
13/08/2023
OFA OFA Na JAKAYA AFYA care.
🩸PID inatibika na afya care
Kalumbilo Afya care kwa mara nyingine inatoa OFA kwa wanawake watakao pata TIBA ya kuduma ya PID pamoja na ushauri kwa maswala yote ya uzazi wa wanawake kwa punguzo la 50%
🩸P.I.D ni ugonjwa unaoambukizwa na bacteria ambapo kirefu chake ni pelvic inflammatory desease (Maambukizi ya bakteria katika via vya uzazi wa mwanamke)
🩸DALILI ZA P.I.D
1.kutokwa na uchafu k**a maziwa
2.uke kua mkavu
3.kukosa hamu ya tendo la ndoa
4.harufu
5.kupata maumivu chini ya kitovu,upande wa kulia na kushoto wa tumbo
6.kupata maumivu ya kiuno na mgongo
7.kua na hedhi isiyonampangilio maalumu
8.miwasho
9.dalili za mimba
10.hormone imbalance
11.maumiv wakati wa tendo na kutokwa na damu
🩸CHANZO CHA PID
1.kutumia vidonge vya P2
2.Njia za uzazi wa mpango
3.mapenzi na wanaume wengi au mwanaume mwenye wanawake wengi anaweza kuambukiza huu ugonjwa kwasabab wao wanasambaza bacteria (Ngono zembe)
4.kutumia vyoo vya kushea (vyoo vya kuchangia na watu wengi)
5.vidonge vya majira
6.kuvaa pedi kwa muda mrefu
7.kunawa kwa kutumia vitu vyenye kemikali mfano.. sabuni au kufanya mapenzi na kutumia vilainishi hususani mate
8.kutoa mimba
9.kujifungua bila kusafishwa vizuri
🩸MADHARA YA P.I.D
1.kansa ya kizazi
2.kuziba mirija ya kizazi (changamoto ya kutoshika mimba)
3.kupata uvimbe
4.kansa ya uke na saratani ya shingo ya kizazi
5.kukosa ute ute ukeni wa ovulation au uke kua mkavu
6.kutokushika mimba au kushika mimba na mimba kuharibika
7:hormone imbalance(mvurugiko wa homoni)
Suluhisho ya changamoto hii ya P.I.D ipo kwetu na inatibika kikamilifu
Karibu tukuhudumie.🙏🙏
Number za ofisi ni:
📍0629038096..0781060006
🩸Tunapatikana Mwanza na Dar es salaam na pia kwa mikoa yote tunamawakala.
🩸Zingatia kua huduma zote zinatolewa kwa kupiga simu au kwa kupigiwa simu kutoka kwenye namba zetu za ofisi za watoa huduma wetu ni lazima uongee nao wajue tatizo lako na sio kwa kuchati!
🩸JAKAYA Afya care TUNAIJALI na KUILINDA AFYA YAKO😇🙏