Berick G. Aliila, MD

Berick G. Aliila, MD Medical Doctor | Public Health Advocate | Father | Husband

08/07/2023

As of 2018. Hepatitis B
Tanzania ilikuwa kwenye kundi la highly-Endemic region Kwa tatizo hili. Kwa Kila watanzania 100, kati Yao sita ni Hep B positive.

The dude himself
29/03/2023

The dude himself

30/12/2021

MFUMO imara ya AFYA, yatakiwa kuwekwa maanani kubwa sana. Ni rahisi sana kulaumu daktari, lakini ukawa ndio uliyelekea athari kwenye tiba.

One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors    –Pla...
30/12/2021

One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors
–Plato (427 BC - 347 BC)

Kwa wale wenye kisukari na shinikizo la damu, Mojawapo ya kiungo athirika ni Figo. Ajabu, inachukua muda sana kujua.Haki...
29/12/2021

Kwa wale wenye kisukari na shinikizo la damu,
Mojawapo ya kiungo athirika ni Figo. Ajabu, inachukua muda sana kujua.
Hakikisha angalau Kwa mwaka unahakikisha Hali ya ufanyaji kazi wa Figo zako. Utaepusha mengi ikiwemo kupewa dawa zinazodhoofisha zaidi Figo.

Kwa haraka haraka. Kinga ni Bora kuliko tiba, Cheaper kuliko tiba na Haina side effects....
19/12/2021

Kwa haraka haraka.
Kinga ni Bora kuliko tiba, Cheaper kuliko tiba na Haina side effects....

Get vaccinated.latest report on 29th October shows that we are still miles from safety.
30/10/2021

Get vaccinated.
latest report on 29th October shows that we are still miles from safety.

30/10/2021

Ilikuwa ni wiki k**a tatu tu zilizopita. nchi ilitaharuki kuhusu ugonjwa wa UVIKO 19. kwa sasa tunaishi k**a hakuna Tena UVIKO. wakati huo huo coverage ya chanjo haijafika hats asilimia 1 nchini kwetu haijafika.
HOW SAFE ARE WE?

Happy AnniVersaRy Mi AManTE
19/10/2021

Happy AnniVersaRy Mi AManTE

2 Years of LoVe, HappYNEss and JoY.I LoVE you MY qQUEEN. HAPPY ANNIVERSARY My LOVE
19/10/2021

2 Years of LoVe, HappYNEss and JoY.
I LoVE you MY qQUEEN.
HAPPY ANNIVERSARY My LOVE

crowd
24/09/2021

crowd

12/08/2021
28/07/2021
26/07/2021

Efforts to get vaccines is not equivalent to social education on importance of being vaccinated and to refute claims raised by stakeholders on COVID-19 Vaccine.
Itafute elimu sahihi na jihakikishie usalama then GET YOUR SHOT.

13/07/2021

Je ungependa kupata elimu kuhusu ugonjwa gani?

Address

Forest
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Berick G. Aliila, MD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Berick G. Aliila, MD:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category