AFYA POINT

AFYA POINT Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA POINT, .

♣︎ ELIMU YA AFYA YA UZAZI ♣︎MATIBABU KWA CHANGAMOTO ZOTE ZA MFUMO WA UZAZI 💊 ♣︎ FERTILITY SOLUTION🥼 ♣︎ HORMONAL IMBALANCE SOLUTION ■ Whatsapp number +255767027998

03/01/2026

Haya ni baadhi ya makosa ambayo hutakiwi kurudia tena kwa mwaka huu 2026 kwa maana yatakugharimu sana

01/01/2026

Ukiwa unaishi na changamoto hizi basi tambua ni vigumu kwa wewe kushika ujauzito na hata ukishika kuna hatari ya kuharibika au kutoka, hivyo tibu kwanza changamoto hizi ndipo ujiweke tayari kwa kushika ujauzito

30/12/2025

Yawezakuwa unaona dalili ni ndogo lakini hujui ukubwa gani wa madhara yamebebwa humo
Hivyo usisubir tatizo likue bali tafuta suluhisho mapema

29/12/2025

Haya ni miongoni mwa makosa makubwa ambayo watu hufanya bila kujijua na kujipelekea madhara makubwa sana kwa afya yao

28/12/2025

Ukiona tu umeanza kupatwa na dalili hizi basi jua afya yako ya mfumo wa uzazi inadhoofika pole pole.

27/12/2025

K**a unakutana na dalili hizi baad ya s*x na unapuuza basi unajipoteza kwa kujiweka hatarini kupata maradhi yatakayokatiza ndoto zako

27/12/2025

Ukiacha tabia hizi basi utakuwa umeacha na kuwashwa mara kwa mara na kupata harufu mbaya

26/12/2025

Usiumize tena kichwa kwanini hushiki ujauzito. K**a unahistoria au unasumbuliwa na changamoto hizi basi tibu kwanza ndipo ujiweke tayari kwa kishika ujauzito

Kwa msaada zaidi mawasiliano yapo bio (profile)

25/12/2025

Unapatwa na miwasho ukeni? Unatokwa na harufu mbaya ukeni?
Basi fahamu sababu kadhaa zinazopelekea hali hio

24/12/2025

Ni kweli unapitia maumivu ya tumbo kipindi cha hedhi, haswa tumbo la chini mbaka unashindwa kufanya kazi zako. Je, unafahamu kwamb unaweza kupunguza maumivu haya ukiwa nyumbani tu??
Wasiliana nasi kwa changamoto zote za mfumo wa uzazi kwa wanawake na wanaume

FAHAMU KWA UNDANI KUHUSU HORMONAL IMBALANCEHormonal imbalance ni hali ya kuvurugika kwa usawa wa homoni katika mwili wa ...
24/12/2025

FAHAMU KWA UNDANI KUHUSU HORMONAL IMBALANCE

Hormonal imbalance ni hali ya kuvurugika kwa usawa wa homoni katika mwili wa binadamu. Homoni zinakuwa katika viwango ambavyo sio vinavyotakiwa na mwili.

Wengi wamekuwa wakikutwa na hali hii bila kujitambua hasa wanawake na hali hii huambatana na dalili zifuatazo

1. KUVURUGIKA KWA SIKU ZA HEDHI

- Wanawake wengi wamajikuta siku zao za hedhi zikivurugika na hali hii imekuwa ni k**a kawaida sana kwa wanawake wa nyakati hizi kutokana na staili za maisha hasa kula vyakula vya mafuta au kukaangwa,kupata maambukizi ya bakteria nk.

Homoni aina ya estrogen huratibu maswala mazima ya hedhi hivyo ikiwa katika viwango visivyofaa basi tatizo la hedhi huzaliwa hapo.

2. KUTOKWA NA UCHAFU WENYE HARUFU UKENI.

- Hii ni moja ya dalili ambayo huambatana na magonjwa k**a PCOS,P.I.D,ENDOMETRIOSIS n.k
Mwanamke atapatwa hali ya kutokwa na uchafu mzito wenye harufu k**a shombo la samaki na muda mwingine unakuwa unanata sana k**a gundi isiyo n nguvu

3. KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZITO

-Ujauzito huratibiwa na homoni mbaka kujifungua hivyo k**a homoni hazipo sawa basi hata upevushwaji wa yai hautaweza kufanyika hivyo basi utungwaji wa mimba katika mfuko wa uzazi hauta wezekana na k**a ikitokea umeshika ujauzito basi kuna hatari kubwa ya kuharibika au kutungwa nje ya mfuko wa kizazi

4. KUPOTEZA HAMU YA TENDO LA NDOA

- Mwili huendeshwa kwa homoni zinazolenga kufanya kazi husika,hivyo k**a homoni hizi hazipo sawa basi ni ngumu kupata hamu ya tendo na kufanikisha urutubishaji wa mayai

Homoni hizo ni k**a estrogen,oxytocin na dopamine huchangia kwa kiasi kikubwa sana katika tendo la ndoa

NB;
Hizi ni dalili za kawaida sana kutokea na uwepo wa dalili moja hauashiriii uwepo wa tatizo hili ila dalili nyingi k**a sio zote.

Whatsapp number 0767 027 998
Dr. Davie

23/12/2025

Ikulu ni mahali pa faragha!!!😃🫣
Hakikisha panakuwa na harufu nzuri yenye kuvutia ewe binti, fanya hivi ili kufanya sehemu zako zisiwe na harufu mbaya wakati wote

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA POINT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram