29/04/2025
Basi Bwana namshukuru uyu mtu anaitwa Dada Eve alinipigia simu akiitaji kutoa sadaka kwenye kituo chawatoto yatima. Nikampa process yeye anaishi manyara nahakika leo mzigo umenifikia mpk moshi. Hakika watoto hawa watakufurahia. Ngojea wapo class sahizi wanasoma, wakitoka niitishe paredi niwapatie zawadi yao. Ubarikiwe dear wangu
Nakunawengine mnaniulizaga process zakuja kusherekea nao birthday. Dear love kituoni hatuna process yoyote as long as unakuja kurejesha tabasamu na watoto wangu, wewe karibu dear π
Mweee wenyewe wakisikiaga kuna mgeni kaja kuwatembelea au kawatumia zawadi yaani nivurugu hawamsikilizagi mwalimu πΉβna utulivu wanakosaga kapsaaaaaa, bora wale wakubwa kabisa hawana mihemko sanaaa sjui washakua ila hawa wadogo βin short leo ni leo aseee Eve mrembo asante π
Ukihitaji kutoa sadaka yoyote kwayatima hawa basi tupigie MAIKI YA JOLEE 0623816135/0769836681 tupo moshi