EMenu"Agritech and Animal feed Co,LTD

EMenu"Agritech and Animal feed Co,LTD Young ambition with a Strong desire to do and achieve something different by HARD WORK AND INNOVATION

Mashine ya kupikuchua mahindi
05/12/2024

Mashine ya kupikuchua mahindi

04/12/2024
Machine ya kukamua mafuta
30/10/2024

Machine ya kukamua mafuta

14/09/2024

Combined oil Mill 😜
Model .120 ...6tani per Day..
Get kwa 5% offer

mzigo umeingia wahi tu wahii..    .ni Mashine za KUKAMUA MAFUTA YA ALIZETI ... NJOO TUZUNGUMZE BEII😁🥰🥰
06/02/2024

mzigo umeingia wahi tu wahii..
.ni Mashine za KUKAMUA MAFUTA YA ALIZETI ... NJOO TUZUNGUMZE BEII😁🥰🥰

206C .Ni mashine ya kufyatua matofari inayoweza kujilisha yenyew bila kutumia watu wengi.    Faida  inafyatua aina zote ...
06/02/2024

206C .
Ni mashine ya kufyatua matofari inayoweza kujilisha yenyew bila kutumia watu wengi.
Faida inafyatua aina zote za tofari.inatoa Pavingscablestonehollow block.. Bei iko yakawaidaa😎

04/02/2024

leo nawaletea mashine ndogo ya
kupalilia na kufyekea majani
pia unaweza kutumia kutifulia SHAMBANI
KUVUNIA MPUNGA..inapatikama kwa beii nafuuu Sana..tupigiee
0684567741

24/01/2024

Leo nawaletea mashine ya KUPUKUCHUA MAHINDI.
SIFA ZAKE.inapukuchua bila kuvunja mahindiinapepeta mahindi yanakuwa safi bila pumbainatumia DIESEL engine kufanya kazi haitumii (mafuta mengi). Inaspeed inapukuchukua gunia 15 kwa saa 1.inahamishika popote .portable kubebwa..... Njoo WhatsApp
255684567741...fika shekilango stand ya mwendokasii .. Uliza Poly machinery Co.ltd dar es salam ..

mashine ya kufyatua matofari.(.BRICK MACHINE). INAFYATUA TOFARI 250 KWA SAA MOJA.UNAFANYIWA Installation popote TANZANIA...
30/12/2023

mashine ya kufyatua matofari.(.BRICK MACHINE). INAFYATUA TOFARI 250 KWA SAA MOJA.
UNAFANYIWA Installation popote TANZANIA KWA GARAMA ZA OFFICE ..
TUPO KANDA ZOTE ZA TANZANIA...0684567741.....UNAKABIZIWA MASHINE INAFANYA KAZII

30/12/2023

Mashine za kisasa za kumenya KARANGA BILA KUZIVUNJVUNJA.INAPATIKANA KWA BEI POUWA KABSAAA..
TUPO TANZANIA NZIMA ....UTAFUNGIWA BULE POPOTE TANZANIA.UTAPEWA MAFUNZO BUREE..SPARE PARTS NI UHAKIKA NA FUNDI ..WARRANT NI UHAKIKA....0684567741

Address

P. O. Box 149
Mbeya

Telephone

+255684567741

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EMenu"Agritech and Animal feed Co,LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to EMenu"Agritech and Animal feed Co,LTD:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram