07/04/2024
CHANGAMOTO YA MAUMIVU YA MIFUPA NA MAUNGIO , MIGUU KUFA GANZI/KUWAKA MOTO,*
Mwili wa binadamu umeundwa na kushikiliwa na mifupa,
Muunganiko wa mifupa kwa pamoja unaitwa KIUNZI,
Mfumo wa kiunzi cha mifupa cha wanyama KORDATA ni mifupa thabiti inayounganishwa na gegedu ,
Sehemu kuu ya kiunzi cha mifupa ni UTI WA MGONGO unaoshika mifupa yote kwa pamoja kuanzia fuvu la kichwa hadi kwenye mkutaniko wa mifupa ya chini FUPANYONGA,
maumivu ya mifupa hutokea pale gegedu linapoliwa na kusagika, uteute unaosaidia kutembea kwa urahisi unapozalishwa kwa uchache,
Ligaments zinaposhindwa kushikilia maungio k**a vile kukunja na kunyooka kwa goti,
Uroto (bonemarrow) unapopungua kwenye mifupa,
Maumivu ya mifupa hutokana na mambo mbalimbali k**a
1.Uzito mkubwa unaosababisha kulika kwa gegedu na hatimaye mifupa kuanza kusagana ,na mwisho punjepunje za msagiko huingia kwenye damu na kusababisha kuchomachoma kwenye sehemu mbalimbali za mwili hususani miguu,
2.maambukizi ya wadudu mbalimbali ambao hutafuna mifupa ,ligaments,gegedu,na kunyonya uteute (synovial fluid),
3. Umri , kadri umri unavyokuwa mkubwa gegedu linapungua ubora, ligaments inayoshikilia maungio inakaza, kuzalishwa kwa uteute kwenye maungio kunapungua,
Uroto unakuwa kidogo na uzalishwaji wa seli kwenye mifupa unapungua,
Wenye uzito mkubwa ni wahanga zaidi katika matatizo ya mifupa
Kufa ganzi ,kupalalaizi ni matokeo ya uharibifu wa UTI WA MGONGO ambao unatunza ndani yake neva za UGWE MGONGO zinazofikisha amri za ubongo mwilini mwote, uharibifu wowote husababisha sehemu fulani za kushindwa kupokea taarifa za ubongo ,
Damu kuchafuka au kufika kwa uchache husababisha ganzi,
Mifupa legelege ni ukosefu wa madini mhimu k**a kalsi na fosfati ,
Matatizo ya mifupa huwa hayaonekani haraka lakini hukomaa polepole na madhara yake ni makubwa yakiachwa kukomaa ,
SULUHISHO
Nimekuandalia package ya Virutubisho ambayo vitaenda kumaliza changamoto yako moja kwa moja bila tatizo kujirudia.
Kwenye hii combination hapa ofisini Tuna virutubisho vya makundi ma nne (Freedom, omega 3, calcium na arg+)
Umuhimu wa kutumia kila kirutubisho
1. Freedom
Hiki ni kirutubisho Bora sana ambacho kitaenda kufanya kazi zifuatazo
_Hurejesha Ute Ute(synovial fluid) na kusaidia cartilage tissue isilike na mifupa isigusana
_Husaidia mifupa isichakae
_Husaidia mifupa iliyovunjika kuunga vizuri na haraka
_husaidia kuimarisha mifupa
2. Omega-3
Hiki ni kirutubisho Bora ambacho kitaenda kusaidia-
_ Husaidia Kuondoa maumivu kwenye maungio na mwili mzima
_Husaidia kuondoa vimbe kwenye maungio (joints)
_Husaidia kuondoa kukak**aa kwa mishipa ya damu Kuna wengine wanapata hii shida sababu ya kukak**aa kwa mishipa ya damu
_Husaidia kuondoa mafuta mabaya (bad cholesterol) kwenye mishipa ya damu.
3 Calcium
Haya ni madini muhimu Sana ambayo yanatakiwa pia kwa mtu ambae anapitia changamoto ya joints kwa sababu madini ya calcium yanasaidia sana kuimarisha mifupa na kuwa imara zaidi kwasababu Kuna wengine wanapitia hii changamoto kwasababu mifupa Yao ni midhaifu
4. Arg plus
Hiki ni kirutubisho Cha mwisho ambacho ningependa kukushauri uweze kupata wewe unaye pata shida ya ganzi kwani kitaenda kufanya kazi zifuatazo _
_Itatanua mishipa ya damu na kurekebisha msukumo wa damu hivyo kusaidia afya ya moyo na magonjwa ya moyo pamoja na presha.
_itasaidia kwenye kujenga mifupa na misuri hasa hasa wale waonafanya mazoezi sana.
_ Husaidia mwili kutengeneza homoni zinazopunguza kuzeeka kwa haraka kupitia umri wako
NB.k**a una uzito uliyopitiliza lazima unifahamishe tuanze na program ya kupunguza uzito ndipo ufate na program ya joints.
Karibu sana ujipatie package yako uweze kuondokana na kero unazopitia wapo watu wengi ambao wametumia hii program na imewasaidia naamini ata kwako ukipata hii program utatatua changamoto yako
Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma sms yoyote kupitia namba
*Tunaendeleya na kipindi Cha afya*