JP UZAZI

JP UZAZI Maliza sasa tatizo la uzazi ndani ya muda mfupi. Kupitia eliminate ya vyakula. Nimewasaidia wanawake 500+

Uchafu wenye harufu mbaya ulimtesa kwa muda mrefu   Baada ya kutimia Woman Care changamoto ikaisha kabisa    Unajua nini...
11/10/2025

Uchafu wenye harufu mbaya ulimtesa kwa muda mrefu

Baada ya kutimia Woman Care changamoto ikaisha kabisa

Unajua nini kilifata

Mwezi mmoja tu baada ya kuolewa ameshika na ujauzito 🫄🤰🫄kabisa.

Woman Care ni kiboko...

Hata wewe unaweza kupata matokeo makubwa k**a Mpendwa

Jinsi Woman Care Ilivyobadilisha Maisha Ya Elizabeth...Mpaka Hospitali Walikuwa Washamzoea...Alikuwa anasumbuliwa sana n...
30/06/2024

Jinsi Woman Care Ilivyobadilisha Maisha Ya Elizabeth...

Mpaka Hospitali Walikuwa Washamzoea...

Alikuwa anasumbuliwa sana na uti...

Uchafu unaoambatana na miwasho kila wakati...

Woman care imemuondolea aibu !

Mpaka alishindwa kukaa na watu kwa sababu ya kuwashwa...

Hakuwa anafurahia tendo kwa sababu ya Maumivu aliyokuwa anapata wakati wa tendo.

Maumivu makali ya kiuno na mgongo yalimtesa sana

Kiufupi alikuwa mtu wa kuumwa kila siku

Kwa sasa changamoto zote zimeisha

Mpaka

Anatamani apate dozi nyingine atumie tuu.

Kwa nini nimekupa Story hii...Ni kwa sababu tu najua na wewe una pitia shida alizokuwa nazo Elizabeth

Ngoja kwanza

Ebu angalia kwanza shuhuda yake kisha unipigie na upate suluhisho la tatizo lako
0754977803
0714977803

Jilinde dhidi ya UTI📌Safisha njia ya mkojo kila baada ya kukojoa na kufanya tendo la ndoa.📌Unapojisafisha mkono uanzie k...
18/06/2024

Jilinde dhidi ya UTI

📌Safisha njia ya mkojo kila baada ya kukojoa na kufanya tendo la ndoa.

📌Unapojisafisha mkono uanzie kwa mbele kabisa umalizie kwa nyuma,sio unaanzia nyuma,ukianzia nyuma rahisi kugusa Njia ya haja kubwa,ukabeba vidudu na kuleta ukeni na kwenye njia ya mkojo utapata u.t.i

📌Vaa nguo za ndani asili ya pamba na zisizobana sana kuacha hewa ya kutosha ili kupunguza maambukizi.

📌Usibane mkojo kila unapojisikia kwenda haja.

📌Kunywa maji mengi kiasi cha glasi 6 mpaka 8 itakusaidia kukojoa mara kwa mara na hupunguza maambukizi katika njia ya mkojo.

📌Nenda haja ndogo baada ya tendo la ndoa.

K**a umependa makala hii share na marafiki.

[SIRI] Itakayo kusaidia Kuongeza Joto Ukeni...Uwepo wa joto ukeni huongeza msisimko kwako na kwa mwenza wako.Hii ni kibo...
15/06/2024

[SIRI] Itakayo kusaidia Kuongeza Joto Ukeni...

Uwepo wa joto ukeni huongeza msisimko kwako na kwa mwenza wako.

Hii ni kiboko kabisa.

Mahitaji
Unga wa pili pili manga.

Matumizi.
Koroga kijiko kimoja kidogo kwenye uji ujazo wa kikombe cha chai.

Kunywa kikombe kimoja asubuhi na kimoja jioni.

Tumia kwa wiki moja.

🚫Mjamzito asitumie.
🚫Mwenye vidonda vya tumbo asitumie.

Wasiliana nami muda huu ujipatie ofa yako
0 7 5 3 9 7 7 8 0 3
0 7 1 4 9 7 7 8 0 3
Mission,Mwanza

Wivina Alitafuta Ujauzito Kwa Miaka 12 Bila Mafanikio....Mpaka pale alipokutana na huduma zetu.Wala haujakosea kusoma ``...
10/06/2024

Wivina Alitafuta Ujauzito Kwa Miaka 12 Bila Mafanikio....

Mpaka pale alipokutana na huduma zetu.

Wala haujakosea kusoma ``narudia kwa miaka 12 alitafuta Ujauzito``

Aliangaika sana

Alitumia sana madawa ya hospitali...

Supplements k**a zote bila ya mafanikio

Na sababu Kubwa iliyomfanya ashindwe kushika ujauzito ni hormonal imbalance (mvurugiko wa homoni)

Haikuwa rahisi kumuaminisha k**a tatizo lake linaweza kuisha na akashika ujauzito

Mwisho wa siku !

Akanielewa na akaanza kutumia Woman care kwa imani kubwa..

Hivi nnavyokwambia Wivina ni mjamzito

Hakika Mungu ni mwema

Hizi Hapa [Dalili] Za Uvimbe Kwenye Kizazi (Fibroid/Myoma)...Mpendwa Mwanamke !!✓Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katik...
10/06/2024

Hizi Hapa [Dalili] Za Uvimbe Kwenye Kizazi (Fibroid/Myoma)...
Mpendwa Mwanamke !!

✓Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi..
✓Maumivu makali😫 ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..
✓Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
✓Maumivu wakati wa tendo la ndoa
✓Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
✓Maumivu makali wakati wa hedhi
✓Kubleed damu yenye mabonge mabonge ambayo inaweza kutoka kwa muda mrefu.

Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo...
✓Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
✓Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo.
✓Haja kuwa ngumu (Kupata choo kikubwa kwa shida)
✓Miguu kuvimba
✓Kupungukiwa damu

Matibabu Sahihi...
Wanawake wengi wanaofanyiwa upasuaji kwa ajiri ya kuondoa uvimbe bado wanakuwa kwenye hatari ya kupata uvimbe kwa wakati mwingine...

Ndiyo Maana !!
Tunakupa tiba ya kumaliza tatizo la uvimbe kwenye kizazi bila ya upasuaji...

JP Uzazi ndiyo mkombozi wako... JP Uzazi inatokana na mimea asilia na vyakula asilia.

JP Uzazi inakusaidia kuondoa uvimbe bila upasuaji hivyo hautakuwa na muda wa kuuguza kidonda ina maana ukiwa kwenye dozi unakuwa na uwezo wa kufanya shughuli zako nyingine...

JP Uzazi haina athari yoyote kwenye muonekano wako kwa maana haitakuachia kovu ina maana utaendelea kuonekana vizuri.

Dozi ya JP Uzazi inatumika kwa mwezi mmoja.
Gharama ya dozi hii ni Tshs 350,000

Fanya malipo yako kupitia...
1️⃣NMB acc
3 2 9 1 0 0 2 3 4 4 7
(Josephat Pascal Mndevu)
AU
2️⃣Tigo pesa
0 7 1 4 9 7 7 8 0 3 (Josephat Pascal Mndevu)

Baada ya kufanya malipo tuma majina yako na sehemu ulipo.

Je Unajiuliza Unapataje Dozi Yako...?
🛒Kwa walio Mwanza tunafanya delivery (🆓delivery)

🛒K**a upo nje ya Mwanza unatumiwa dawa yako kwa uaminifu mkubwa na bila ya ongezeko la gharama za usafirishaji
(🆓 delivery)
..✍️
Dr Josephat
0 7 5 3 9 7 7 8 0 3
0 7 1 4 9 7 7 8 0 3
Mission
Mwanza

Helooo !!Nani Mwingine Anatokwa Na Uchafu Mwingi K**a Hivi...?Kwa hali hii unawezaje kumvulia👙 mwenza wako...?      Kwa ...
10/06/2024

Helooo !!

Nani Mwingine Anatokwa Na Uchafu Mwingi K**a Hivi...?

Kwa hali hii unawezaje kumvulia👙 mwenza wako...?

Kwa sababu hapa akiingiza tu lazima atoke naoooo😳😳

Unakuta unaambatana na harufu mbaya.!!

Mtu yupo kwenye hali k**a hii alafu anakwambia anatafuta ujauzito...

Hakuna mbegu ya kiume inayoweza kukatiza kwenye uchafu k**a huo na ikaendelea kuwa hai😁😁

Hali itazidi kuwa mbaya..

K**a Utaendelea kukaa na tatizo hili kwa muda mrefu..

Wasiliana nami muda huu ujipatie suluhisho la tatizo lako.
.....✍️
0 7 5 3 9 7 7 8 0 3
0 7 1 4 9 7 7 8 0 3

Kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri ni chanzo kikubwa cha matatizo ya fangasi.Jitahidi kuanika juani☀️,Pia ni ...
27/04/2024

Kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri ni chanzo kikubwa cha matatizo ya fangasi.

Jitahidi kuanika juani☀️,Pia ni vizuri ukavaa nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba(cotton) kwa sababu zinauwezo wa kuzuia unyevunyevu na pia zinapitisha hewa vizuri.
👙☀️☀️👙👙

✍️ DrJosephat
0 7 5 3 9 7 7 8 0 3
0 7 1 4 9 7 7 8 0 3
M i s s i o N
M w a n z A

11/04/2024

*Ukavu Wakati Wa Tendo Unawezwa Kusababishwa Na Vitu Vifuatavyo;*

1️⃣Maandalizi yasiyotosheleza kabla ya kujamiana husababisha uke kuwa mkavu maana mwanamke anakuwa hayuko tayari kiakili kufanya tendo la kujamiiana.

2️⃣Kukauka kwa uke katika umri wa ukomo wa hedhi huwa ni kiashiria cha ukomo wa hedhi kwa mwanamke.

3️⃣Lakini k**a uke unakauka na haupo kwenye ukomo wa hedhi uwa ni tatizo la Afya ambalo huweza kuchangiwa na fangasi katika uke na kutokukaa sawa kwa homoni (hormonal imbalance) kwa mwanamke.

4️⃣Kutokuwa na hisia wakati wa tendo la ndoa pia kutokuwa na mapenzi na mwanaume unayeshiriki naye tendo la ndoa.Yote husababisha uke kuwa mkavu

5️⃣Ufanyaji wa tendo la ndoa kwa muda mrefu mfano masaa mawili.
Pia msongo wa mawazo kwa Mwanamke na kutokuwa na utayari kiakili na kimazingira na tendo lile la ndoa.


*Nini Ufanye...❓*
🚨Kwanza k**a unatumia vilainishi mbali mbali ukeni acha tabia hiyo.
🚨Epuka matumizi holela ya uzazi wa mpango ikiwemo na P2
🚨Ukiwa na infection jitibie vizurii
🚨Hakikisha mnaandana vizuri wewe na mwenzi wako.

Ukiwa na tatizo sugu na kwa muda na unataka kuenjoy haraka tendo la ndoa,
Unaweza kupata dozi ya kumaliza tatizo k**a utakuwa na shida ya fangasi au homoni.
🚨Dozi ya Woman care itakusaidia kumaliza kabisa changamoto yako.
....✍️
0 7 1 4 9 7 7 8 0 3
0 7 5 3 9 7 7 8 0 3

Ameshika ujauzito baada ya kutumia Sindano za uzazi wa mpango kwa miaka 12Mpendwa wetu alitumia sindano za uzazi wa mpan...
27/11/2023

Ameshika ujauzito baada ya kutumia Sindano za uzazi wa mpango kwa miaka 12

Mpendwa wetu alitumia sindano za uzazi wa mpango wa muda wa miaka kumi na mbili (12).

Kwenye kipindi chote hiko cha miaka 12 alibahatika kuona hedhi kwa miaka miwili tu yani alikaa miaka kumi (10) bila ya kuona damu ya hedhi.
Sambamba na hilo alikuwa anasumbuliwa na fangasi kwa muda mrefu....!

Baada ya kunieleza changamoto yake shida ikawa kwenye hormonal imbalance na fangasi hivuo nilimshauri kutumia WOMAN CARE na JP FERTILITY BOOSTER

Baada ya kumaliza dozi ya Woman care na JP Fertility Booster Mwenyezi Mungu amembariki kushika ujauzito baada ya kutumia sindano za uzazi wa mpango kwa miaka 12.

Mapacha wengine kutoka   ARUSHA.. 👼👼Hii ni baada ya KUTAFUTA UJAUZITO KWA MIAKA MINNE (4)Mwaka Jana Mpendwa alinitafuta ...
27/11/2023

Mapacha wengine kutoka ARUSHA.. 👼👼Hii ni baada ya KUTAFUTA UJAUZITO KWA MIAKA MINNE (4)

Mwaka Jana Mpendwa alinitafuta na kunieleza🗣️
Ndoa yake anaiona chungu kwa sababu ametafuta ujauzito kwa muda mrefu bila mafanikio😭😫😭

Ilifikia hatua mpaka kuchukia MSOSI WA USIKU 😖😖kutokana na maumivu makali aliyokuwa anapata sambamba na kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya.

Hamu ya CHAKULA CHA USIKU ikapotea kabisa😭 Mzunguko wa hedhi ulikuwa haueleweki kabisa....

Nikamshauri mambo mengi na akachukua hatua ya kutumia *WOMAN CARE*

Na k**a ilivyosaidia WANAWAKE wengi waliokuwa na matatizo k**a yake alipata matokeo makubwa na UJAUZITO juu na Mwenyezi MUNGU ammebariki na MAPACHA juu alafu WOTE WA KIKE😁😋😁

NDIYO kwako pia inawezekana kupata matokeo Mazuri na hatimae kuitwa MAMA

Utajisikiaje Ukifunga Mwaka Huku Ukiwa Umepata Hitaji La Moyo Wako.....?...Ndio basi hivyo ndivyo Mpendwa wetu kutoka Mb...
27/11/2023

Utajisikiaje Ukifunga Mwaka Huku Ukiwa Umepata Hitaji La Moyo Wako.....?
...Ndio basi hivyo ndivyo Mpendwa wetu kutoka Mbeya anavyofurahiaaaa ....🥳🥳🥳

Mpendwa wetu ameteseka na Fangasi kwa muda mrefu sanaaa kiasi cha kupelekea mpaka kuwa na PID......

Changamoto hizi zilimfanya ashindwe kabisaa kushika ujauzito......

Unajua nini....? Kwa sasa Mpendwa wetu analea baby girl....hakika Mungu ni Mwema...

Hii ni baada ya kutumia dozi ya Woman care.

📌Popote Ulipo Utatumiwa Dawa Yako Bila Ongezeko La Gharama Za Usafirishaji (Free Delivery)
📌📌Pia K**a Una Mtu Wako Wa Karibu Yupo Mwanza Anaweza Kufika Ofisini (Mission,Mwanza) Kuchukua Dawa Yako......

Kwa Mawasiliano Zaidi
0753977803
0714977803
Mission,Mwanza

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JP UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share