Afya Bora Herbal Clinic

Afya Bora Herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Bora Herbal Clinic, Medical and health, Musoma.

15/03/2026
13/03/2026

JE UNASUMBULIWA NA MIMBA KUTOKA AU KUKOSA KUPATA MIMBA? 🚨

Usikate tamaa! Watu wengi wanapitia changamoto ya mimba kutoka mara kwa mara au kutokushika mimba kwa muda mrefu bila kujua sababu halisi.

⚠️ Sababu zinazoweza kuchangia ni pamoja na:• Maambukizi ya kizazi (PID)• UTI sugu na fangasi• Homoni kutokuwa sawa• Uchafu au maambukizi kwenye mfuko wa uzazi• Mbegu dhaifu kwa mwanaume

❗ Dalili zinazoweza kuonekana:• Maumivu makali ya tumbo la chini• Hedhi inayouma sana• Uchafu usio wa kawaida ukeni• Kukosa mimba kwa muda mrefu

🌿 HERBAL CLINIC tunatoa tiba za asili zinazosaidia:✅ Kuimarisha afya ya kizazi✅ Kupunguza mimba kutoka mara kwa mara✅ Kusaidia kupata ujauzito✅ Kusafisha maambukizi kwenye mfumo wa uzazi

📞 PIGA SIMU: +225 693 245 253

💬 TUMA NENO KUZUIA USHAURI NI BURE!

✨ Usikae na tatizo muda mrefu, pata suluhisho sahihi leo!

Je unajua kuwa UTI sugu inaweza kusababisha utasa kwa wanawake na ugumba kwa wanaume?Watu wengi wanapuuzia maambukizi ya...
06/03/2026

Je unajua kuwa UTI sugu inaweza kusababisha utasa kwa wanawake na ugumba kwa wanaume?
Watu wengi wanapuuzia maambukizi ya njia ya mkojo (Urinary Tract Infection – UTI) na kuendelea kujitibu bila kupata tiba sahihi. Hali hii inaweza kuleta madhara makubwa kiafya k**a:
• Utasa kwa wanawake
• Ugumba kwa wanaume
• Maumivu wakati wa kukojoa
• Maumivu ya tumbo la chini
• Uchafu usio wa kawaida sehemu za siri
• Maambukizi ya mara kwa mara
✅ Pata ushauri na uchunguzi mapema ili kuepuka madhara makubwa.
📍 Tunatoa huduma za uchunguzi na tiba ya:
UTI sugu
Fangasi
PID
Changamoto za uzazi kwa wanawake na wanaume
☎️ Wasiliana nasi leo kwa ushauri na matibabu Kwa namba +225693245253

🔥 USIHANGAIKE TENA NA UTI SUGU NA FANGASI 🔥Je, unasumbuliwa na UTI inayorudi mara kwa mara (Urinary Tract Infection)?Una...
06/03/2026

🔥 USIHANGAIKE TENA NA UTI SUGU NA FANGASI 🔥
Je, unasumbuliwa na UTI inayorudi mara kwa mara (Urinary Tract Infection)?
Unapata maumivu wakati wa kukojoa, mkojo wenye harufu kali, au kuwaka sehemu za siri?
Au unasumbuliwa na fangasi, uchafu unaotoka sehemu za siri, kuwashwa na harufu mbaya?
✔️ Herbal Clinic tunakusaidia kwa dawa za asili zenye ufanisi mkubwa kusaidia matatizo yafuatayo:
• UTI sugu kwa wanawake na wanaume
• Fangasi sehemu za siri
• PID
• Uchafu ukeni
• Maumivu wakati wa kukojoa
• Matatizo ya uzazi na kushindwa kushika mimba
🌿 Tunatumia dawa za asili salama zinazosaidia mwili kupambana na maambukizi k**a Urinary Tract Infection yanayosababishwa na bakteria k**a Escherichia coli.
📞 Wasiliana nasi leo upate ushauri na matibabu. Kupitia namba 0693245253

06/03/2026

Address

Musoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram