
05/04/2024
Chuo cha afya Southern Highlands tunapenda kuwakaribisha tena wotu wote kujiunga na chuo kwa kozi za utabibu, ufamasia pamoja na Kompyuta, ada zetu ni nafuu na zinalipwa kidogo kidogo,
Pia nafasi za kuhamia zinapatikana kwa ngazi zote.