
12/11/2022
BAWASIRI: Ni ugonjwa wa mfumo wa chakula unao athiri njia ya haja kubwa. Ni uvimbe katika njia ya haja kubwa.
Sababu zinazopelekea Ugonjwa wa bawasiri:
•Kuharisha kwa muda mrefu
•Kutokufanya mazoezi mara kwa mara
•Kula chakula chenye kiwango cha chini cha nyuzi nyuzi (food with low fiber content)
•Vinasaba
•Umri mkubwa
•Kuketi kwa muda mrefu
•Ujauzito
Aina za Bawasiri:
1. Bawasiri ya ndani:- Hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huwa haiambatani na maumivu makali.
Kutokuwepo kwa maumivu makali hufanya wengi kutotambua k**a wako na bawasiri.
Bawasiri ya ndani imegawanyika katika vipengele vifuatavyo;
•Bawasiri ambayo haitoki mahala pake (stationary hermorroids)
•Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia
•Bawasiri inayotoka na kushindwa kurudi wakati wa kujisaidia hadi irudishwe kwa mkono na mgonjwa mwenyewe
•Bawasiri inayotoka wakati wa kujisaidia na ni ngumu kuirudisha baada ya kujisaidia..
2.Bawasiri ya nje:- Hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu na muwasho ktk sehemu husika.
Dalili za Bawasiri:
•Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
•Uvimbe kuota sehemu ya haja kubwa
•Haja kubwa kujitokea yenyewe muda wowote
•Choo kuwa kigumu
•Kukosa choo kwa siku 3-4 na zaidi.
•Maumivu makali ya kiuno na mgongo
•Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
•Kuona njaa muda mfupi baada ya kula
•Kukosa usingizi nk
Athari za Bawasiri:
*Kinyesi kutoka bila kujitambau
*Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
*Kupungukiwa nguvu za kiume
*Kupungua uwezo wa kufanyakazi kutokana na maumivu
*Mwili kudhoofika na kupauka
*Uchovu wa mara kwa mara
*Kupata tatizo la kisaikolojia..
Matibabu:
1.Matibabu ya Hospitali
Mgonjwa huweza pawe dawa au kufanyiwa upasuaji
2. Matibabu ya tiba Asili.
Tumia Dawa ya Corazon, ni Dawa ambayo imeonyesha uwezo mkubwa wa kutibu bawasiri ya ndani na nje kwa muda mfupi sana ( wiki chache)
Dozi: Siku 7
Bei: Tsh.25,000/=
Tupo Songea Mjini
Simu: 0762428187.