SUGECO Tanzania

SUGECO Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SUGECO Tanzania, SUA-SAEBS Building, Morogoro.

The Sokoine University Graduates Entrepreneurs Cooperative (SUGECO), affiliated with Tanzanian universities such as the Sokoine University of Agriculture (SUA), aims to promote agribusiness development and innovation amongst Tanzanian youth entrepreneurs.

01/01/2025

Dear Food Science Graduates,As you embark on this exciting new chapter of your journey in Germany, ✈️ we want to extend ...
01/01/2025

Dear Food Science Graduates,

As you embark on this exciting new chapter of your journey in Germany, ✈️ we want to extend our heartfelt congratulations and best wishes. Your dedication, hard work, and passion for advancing food science have set you on a path to success, and we are incredibly proud of all you have accomplished.

Germany is known for its innovation and expertise in the field of food science, and we are confident that you will not only learn and grow in this new environment but also contribute your knowledge and skills to making a meaningful impact. The experiences and challenges that lie ahead will undoubtedly shape you into experts in your field, and we have no doubt you will continue to inspire those around you.🌍

As you begin this exciting adventure, always remember the foundation of knowledge you’ve built here. Stay connected with your roots, continue to pursue excellence, and take every opportunity to grow both professionally and personally🌱

We wish you all the best in your work contracts and future endeavors. Safe travels and may success follow you every step of the way!⭐

For more details and application contact us
0677075570

Bixter.training
Sokoine University of Agriculture
Wizara ya Kilimo
CRDB Bank Plc


SUGECO is making a significant impact by equipping beneficiaries of the CAMFED Programs with essential skills. Training ...
16/12/2024

SUGECO is making a significant impact by equipping beneficiaries of the CAMFED Programs with essential skills. Training on value chain development, climate-smart agriculture, entrepreneurship, and marketing will undoubtedly enhance their capacity to build sustainable livelihoods and strengthen their economic opportunities.

These skills will empower them to adapt to climate challenges, improve agricultural productivity, access markets more effectively, and start or expand businesses with resilience and innovation

CAMFED - Campaign for Female Education Wizara ya Kilimo

Picha ya pamoja ya vijana 26 kutoka vyuo mbalimbali nchini wanaosafiri kwenda Denmark, Ujerumani na Sweden kwa ajili ya ...
03/12/2024

Picha ya pamoja ya vijana 26 kutoka vyuo mbalimbali nchini wanaosafiri kwenda Denmark, Ujerumani na Sweden kwa ajili ya kupata mafunzo kwa vitendo chini program ya internship inayoratibiwa na SUGECO kwa kushirikiana na CRDB bank Foundation kupitia program ya imbeju. Tukio la kuwaaga lilifanyika makao makuu ya benki ya CRDB jijini Dar es Saam na kuhudhuriwa na Waziri ofisi ya waziri Mkuu vijana, Kazi, ajira, na wenye ulemavu Mh. Ridhiwani Kikwete.

Bixter.training Wizara ya Kilimo Sokoine University of Agriculture Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia CRDB Bank Plc

7 Novemba, 2024 SUGECO imezindua mradi wa miaka mitatu wenye lengo la kuimarisha uzalishaji wa mazao ya bustani kibiasha...
08/11/2024

7 Novemba, 2024 SUGECO imezindua mradi wa miaka mitatu wenye lengo la kuimarisha uzalishaji wa mazao ya bustani kibiashara.
Mradi unatekelezwa chini ya program ya Beyond Farming Collective (BFC) kwa ufadhili wa Bill and Melinda Gates Foundation na unatekelezwa Kijiji cha Lubungo, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro.

Akizungumza wakati wa uzinduzi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewataka vijana kuchangamkia fursa hii ya uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kukifanya Kijiji cha Lubungo kuwa mfano katika uzalishaji wa kisasa wa mazao ya bustani.

Naye mkurugenzi wa SUGECO Bw. Revocatus Kimario amesema mradi huu unatarajia kuwafikia vijana zaidi ya 200 na kutengeneza ajira zaidi ya 1000 kwa vijana wengine. Aliwashukuru Bill and Melinda Gates foundation kwa kufadhili mradi pamoja na wasimamizi wa mradi ambao ni Africa Agribusiness Academy, Bopinc na KIT na kusema pia kupitia huu mradi uchumi wa wanalubungo utaimarika hivyo vijana wachangamkie fursa hii ya awe kwenye kilimo biashara.
Wizara ya Kilimo Bopinc

🌱Mtwara: Utekelezaji wa mradi wa kuongeza urejesho na kujenga ustahimilivu kwa jamii zilizoathiriwa na mafuriko Kijiji c...
31/10/2024

🌱Mtwara: Utekelezaji wa mradi wa kuongeza urejesho na kujenga ustahimilivu kwa jamii zilizoathiriwa na mafuriko Kijiji cha Lipalwe A mkoani Mtwara

Awamu hii ya pili ya utekelezaji wa mradi unahusisha kutoa mafunzo ya kilimo shadidi cha mpunga ambapo timu yetu imeungana na baadhi ya wakulima kuandaa kitalu mkeka chenye uwezo wa kupanda eneo la nusu ekari ambapo kitatumika kufundishia wakulima wengine ili waweze kufanya kilimo chenye tija.

Mradi unafadhiliwa na Ubalozi wa Japan kupitia Shirika la UNDP na kutekelezwa na SUGECO.

Wizara ya Kilimo

We wish you the best!For more details and application contact us 0677075570Bixter.training Wizara ya Kilimo CRDB Bank Pl...
31/10/2024

We wish you the best!

For more details and application contact us
0677075570

Bixter.training
Wizara ya Kilimo
CRDB Bank Plc
Sokoine University of Agriculture

Today was the official kick-off to a new and exciting five-year SUGECO-led project spanning seven regions including Moro...
31/10/2024

Today was the official kick-off to a new and exciting five-year SUGECO-led project spanning seven regions including Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe, Ruvuma and Kigoma.

The project launch of the Youth Entrepreneurship for the Future of Food and Agriculture (YEFFA) was held at SUGECO headquarters and drew an audience of more than 100 invited guests as well as media that came to report on the announcement. Many in attendance represented the districts of Morogoro that will directly benefit from the YEFFA project.

Funded by Mastercard Foundation through AGRA, the YEFFA project will be defined by partnership, dedication and collaboration as keys to fostering brighter futures for youth in agribusiness. ⭐

Participants from the nine Districts of Morogoro also in attendance included extension officers, Community Development Officers, Cooperative Officers and Crop Officers from District and Regional levels.

Mastercard Foundation AGRA-Sustainably Growing Africa’s Food Systems.

Mratibu msaidizi wa mradi wa Kilimo Tija (KTP) kutoka SUGECO Bi. Kulwa Laban akizungumza na wananchi kutoka Kijiji cha L...
21/10/2024

Mratibu msaidizi wa mradi wa Kilimo Tija (KTP) kutoka SUGECO Bi. Kulwa Laban akizungumza na wananchi kutoka Kijiji cha Lubungo, Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro kuhusiana na umuhimu wa kuunda vikundi vya vijana ili waweze kuomba mikopo itakayowasaidia kunufaika na huu mradi wa KTP unaotekelezwa na SUGECO.

Mradi umelenga kuwafikia vijana zaidi ya 100 watakaojishuhulisha na uzalishaji wa mazao ya bustani kibiashara.

Mradi unafadhiliwa na Shirika la USAID - US Agency for International Development kupitia
ACDI/VOCA

Zoezi la usambazaji wa vifaa vya kukamilisha ujenzi wa bwawa ikiwemo damliner pamoja na mabomba ya maji  Kijiji cha Lubu...
17/10/2024

Zoezi la usambazaji wa vifaa vya kukamilisha ujenzi wa bwawa ikiwemo damliner pamoja na mabomba ya maji Kijiji cha Lubungo, wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro ambapo mradi wa Kilimo Tija unatekelezwa.
Mradi umelenga kuwafikia vijana zaidi ya 100 watakaojishuhulisha na uzalishaji wa mazao ya bustani kibiashara.

Mradi unafadhiliwa na Shirika la kupitia
ACDI/VOCA

🌱Mtwara: Wiki hii SUGECO imewasili katika Kijiji cha Lipalwe A mkoani Mtwara kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuonge...
15/10/2024

🌱Mtwara: Wiki hii SUGECO imewasili katika Kijiji cha Lipalwe A mkoani Mtwara kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza urejesho na kujenga ustahimilivu kwa jamii zilizoathiriwa na mafuriko.

Awamu hii ya pili ya utekelezaji wa mradi unahusisha kutoa mafunzo ya kilimo shadidi cha mpunga ambapo timu yetu imeungana na baadhi ya wakulima kuandaa kitalu mkeka chenye uwezo wa kupanda eneo la nusu ekari ambapo kitatumika kufundishia wakulima wengine ili waweze kufanya kilimo chenye tija.

Mradi unafadhiliwa na Ubalozi wa Japan kupitia Shirika la UNDP na kutekelezwa na SUGECO.

Wizara ya Kilimo

This week, SUGECO received Peace Corps volunteers for a pre-service health practical training. The session helped them a...
11/10/2024

This week, SUGECO received Peace Corps volunteers for a pre-service health practical training. The session helped them acquire health and nutrition skills that will help them throughout their two-year service in the Tanzanian community. Throughout the training program, they participated in a variety of hands-on activities, such as cooking nutritious food, value addition and site visit to health centers
Peace Corps

09/10/2024


Zoezi la uvunaji wa mbogamboga ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza urejesho na kujenga ustahimilivi kwa ...
07/10/2024

Zoezi la uvunaji wa mbogamboga ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza urejesho na kujenga ustahimilivi kwa jamii zizizoathiriwa na mafuriko mkoani Mtwara.

Mradi unahusisha uwekaji wa miundombinu ikiwemo bwawa la kuhifadhia maji litakalosaidia uzalishaji wa mazao ya bustani kibiashara ikiwemo nyanya, mbogamboga, bamia na bilinganya kwani katika mkoa huo zaidi ya 50% ya mahitaji ya mazao ya bustani yanayoka nje ya Mtwara hivyo kuanzishwa kwa mradi huu utapelekea fursa nyingi za kibiashara kutoka nje ya nchi ikiwemo Komoro.

Mradi unatarajia kufikia vijana na wanawake 210 kutoka Mtwara DC na Halmashauri ya Mji wa Nanyamba.

Mradi unafadhiliwa na Ubalozi wa Japan kupitia Shirika la na kutekelezwa na SUGECO.

Wizara ya Kilimo

Watumishi kutoka Tanzania Commercial Bank (TCB) walipotutembelea wakati wa ziara yao mkoani Morogoro. Tulipata nafasi ya...
07/10/2024

Watumishi kutoka Tanzania Commercial Bank (TCB) walipotutembelea wakati wa ziara yao mkoani Morogoro. Tulipata nafasi ya kuzungumza nao kuhusiana na namna ambavyo wanaweza kukopesha biashara zilizopo kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo ili kuweza kuzalisha ajira nyingi kwa vijana.

Tanzania Commercial Bank

Address

SUA-SAEBS Building
Morogoro
P.O.BOX3223MOROGORO

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00

Telephone

+255 788 817 050

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SUGECO Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to SUGECO Tanzania:

Share