Tiba bora yenye afya

Tiba bora yenye afya Nakusaidia kutatua changamoto yakiafya kwa kutumia virutubisho lishe kutoka kampuni ya BFSUMA.

● *FAIDA ZA VIDONGE VYA ARTHROXTRA*○ Inaboresha na kuimalisha gwegweju kwenye maungio (cartilage)○ Inakuza ufanisi wa uf...
03/04/2023

● *FAIDA ZA VIDONGE VYA ARTHROXTRA*

○ Inaboresha na kuimalisha gwegweju kwenye maungio (cartilage)
○ Inakuza ufanisi wa ufanyaji kazi wa maungio.
○ Huondoa maumivu wa maungio.
○ Ni nzuri kwa waliovunjika mfupa
○ Inarudisha ubora uliopotea wa gwegweju
○ Ni nzuri kwa wanaougua baridi ya bisi
○ Inaongeza uzito wa mifupa

● *VIUNGO*
○ Glucosamine
○ Hydrochloride
○ Chondrotin Sulfate Sodium

● *WALENGWA (WATUMIAJI)*
○ Wenye matatizo ya maungio
○ Wanaofanya kazi za kutumia nguvu na wazee.

● *MATUMIZI*

○ Vidonge 2 mala 2 kwa siku wakati wa chakula.
○ Zitumike angalau kwa miezi 3.🙏
Whatsup no 0753673348

ANATIC SOAPHii ni sabuni isokuwa na kemikali yenye sifa zifuatazo;  huondoa mba, chunusi, mabakabaka kwenye ngozi, miwas...
27/02/2022

ANATIC SOAP
Hii ni sabuni isokuwa na kemikali yenye sifa zifuatazo; huondoa mba, chunusi, mabakabaka kwenye ngozi, miwasho, harufu mbaya n.k

Kwa maelezo zaidi piga, 0629736869 au WhatsApp tuma neno AFYA kwenda 0753673348.

Karibu inbox, tatizo la bawasiri linatibika 0629736869
06/02/2022

Karibu inbox, tatizo la bawasiri linatibika 0629736869

20/01/2022

KARIBU UPATE UTATUZI WA CHANGAMOTO ZAKO ZA KIAFYA KWA KUTUMIA TIBA ASILI ZILIZOBORESHWA ZAIDI PIA ZIMESIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA HAPA NCHINI .

CHANGAMOTO ZITAKAZOTATULIWA NI K**A ZIFUATAZO;;

1. Uvimbe wa tezi dume kwa wanaume

2. Upungufu wa nguvu za kiume
3. Bawasiri
4.UTI sugu,fangasi sugu ,PID
5. Pressure
6.Kisukari Cha aina yote
7.Matatizo yote ya uzazi kwa wanawake / wanaume
8.Matatizo ya ngozi na miwasho mwilini .
9. Na matatizo mengi sana karibu

Karibuni kahawa bora isiyo na caffeine
12/01/2022

Karibuni kahawa bora isiyo na caffeine

*TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO*Vidonda vya tumbo  ni michubuko au makovu yanayotokea ndani ktk kuta za tumbo au utumbo mdogo...
04/01/2022

*TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO*

Vidonda vya tumbo ni michubuko au makovu yanayotokea ndani ktk kuta za tumbo au utumbo mdogo.
Husababishwa na bacteria aitwaye Helicobacter pylori( H. Pylori )ambaye huaribu utando unaokinga kuta za utumbo kutokuharibiwa na tindikali, hivyo husababisha ukuta wa utumbo kuharibiwa na tindikali na kupelekea vidonda ktk kuta hizo za tumbo.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO.
1. Vidonda vya tumbo kubwa: hutokea ndani kwenye tumbo kubwa
2. Vidonda vya utumbo mdogo: hutokea kwenye utumbo mdogo( hasa juu)

SABABU ZINAZOPELEKEA VIDONDA VYA TUMBO.
1. Bacteria aitwaye Helicobacter pylori
2. Tumbo kuunguzwa na kemikali.

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO.
1. Kiungulia au maumivu makali K**a kuungua katikati ya kifua
2. Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
3. Kupata maumivu makali ya tumbo yanayokuwa K**a Moto mkali
4. Kutapika damu
5. Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya Sana.

MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO.
1. Kupata saratani ya tumbo
2. Kuziba kwa njia ya chakula
3. Kuathiri ini na kongosho
4. Kusababisha tundu ktk tumbo nakusababisha tumbo kutoboka kwa ukuta wa tumbo.

SURUHISHO LIPO KWAKUTUMIA VRUTUBSHO LISHE VSIVYO NA KEMIKALI 100%. WASILIANA NAMI
Phone: 0629736869/ 0734590672
WhatsApp: 0753673348

"Better life, better future"
🙏🙏🙏🙏🙏🙏

28/12/2021

TATIZO LA BAWASIRI.
Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingne huota kinyama au uvimbe sehemu ya haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI.
Kuna aina mbili,
1. BAWASIRI YA NDANI: Aina hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, huwa haiambatani na maumivu nawengi huwahawajitambui K**a wanatatzo hili.
2. BAWASIRI YA NJE: hii hutokea eneo la mwisho la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi ktk eneo la tundu hilo pia husababibsha mishipa ya damu kupasuka na damu kuganda.

CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI.
1. Kupata choo kigumu.
2. Kukaa kitako muda mrefu.
3. Gesi kujaa tumboni
4. Magonjwa ya moyo na figo
5. Uzito kupita kiasi
6. Kufanya mapenzi kunyume na maumbile
7. Matumizi ya vyoo vyakukaa kwamuda mrefu

DALILI ZA BAWASIRI.
1. Ngozi kuwasha ktk eneo la tundu la haja kubwa
2. Kupata maumivu makali wakati wakujisaidia
3. Kutoka uvimbe ktk eneo la tundu la haja kubwa
4. Kujitokeza kinyama ktk eneo la tundu la haja kubwa
5. Choo kigumu K**a Cha mbuzi
6. Kutopata choo kwa muda mrefu
7. Kutoka damu wakati wakupata haja kubwa.

MATATIZO YA BAWASIRI.
1. Kupata upungufu wa damu
2. Kupata tatizo lakutoweza kuhimili choo
3. Hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa
4. Kuathirika kisaikolojia
5. Kukosa morali yakufanya kazi kutokan namaumivu makali.

KWA TIBA NA USHAURI ZAIDI WASILIANA NAMI KUPITIA TEL: +255 629736869.
"Tiba bora yenye afya"
By Ephraim Ntakisivya.

Kwa mawasiliano zaidi tel: +255 629736869
27/12/2021

Kwa mawasiliano zaidi tel: +255 629736869

Address

Ushirika Wa Neema
Moshi

Telephone

+255753673348

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba bora yenye afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba bora yenye afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram