TIBA ZA UZAZI

TIBA ZA UZAZI Tunawahudumia wenye matatizo yote ya UZAZI kwa wakina MAMA.

31/12/2025
Ndugu Mteja wetu, tunapomaliza mwaka huu, tungependa kutoa shukrani zetu za dhati kwako kwa kuwa nasi mwaka mzima. Asant...
31/12/2025

Ndugu Mteja wetu,

tunapomaliza mwaka huu, tungependa kutoa shukrani zetu za dhati kwako kwa kuwa nasi mwaka mzima.

Asante sana kwa kuendelea kutuamini na kutupa nafasi ya kukuhudumia. Tunathamini sana ushirikiano wako na tunatazamia kuendelea kukupa huduma bora zaidi katika mwaka mpya. .

Heri ya Mwaka Mpya!"

Kumbuka kesho ndio siku pekee nitatoa ofa ya kipekee na kuwasaidia watu 10 pekee wenye changamoto mbali sugu k**a vile PID, kutokwa na uchafu ukeni, fangas ( miwasho ukeni) na uti sugu ,na homoni imbalance (kukosa hedhi) kwa TSH 25 000. ofa hii itatumika kwa siku ya lesho tu na baada ya hapo bei zitakuwa kuanzia laki moja na kuendelea
Bonyeza neno chart +255754037407

30/12/2025

*Namna AmbavyoAnafurahia Kupona PID Na Kubeba Ujauzito Na Kufanya Ndoa Yake Kuwa Na Amani*

⏭️Nakumbuka Ilikua Mwaka Huu Mwezi Wa Pili Nikiwa Katika Majukumu Yangu Nikapigiwa Simu Na Dada Moja Akajitambulisha Naitwa Ester Niko Mtwara Naomba Kuongea Nawewe Nina Shida Sana Huku Analia😭😭.

⏭️Nikamwambia Kwa Sasa Nina Majukumu Sitakusikiliza Vizuri Ila Jioni Nitakupigia Mwenyewe, Akasema Dada Usisahau Kunipigia.

⏭️Jioni Nilimpigia Simu Nkamwambia Karibu Ester, Basi Akaanza Kujielezea M Niko Kwenye Grup Lako La Afya Naona Huduma Zako, Naomba Unisaidie Namimi Nateseka Sana Mwanamke Mwenzio Lakini Akawa Bado Analia😭.

⏭️Nikamwambia Ili Nikusaidie, Amini Kila Tatizo Lina Jawabu Lake Na Umshukuru Mungu Bado Wewe Unaongea, Nyamaza Ongea Tuelewane.

⏭️Ester Akajibu Sawa Dada Rahel Mimi Nina PID Sugu, Nmeolewa Mwaka Wa Tatu Sipati Mimba, Mwanaume Kanirudisha Kwetu Hataki Hata Kuniona😭😭 Nmetibiwa Sana Hospitali Lakini Sijapona, Nmeenda Mpaka Kwa Waganga Wa Kienyeji Lakini Hamna Kitu Mpaka Nmekata Tamaa Naona Nmeachika Mimi🥹 Hata Mumewangu Nikimwambia Kuhusu Matibabu Hawezi Kunipa Hela Mana Katumia Hela Nyingi Kunitibu Sijapona.

⏭️ Nikamuulza Unataka Nikusaidieje Ester Na Umesema Umekataa Tamaa? Akajibu Naona Wenzangu Unaowasimamia Wanapata Matokeo Naomba Unisaidie Na Mimi Nipone. Kuna Dada Moja Alitoa Shuhuda Kwenye Grup Nmempigia Simu Akasema Amepona Ndo Nimeanza Kuamini Mana Mtandaoni Kuna Matapeli.

⏭️Nkamwambia Sawa K**a Upo Tayari Taratibu Za Programu Zetu Unazijua Lipia, Akasema Dada M Sina Kazi Nilikua Namtegemea Mwanaume Naomba Nilipie Robo Dozi Nianze Nitakua Naongeza Mpaka Nipone.

⏭️Akalipia Package Ikafika Mtwara Nikaanza Kumsimamia Kwa Miongozo Maalumu, Akaanza Kupata Matokeo.

⏭️Mwezi Huu Amenipigia Simu Analia Tena, Nkamuulza Shida Nini Kipenz Akanijibu Leo Nalia Kwa Furaha Nmekutafuta Sana Ile Namba Ya Halotel Hupatikan Nkapewa Hii Ya Tigo, Sina Simu Kubwa Iliharbika Nngekutumia Ujumbe Watsap, Akasema Dada Nimepona PID Sio Kupona Tu Nina Ujauzito Rahel Natetemeka Siamini, Nina Furaha Isiyoelezeka, Mumewangu Yupo Njiani Ananifata Na Ananiletea Simu Kubwa Nije Kushea Namimi Shuhuda Yangu😊.

⏭️Ilikua Saa Nne Asubuhi Kiukwel Siku Yangu Ilikua Nzuri Nilimshukuru Mungu Kwa Baraka Zake🙏.

Inawezekana Nawewe Upo K**a Ester Umeteseka, Umetumia Garama Nyingi, Ndoa Haina Amani, Umekata Tamaa.

⏭️Magonjwa Ya Afya Ya Uzazi Yanatibika Chukua Hatua Mapema Pata Usimamizi Mzuri Utapona.

*Leo Natoa Nafasi Tatu Kwa Wanawake Siriazi Ambao Wanahitaji Usimamizi Wetu Ili Wapone Na Kurejesha Furaha Zao*

Bonyeza Kitufe Cha Whatsap Kuingia Kwenye Grup
Nitakupigia Simu Kuongea Nawewe Nione K**a Una VIGEZO Vya Kujiunga Na Usimamizi Wetu

*Ofa Hii Inadumu Ndani Ya Masaa 24 Tu Kuanzia Sasa*

*Habari na karibu sana Dr.enock health care@ — Tafadhali nieleze changamoto yako ili niweze kukusaidia Au bonyeza link h...
28/12/2025

*Habari na karibu sana Dr.enock health care@ — Tafadhali nieleze changamoto yako ili niweze kukusaidia
Au bonyeza link hii uingie kwenye *Group letu* upate *ELIMU na MASOMO BURE* kuhusu afya ya uzazi na safari ya mimba:
👇🏻
https://chat.whatsapp.com/GmMsqrg3arOEUcCVFqoUZx

Kwa msaada wa haraka zaidi, wasiliana nasi kupitia:
📞 *0754 037 407

24/12/2025

Tunaendelea na Funguzo la bei mwisho wa mwaka wasiliana nasi tukusaidie 0754 037 407

OFA KUBWA YA MWISHO WA MWAKA – DR. ENOCK HEALTH CARE 🎉Tunapenda kukujulisha kuwa kutakuwa na mabadiliko ya bei kuanzia m...
11/12/2025

OFA KUBWA YA MWISHO WA MWAKA – DR. ENOCK HEALTH CARE 🎉

Tunapenda kukujulisha kuwa kutakuwa na mabadiliko ya bei kuanzia mwakani.
👉 Kabla bei mpya haijaanza, tumia punguzo letu maalum!

💥 Bei: 45,000 tu (badala ya 100,000)
⏳ OFA hadi: 15 Desemba 2025

Usikose nafasi hii ya kujitibu mapema kwa gharama nafuu.

Zawadi zifuatazo utapata

👉usafiri juu yetu ,

👉🏼 dawa za uti bure .
👉🏼 dawa za kutoa sumu mwilini /Kusafisha kizazi bure ..

👉🏼 unalipia baada ya kupokea mzigo.

📞 Mawasiliano: 0754 037 407
Dr. Enock Health Care – Afya yako ni kipaumbele chetu.

TAARIFA KWA WATEJA WETU WOTE – DR. ENOCK HEALTH CARETunapenda kuwashukuru kwa kuendelea kutuamini na kuchagua huduma zet...
11/12/2025

TAARIFA KWA WATEJA WETU WOTE – DR. ENOCK HEALTH CARE

Tunapenda kuwashukuru kwa kuendelea kutuamini na kuchagua huduma zetu za afya. Kupitia uongozi wa Dr. Enock Health Care, tunapenda kuwafahamisha kuwa kutakuwa na mabadiliko ya bei kuanzia mwakani kutokana na maboresho ya huduma pamoja na gharama mbalimbali za utoaji huduma.

Kwa sababu hiyo, tunakushauri utumia fursa hii kabla mwaka haujaisha na ujitibu changamoto yako kwa punguzo maalum la bei la mwisho wa mwaka.

Hii ni nafasi nzuri ya kupata huduma bora kwa gharama nafuu kabla ya bei mpya kuanza kutumika.

Asante kwa kuendelea kuwa sehemu ya familia ya Dr. Enock Health Care.
Afya yako ni kipaumbele chetu .

29/11/2025

KILA BAADA YA MIEZI MIWILI AU MITATU FANYA ZOEZI LA DAWA HII !!

DAWA YA KUPONYA MWILI MZIMA !!

[DETOX AND FERTILITY BOOST]

NASHAURI KILA MFUATILIAJI WA PAGE HII ISIPITE MIEZI MITATU HAJAFANYA DAWA HII!

Kunywa dawa hii kwa siku 4 au 5 ndani ya wiki!
Glasi moja asubuhi na jioni.

Mahitaji
■ manjano vipande viwili
■ Punje 3 za kitunguu saumu
■ Vipande viwili vya tangawizi
■ Limao 1
■ Maji kufunika dawa
Chemsha kwa dakika 15
Kunywa glasi moja asubuhi na jioni.

Husafisha mwili mzima na mfumo wote wa uzazi!

1. Hutatua tatizo la endometriosis, fibroids, cysts na PCOS.

2. HuSawazisha homoni zako kurudi kiasili.
3. Huoresha ini na figo zako kufanya vizuri zaidi.
4. Huupa mfumo wako wa usagaji chakula nafasi ya kupumzika, kuuimarisha na kuuponya.
5. Huepuka kutofautiana kwa kromosomu katika mayai yako. Hukusaidoa kupata mayai na mbegu bora za kiume.
6. Kuboresha utandoutando wa uzazi.
7. Kupunguza uzito.
8. Hukusaidia kupata nishati bora zaidi ya mwili.
9. Hukusaidia kuwa na usingizi bora zaidi.
10. Huifanya akili yako iwe yenye kuuzingatia zaidi. 11. Huupa.mwili wako mood bora.
12.Hukusaidia kupambana na wasiwasi usio wa lazima.
13. Kuwa na ngozi na nywele zenye afya.
14. Kurudisha afya ya mwili wako.
15. Epuka magonjwa sugu k**a saratani, kisukari, magonjwa ya moyo na kiharusi.
16. Uchevushaji wa mayai yaani Ovulation huja kwa wakati.
17. Uzalishaji mzuri wa manii.

Address

Mwanza
MWANZA

Telephone

+255754037407

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA ZA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to TIBA ZA UZAZI:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category