AfyaCheck

AfyaCheck Health updates and advice

Jiunge kwenye group letu upate dondoo za afya ya uzazi WhatsApp number +255 762 480 637
31/03/2024

Jiunge kwenye group letu upate dondoo za afya ya uzazi WhatsApp number +255 762 480 637

Dada Yangu jifunze kuongeza shape yako bila dawa Wala upasuaji
27/01/2024

Dada Yangu jifunze kuongeza shape yako bila dawa Wala upasuaji

SaBABU ZA UKOSEFU NGUVU ZA KIUME.1.Shinikizo kubwa la damu2.Msongo wa mawazo3Kiwango Cha chini cha homoni ya testosteron...
21/01/2024

SaBABU ZA UKOSEFU NGUVU ZA KIUME.
1.Shinikizo kubwa la damu
2.Msongo wa mawazo
3Kiwango Cha chini cha homoni ya testosterone
4.Uvutaji wa sigara
5.Ulevi kupindukia nk

Wasiliana na daktari kwa ushauri na tiba
Whatsapp no 0719530716

JIUNGE UPATE MAFUNZO YA KUONDOA KITAMBI NA KUPUNGUZA UNENE
19/01/2024

JIUNGE UPATE MAFUNZO YA KUONDOA KITAMBI NA KUPUNGUZA UNENE

WhatsApp Group Invite

MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI HATUA YA PILI(SECONDARY DYSMENORRHEA)Husababishwa na matatizo katika viungo vya uzazi.Mau...
15/01/2024

MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI HATUA YA PILI(SECONDARY DYSMENORRHEA)Husababishwa na matatizo katika viungo vya uzazi.Maumivu yanaaza kuwa makali siku chache kabla ya hedhi na wakati wa hedhi yanazidi na muda mwingine yanaendelea kuwa makali zaidi hata baada ya hedhi.

SABABU ZAKE.
1). Endometriosis:Huu ni ukuaji wa tishu zinazofanana na zile za mfuko wa uzazi(Uterus)katika viungo vingine k**a vile mirija ya uzazi (fallopian tubes) na vifuko vya mayai(ovaries).Kama ilivyo kwa tishu za uterus,tishu katika hivi viungo huvunjika na kutiririsha damu(bleeding) kutokana na mabadiliko ya homoni,kupelekea maumivu.

2.Fibroids:Ukuaji wa nyama ndani,nje au katika kuta za uterus pia husababisha maumivu.

3.Adenomyosis:Kuvimba mfuko wa kizazi pia husababisha maumivu makali wakati wa hedhi

Wasiliana na daktari kwa ushauri na tiba
Whatsapp no 0719530716

6.ALBENDAZOLEDawa hii hutumika kutibu minyoo lakini ikitumiwa na mama mjamzito, husababisha mimba kutoka. Madaktari hush...
11/01/2024

6.ALBENDAZOLE

Dawa hii hutumika kutibu minyoo lakini ikitumiwa na mama mjamzito, husababisha mimba kutoka. Madaktari hushauri kutumika kwa dawa nyingine mbadala kutibu minyoo mfano mebendazole lakini siyo Albendazole.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na daktari kwa ushauri.
Whatsapp no 0719530716

5.FUROSEMIDE.Hii ni dawa inayotumika kurekebisha kiwango cha maji mwilini kwa kushusha ongezeko la maji nje ya mfumo hus...
10/01/2024

5.FUROSEMIDE.

Hii ni dawa inayotumika kurekebisha kiwango cha maji mwilini kwa kushusha ongezeko la maji nje ya mfumo husika wa damu au kufidia maji yanayopotea kupitia mkojo au jasho. Pia hutibu shinikizo la damu (presha). Dawa hii haitakiwi kutumiwa na mama mjamzito.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na daktari.
Whatsapp no 0719530716

4.PraziquantelHii ni dawa inayotumika kutibu minyoo inayopatikana sehemu za maji yaliyotuama. Dawa hii ni hatari kwa waj...
09/01/2024

4.Praziquantel

Hii ni dawa inayotumika kutibu minyoo inayopatikana sehemu za maji yaliyotuama. Dawa hii ni hatari kwa wajawazito kwani huingilia mfumo wa ukuaji wa mtoto.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na daktari
Whatsapp no 0719530716

3)AspirinHii ni dawa ambayo hutumika kupunguza maumivu (pain killer). Dawa hii ni hatari kwa mama mjamzito kwa sababu hu...
08/01/2024

3)Aspirin

Hii ni dawa ambayo hutumika kupunguza maumivu (pain killer). Dawa hii ni hatari kwa mama mjamzito kwa sababu husababisha kuvuja kwa damu nyingi hasa k**a mama akipata matatizo ya uzazi k**a vile placenta previa. Hivyo dawa hii haitakiwi kabisa kutumika kipindi chote cha ujauzito

Wasiliana na daktari kwa ushauri zaidi
Whatsapp no 0719530716

2) MisoprostolHii ni dawa ambayo ipo kwenye kundi la prostaglandins analogue, ambazo hutumika kuongeza njia ya mlango wa...
07/01/2024

2) Misoprostol

Hii ni dawa ambayo ipo kwenye kundi la prostaglandins analogue, ambazo hutumika kuongeza njia ya mlango wa uzazi kipindi cha kujifungua. Pia hutumika kutibu vidonda vya tumbo. Hii ni hatari kwa mama mjamzito kwa sababu husababisha mimba kutoka (miscarriage).

Wasiliana na daktari kwa maelezo zaidi.
Whatsapp no 0719530716

Dawa Hatari Kwa Mama Mjamzito:1.DAWA YA MSETOHii ni dawa inayotibu malaria. Dawa hii ni hatari sana inapotumika kipindi ...
05/01/2024

Dawa Hatari Kwa Mama Mjamzito:

1.DAWA YA MSETO

Hii ni dawa inayotibu malaria. Dawa hii ni hatari sana inapotumika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito (first trimester). Dawa hii huingilia ukuaji wa maumbile ya kwanza ya mtoto na kusababisha mwanamke mjamzito kuwa kwenye hatari ya kujifungua mtoto ambaye hajakamilika.

04/01/2024

DALILI ZA KIFAFA CHA MIMBA(ECLAMPSIA)
1.Shinikizo la damu kuwa kubwa
2.Maumivu ya kichwa
3.Kuvimba uso na mikono
4.Kupata shida wakati wa kukojoa
5.Kuongezeka uzito
6.Matatizo ya kuona nk

Wasiliana na daktari kwa ushauri na tiba
Whatsapp no 0719530716

Address

Morogoro

Telephone

+255762480637

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaCheck posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share