Asena Veterinary and Farm Supplies

  • Home
  • Asena Veterinary and Farm Supplies

Asena Veterinary and Farm Supplies Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Asena Veterinary and Farm Supplies, .

11/01/2026
Wana siku nne karibu ujifunze
04/01/2026

Wana siku nne karibu ujifunze

19/04/2025

SOMO LA LEO.
DONDOO ZA UFUGAJI WA NGURUWE.
(a) Faida za kufuga nguruwe.
1.Huzaliana kwa haraka na kwa wingi hivyo kukupatia kipato.
2.Wanavumilia magonjwa.
3.Wanakupatia nyama k**a kitoweo kwa ajili ya familia.
4.Samadi yake yaweza tumika kurutubisha udongo.
5.Bado kuna uhitaji mkubwa sokoni.
(b) Koo za nguruwe.
Kuna koo mbili
1.Nguruwe wa asili(Indignous/local breed).
Nguruwe hawa kwa ujumla wana rangi nyeusi/madoa meusi.
Wana umbo dogo kwa hiyo si wazuri kibiashara.
Hawakuwi haraka hivyo si wazuri kibiashara.
Wanazaa watoto wachache(6-10).
LAKINI:Wanavumilia magonjwa na joto kali.
Wanaweza kuishi kwa kula mabaki ya vyakula.
2.NGURUWE WA KIGENI(EXOTIC BREED).
Nguruwe hawa wana umbo kubwa.
Wanakuwa haraka.
Wanazaa watoto wengi(12-16)
wanauwezo wa kulea watoto.
LAKINI: Hawavumilii magonjwa na joto kali sana.
(c) Vyakula vya nguruwe.
Ukuaji wa nguruwe unategemea sana mlo kamili.
japo ni kweli kwamba ukuaji pia unategemeana sana na ukoo wa nguruwe husika.
Mlo uliokamili kwa nguruwe ni pamoja na maji ya kutosha.
MUHIMU.k**a eneo lako hakuna maji ya kutosha basi kiwango cha chumvi kiwe kidogo sana kwani chumvi nyingi ina madhara kwa nguruwe.
MUHIMU:Fuga kitaalamu uone faida ya ufugaji.
TUMIA MCHANGANUO HUU HAPA CHINI KTK KILO MIA MOJA.
Pumba ya mahindi....69.5kg
Mashudu ya Alzeti.....24kg
Dagaa........................3kg
Mifupa iliyosagwa.......1kg
Chokaaa......................1kg
vitamin premix(Pig boost/nguruwe mix n.k)....1kg
Chumvi..........................0.5kg
MUHIMU:
Lisha nguruwe wako kwa mchanganuo hapo juu kufuatana na:
jinsi ya nguruwe,hali ya nguruwe,umri na uzazi K**A ifuatavyo.
Nguruwe dume(anayepanda) mpe kilo 3/siku.
Nguruwe jike asiye na mimba mpe kilo 2/siku.
Nguruwe anae nyonyesha mpe kilo 2.5/siku na ifikapo siku ya 21 muongezee nusu kilo kwa kila mtoto alie nae.Mfano k**a anawatoto 4 utampa kilo 4.5/siku
MUHIMU:Unashauriwa kugawa mlo huu mara mbili ikimaanisha mlishe nguruwe wako asubuhi na join kuliko kumpa chakula chote kwa mlo mmoja.

16/09/2023
29/06/2023
12/05/2023

TIPS ON PIG FEEDING COST ESTIMATION

Christopher Mulindwa - 10th.05.2023

A pig farmer plans feeding for two categories of pig herds on farm:
1. The reproductive herd: This is the production engine of the farm. It produces either pigs for growing to slaughter or sale to other farmers. The reproductive herd includes; Gilts, Sows and Boars.
2. The commercial herd: Includes all pigs being grown for slaughter on farm including; Weaners, Growers and Finishers.

THE REPRODUCTIVE HERD
The feeding cost plan is divided into 3 sub categories listed below together with their average rations:
- Dry sow diet = (Ration 3kg)
- Gestating sow diet = (Ration 3kg)
- Lactating sow diet = (Ration 6kg)

FEEDS REQUIRED PER PRODUCTION STAGE:
- Dry sows (Average duration from weaning to Insemination is 5 days) = 15kg
- Gestation (Average duration is 114 days) = 342kg
- Lactation (Average duration is 28 days) = 168kg (Fed adlibtum)
- Wastage (Average duration 147 days) = 18kg.

Total: 15+342+168+18 = 525kg

THE COMMERCIAL HERD
The feeding cost plan is divided into 4 sub categories;
- Creep diets
- Starter diets
- Grower diets
- Finisher diets

AGE & AVERAGE QUANTITY CONSUMED.
7 - 4 Wks (500g up to weaning)
4 - 8 Weeks (Ration = 1kg)
8 - 16 Weeks (Ration = 2kg)
16 - 24 Weeks (Ration = 3kg)

AVERAGE QUANTITY OF FEEDS
4 - 8 Weeks (1×28) = 28 Kg
8 - 16 Weeks (28+28) × 2 = 112 Kg
16 - 24 Weeks (28+28) × 3 = 168Kg

Totals: 168 + 112 + 28 = 308Kg.

NOTES:
1. Both low and high protein concetrates can be used to mix all diets mentioned above except creep. Creep is a lactose based diet and should be highly palatable and digestible. It is better to buy it as a complete feed directly from the manufacturer. Nuscience has availed its creep feed:- Babistar safe on Uganda market so can access it from where you buy the concetrates.
2. Realistically, the quantity of feeds consumed by a pig from weaning (If done at 4 weeks) to finishing (24 weeks) is about 270 kilograms where very minimal wastage is experienced. I over estimated quantity consumed between the 8th - 16th week to cover for excessive wastage experienced by most farms in Uganda due to use of improper feed troughs. Infact the total feeds required per finisher sometimes exceed 308 kilograms on most farms.
3. Like seen above, the cost of production per piglet also goes very high where wastage is excessive.
4. The total profit from either selling a piglet or finisher is determined by both price per kilogram of specific complete feeds required at different stages of production or growth and price per piglet or kilogram of pork. The lower the price of feeds, the higher the profit per piglet or finisher sold. The higher the price in market, the higher the profit per piglet or finisher sold.

Quality nutrition is very important for the success of every pig farming business. Making feeds on your farm using Nuscience's nutritional solutions will help you cut feeding costs while availing quality feeds to your pigs. Use the pig 25% concetrate where access to quality Soycake and Sunflower is difficult or the pig 5% concetrate where you have access to quality Soycake and Sunflower.

Nuscience has also introduced creep feed:- Babistar safe on the East African market. This means early weaning is now possible.

To buy the concetrates, please call:
+256 755400170/ +256 776604030
+254 101640023/ +254 792764002

Tuijenge Tanzania Yetu.Let us build our one nation, and one continent.  Mpwapwa MEDIAMpwapwa Yetu
28/03/2023

Tuijenge Tanzania Yetu.
Let us build our one nation, and one continent.

Mpwapwa MEDIA
Mpwapwa Yetu

Je, unahitaji mbegu bora za mahindi, nyanya na mboga za bustani?
Basi fika Asena Veterinary and Farm supplies wauzaji wa pembejeo bora za kilimo na Mifugo.
Tupo Mpwapwa mjini mtaa wa stendi nyuma ya mti mkubwa.
Agricpays Tanzania
Kilimo Biashara TV

Je, unahitaji mbegu bora za mahindi, nyanya na mboga za bustani?Basi fika Asena Veterinary and Farm supplies wauzaji wa ...
28/03/2023

Je, unahitaji mbegu bora za mahindi, nyanya na mboga za bustani?
Basi fika Asena Veterinary and Farm supplies wauzaji wa pembejeo bora za kilimo na Mifugo.
Tupo Mpwapwa mjini mtaa wa stendi nyuma ya mti mkubwa.
Agricpays Tanzania
Kilimo Biashara TV

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asena Veterinary and Farm Supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Asena Veterinary and Farm Supplies:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram