afya yetu

afya yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya yetu, Vitamins/Supplements, Mbeya.

Afya bora ni mtaji wa maisha 💪
Elimu ya mtindo wa maisha bora
Magonjwa ya moyo | Kisukari | Presha | Uzito uliopitiliza | Mfumo wa mmeng’enyo
🇺🇸 Premium USA Supplements
📞 +255 766 381 702
📩 DM kwa ushauri na huduma

11/05/2026

09/05/2026

-T brew cappuccino for men.

Watu wengi hudhani kula vizuri pekee kunatosha kuwa na nguvu… si kweli kila wakati.Unaweza kula vizuri lakini bado ukahi...
07/05/2026

Watu wengi hudhani kula vizuri pekee kunatosha kuwa na nguvu… si kweli kila wakati.

Unaweza kula vizuri lakini bado ukahisi:
➡ uchovu wa mwili
➡ kukosa stamina
➡ usingizi mwingi
➡ mwili mzito bila sababu

Sababu zinaweza kuwa:
✅ usingizi mbovu
✅ stress nyingi
✅ upungufu wa damu (anemia)
✅ dehydration
✅ hormones kutokuwa balanced
✅ kutofanya mazoezi
✅ mental fatigue

Mwili wa binadamu hauhitaji chakula tu — unahitaji mfumo mzima uwe balanced.

⚡ Energy halisi hutokana na:
Nutrition + Sleep + Movement + Hormonal Balance + Mental Wellness.

Ukichoka kila siku bila sababu, usipuuzie… mwili huwa unatuma signal.

DM kwa ushauri zaidi 📩
📞 +255766381702

🚨 Je, matumizi yako ya pombe yako salama… au yameanza kukudhibiti?Tumia kipimo rahisi cha kitaalamu kinachoitwa CAGE kuj...
06/05/2026

🚨 Je, matumizi yako ya pombe yako salama… au yameanza kukudhibiti?

Tumia kipimo rahisi cha kitaalamu kinachoitwa CAGE kujipima:

🔹 C – Cut down: Umewahi kuhisi unapaswa kupunguza pombe?
🔹 A – Annoyed: Unakasirika ukikosolewa kuhusu unywaji wako?
🔹 G – Guilty: Unajisikia na hatia baada ya kunywa?
🔹 E – Eye-opener: Unahitaji pombe asubuhi ili kujirekebisha?

👉 Ukijibu NDIYO mara 2 au zaidi, hiyo ni ishara ya hatari—huenda uko kwenye utegegemezi wa pombe bila kujua.

📌 Hii si hukumu—ni nafasi ya kujua ukweli na kuchukua hatua mapema.

✅ Chukua hatua leo: punguza, tafuta ushauri wa kitaalamu, na jipe nafasi ya kuishi kwa afya bora.

📩 Unahitaji mwongozo? DM sasa.

Hii si cappuccino ya kawaida… ni support ya mwanaume wa leo.”Andro Brew Cappuccino for Men imeundwa kusaidia wanaume wan...
05/05/2026

Hii si cappuccino ya kawaida… ni support ya mwanaume wa leo.”
Andro Brew Cappuccino for Men imeundwa kusaidia wanaume wanaobeba majukumu ya kila siku—kazi, familia na malengo.
✅stamina & nguvu za mwili
✅ focus na umakini
✅ support ya mzunguko wa damu
✅afya ya mwanaume kwa ujumla
Usingoje uchoke ndiyo uchukue hatua. Jali mwili wako mapema.
👉 Kwa maelezo zaidi au kuanza matumizi, niandikie DM sasa.

MWANAMKE MWENYE UTASA (Female Infertility)Utasa sio laana—ni hali ya kiafya inayoweza kuchunguzwa na kutibiwa.Sababu kuu...
05/05/2026

MWANAMKE MWENYE UTASA (Female Infertility)

Utasa sio laana—ni hali ya kiafya inayoweza kuchunguzwa na kutibiwa.

Sababu kuu ni pamoja na:
🔹 Matatizo ya ovulation (yani yai halitoki vizuri)
🔹 Mirija ya uzazi kuziba
🔹 Changamoto kwenye mfuko wa uzazi (uterus)
🔹 Homoni kutokuwa sawa

Dalili za kuangalia:
⚠️ Hedhi zisizo za kawaida
⚠️ Maumivu makali ya hedhi
⚠️ Kutopata ujauzito baada ya muda wa kujaribu

Habari njema: Kuna suluhisho—ukigundua mapema, nafasi ya kupata matibabu sahihi inaongezeka.

📩 Usikae kimya… chukua hatua leo
Andika “AFYA” DM upate mwongozo wa kitaalamu.

Kufanya mazoezi ya mwili kuna faida nyingi kwa afya ya mwili na akili.Baadhi ya faida hizo ni:1. Huimarisha afya ya moyo...
04/05/2026

Kufanya mazoezi ya mwili kuna faida nyingi kwa afya ya mwili na akili.Baadhi ya faida hizo ni:
1. Huimarisha afya ya moyo
Mazoezi husaidia moyo kufanya kazi vizuri na hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
2. Huongeza nguvu na stamina
Mwili wako unakuwa na nguvu zaidi na unaweza kufanya shughuli za kila siku bila kuchoka haraka.
3. Husaidia kudhibiti uzito
Mazoezi huchoma mafuta na kusaidia kuzuia unene kupita kiasi.
4. Huboresha afya ya akili
Mazoezi hupunguza msongo wa mawazo (stress), huzuni (depression), na huongeza furaha.
5. Huimarisha mifupa na misuli
Husaidia kuzuia udhaifu wa mifupa na kuongeza nguvu ya misuli.
6. Huboresha usingizi
Watu wanaofanya mazoezi hupata usingizi mzuri na wa kutosha.
7. Huongeza kinga ya mwili
Mwili unakuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na magonjwa.AFYA YAKO NI HAZINA YAKO💪

Male infertility (utasa wa kiume) ni hali ambapo mwanaume anashindwa kumpa mimba mwanamke baada ya muda mrefu wa kujarib...
04/05/2026

Male infertility (utasa wa kiume) ni hali ambapo mwanaume anashindwa kumpa mimba mwanamke baada ya muda mrefu wa kujaribu. Mara nyingi husababishwa na mbegu kuwa chache, dhaifu au zenye hitilafu. Ni tatizo la kiafya linaloweza kuchunguzwa na kuboreshwa—usinyamaze, tafuta suluhisho mapema.
👉 DM ‘AFYA’ upate mwongozo wa hatua za kuanza
📲 Au wasiliana nami: +255 766 381 702
💬 Follow kwa elimu zaidi ya afya ya mwanaume.

Hepatitis B (homa ya ini) ni ugonjwa wa kimya—watu wengi wanao bila kujua. Inaathiri ini na inaweza kuleta madhara makub...
01/05/2026

Hepatitis B (homa ya ini) ni ugonjwa wa kimya—watu wengi wanao bila kujua. Inaathiri ini na inaweza kuleta madhara makubwa k**a saratani ya ini. Lakini habari njema? Inaepukika na kudhibitika! 💉
Pima leo, chanja k**a hujaathirika, na linda afya yako mapema.
Afya yako ni mtaji—usisubiri dalili.
DM ‘HBV’ upate mwongozo.

29/04/2026

27/04/2026

WEIGHT MANAGEMENT

Address

Mbeya
53000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share