UJUZI Shirikishi

UJUZI Shirikishi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UJUZI Shirikishi, Misungwi.

We are changing the world through environmental conservation
11/03/2022

We are changing the world through environmental conservation

21/02/2022
17/02/2022

Tarehe 20/2/2022 tunatarijia kufanya tukio la UJUZI FESTIVAL, Ndg wadau wote tunawakaribisha kwenye shughuli hii. Njoo tushirikiane kufanya maamuzi juu ya vijana kujiajiri kwa kuangalia fursa zinazowazunguka na zile zinazotumia mitaji midogo midogo. Ni vijana wa kidato cha sita

Ujuzi ni pesa
05/12/2021

Ujuzi ni pesa

Maandalizi ya Tamasha kubwa, tatari yameanza, 2022 UJUZI KWANZA FESTIVAL USIPANGE KUKOSA, NI PALEPALE MISUNGWI  SEKONDAR...
24/11/2021

Maandalizi ya Tamasha kubwa, tatari yameanza, 2022 UJUZI KWANZA FESTIVAL
USIPANGE KUKOSA, NI PALEPALE MISUNGWI SEKONDARI

Ujuzi(skills) ni muhimu sana kuwa nao katika karne hii, watu wanahitaji vitu vya tofauti sana na vyenye mvuto.
19/10/2021

Ujuzi(skills) ni muhimu sana kuwa nao katika karne hii, watu wanahitaji vitu vya tofauti sana na vyenye mvuto.

27/09/2021

Mambo ni aje? Taja lifekill moja tu ulioyonayo ambayo unaona itakubeba kwa wiki hii

Unaweza ukatengeneza maeneo mazuri ya kupumzikia lakini pia ukaongeza kipato
19/07/2021

Unaweza ukatengeneza maeneo mazuri ya kupumzikia lakini pia ukaongeza kipato

God created nature, so we need to use it friendly by adding value chain. Let us SKILLS LEAD !
05/07/2021

God created nature, so we need to use it friendly by adding value chain. Let us SKILLS LEAD !

05/07/2021

Page hii ya Ujuzi ni mahsusi kwa ajili ya kuongeza thamani ya uwezo wetu, hakuna kitu kipya, bali kinachohitajika ni kuongeza mnyororo wa thamani ili kilekile kizidi kuwa bora zaidi. Karibuni tujifunze sote.

Ni ujuzi tu utakufanya uongeze thamani yako.
05/07/2021

Ni ujuzi tu utakufanya uongeze thamani yako.

Address

Misungwi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UJUZI Shirikishi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram