtandao wa kijamii unaoratibiwa na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali 12 ambayo yapo katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania yanayojihusisha na Mapambano dhidi ya UKIMWI. Mashirika haya yanapata ufadhili wa PEPFAR kupitia Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya HJF Medical Research Int.

03/01/2025
Muelimishaji rika ngazi ya jamii kutoka shirika la SHYI MBEYA MJINI akiwa katika ufatiliaji WA wapokea huduma kituoni.
03/01/2025

Muelimishaji rika ngazi ya jamii kutoka shirika la SHYI MBEYA MJINI akiwa katika ufatiliaji WA wapokea huduma kituoni.

Ugawaji wa JIPIME katika kata igawilo ukiendeleea
28/11/2024

Ugawaji wa JIPIME katika kata igawilo ukiendeleea

Mshauri  maaana kutoka shirika la southern highland youth initiatives akifanya upimaji kata ya igawilo,kirabuni.
28/11/2024

Mshauri maaana kutoka shirika la southern highland youth initiatives akifanya upimaji kata ya igawilo,kirabuni.

Muwezeshaji kutoka shirika la TUMAINI akitoa elimu kwa community works kutoka mashirika mbalimbali ya mbeya mjini juu ya...
31/10/2024

Muwezeshaji kutoka shirika la TUMAINI akitoa elimu kwa community works kutoka mashirika mbalimbali ya mbeya mjini juu ya IPV & LIVES

Huduma za upimaji VVU zikiendela katika kijiji cha Mweneemba ,kata ya Kamsamba, wilaya ya Momba kutoka kwa mtaalam wa af...
12/09/2024

Huduma za upimaji VVU zikiendela katika kijiji cha Mweneemba ,kata ya Kamsamba, wilaya ya Momba kutoka kwa mtaalam wa afya wa Shirika la IRDO.

Katika jitihada za kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, muelimishaji rika wa SHYI amefanya kaz...
06/09/2024

Katika jitihada za kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, muelimishaji rika wa SHYI amefanya kazi kubwa ya kutoa elimu kwa vijana juu ya matumizi sahihi ya JIPIME (HIV Self-Test) katika kata ya Uyole, Mbeya Jiji. Kampeni hii ya YOUTH BULGE inalenga kuhakikisha kuwa vijana wanapata uelewa wa kina kuhusu umuhimu wa kupima kwa hiari na faragha ili kujua hali zao za kiafya na kuchukua hatua sahihi mapema.

Kupima kwa kutumia JIPIME kunawapa vijana fursa ya kufahamu hali zao za VVU kwa urahisi, bila kulazimika kwenda kwenye vituo vya afya, na hivyo kuimarisha afya zao na kupunguza hatari ya maambukizi mapya. Kwa kushirikiana na jamii, tunaendelea kuhakikisha kwamba vijana wanakuwa mstari wa mbele katika kujikinga na VVU na kuishi maisha yenye afya bora.

Jiunge nasi katika kampeni ya YOUTH BULGE, tujenge jamii yenye afya na usalama kwa vijana!

Waelimisha rika wilayani Nkasi,kata ya namanyere wakitoa elimu ya kipimo Cha kujipima Virusi vya UKIMWI kwa jamii, vipim...
04/09/2024

Waelimisha rika wilayani Nkasi,kata ya namanyere wakitoa elimu ya kipimo Cha kujipima Virusi vya UKIMWI kwa jamii, vipimo hivi vikitumika ipasavyo vinamsaidia mtumiaji kujua Hali yake ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kabla ya kupimwa na kipimo Cha uhakiki na mpimaji, lengo kubwa la kipimo hiki ni kukidhi matarajio ya asilimia 95 ya watanzania kujua hali zao, vipimo hivi vinapatikana bila malipo vituo vya afya au kwa kuwasiliana na waelimisha rika wanaopatikana kote nyanda za juu kusini mikoa wa Rukwa, Mbeya, Songwe na katavi

Elimu ya jipime na matumizi sahihi ya kondom ikitolewa ukanda wa ziwa Tanganyika, kata ya kabwe na muelimisha rika wa sh...
04/09/2024

Elimu ya jipime na matumizi sahihi ya kondom ikitolewa ukanda wa ziwa Tanganyika, kata ya kabwe na muelimisha rika wa shirika la CEELS, kondom za k**e na za kiume na vipimo vya jipime vinapatikana vituo vya afya bila malipo au unaweza kuwasiliana na waelimisha rika wanaopatikana ukanda wote wa nyanda za juu kusini mikoa ya Mbeya, Songwe, Rukwa na Katavi

Address

House # 4, Block T, P. O. Box. 1243

53115

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha Na Afya 23 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Maisha Na Afya 23:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram